Mimi sidhani kama bongo producers wana sample kutoka nigeria, kitu kikubwa 1. Ideas 2. Market 3. Technology Nacho weza kusema ni kwamba muziki wa zamani wa kibongo walitumia local instruments, mfano zeze, marimba, ngoma, firimbi, njuga n.k pia ikumbukwe kua viifaa hivyo vilitumika kulingana na hali halisi ya maisha, mwanaadam anabadilika kulingana na mazingira, na matukio ambayo anapitia mwanaadam, Marekani waliaanza na nyimbo za kufight ukombozi wao hili swala ninavyo ona ni kwamba muziki unahitaji changes changes ambazo zinatokana na mahitaji ya mwanaadamu na wakati alinaopitia mwanaadam huyo. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Global scale, music is universal,there is presence of universal music riding the humanity souls, we should not put boundaries,we are all human beings regardless of where u come from, we have the same God the same devil ,have you ever ask yourself where does the music comes from, it's is the universal language, when there is not explaination music take it's space, it is the language beyond ordinary language....gonga like Kama unenielewa, nitafute nikueleweshe Kama hujanielewa
Sijawahi comenti, ila leo nimefarijika kuona wadau wa mziki mmekaa pamoja. Naona kukua kwa industry. Mnyororo una watu wengi wakiwemo waandishi, wasanii, wazalishaji, watu wa studio na pengine wasikilizaji
IDENTITY YA BONGO FLEVER CHA KWANZA NI LUGHA YA KISWAHILI KUTUMIKA KWNY MZIKI THEN BEAT HAIJALISHA HATA SOUTH AFRICA WANATUMIA MZIKI WA MAKABILA KAMA ALIVYOSEMA MOCCO... OTHERWSE TURUDI KWNY MNANDA NA SINGELI
Hapo hao watayarishaji wa muziki wanashindwa kujibu maswali kw ufasaha wanachokiangalia wao ni hakuna mwenye elimu ya utayarishaji na kufatilia mtindo shida kubwa wameshazoea kukopi hao wanategemea kompyuta sana kuliko kugusa vitu kw kupiga kw mikono yao wenyewe, akuna lolote hao hapo mngewaita na producer wa zamani wakubwa ili wawape darasa hao mimi nawaita beat mecca tu sio producer hao, ndio maana wanaigana sana nyimbo wanazotengeneza sasa mtu anakuambia wao wanaangalia biashara tu sasa hiyi nini wanatakiwa kuangalia jinsi gani wanatafuta au kubuni mtindo wetu wa Tz...
Mie nasubiri makutano ya hawa jamaa kwa mara ya pili tuu ilitupate darasa huru kuelekea kwenye muarobaini wa hii kitu generally wazo zuri now we are heading there kwenye ku shape industry kuujumla wake manufaa yawe kwa pande zote. "Kupata kitu sahihi lazima ukosee kwanza. "
binafsi yangu naona sawa tu sisi kama producer maranyingi niwatu wa kufanya ubunifu hivyo muziki hauna mpaka wala kuiga ila ni kufanya kitu ambacho kinaubunifu kwa upande wako ww kama producer
Producers uchwara hawa wanatamba bure beats sio zao, hizo beats ziko kwenye system, waletee life band hapo, uniambie utamuabiya wapiga vyombo wapige hivi na vile?nyie ni computer operators. Thats all you are. Msijishaue.
Hakuna beats ktk system, softwares zina vifaa vyote vya muziki wanaanza kupiga upya na kila producer unaemuona ujue lazima ajue kupiga kifaa zaidi ya kimoja cha muziki
Big up kwa #wasafi kwa kuitisha kikao kama hiki pia na sisi maproducer wengine tupate kujifunza
Mimi sidhani kama bongo producers wana sample kutoka nigeria, kitu kikubwa
1. Ideas
2. Market
3. Technology
Nacho weza kusema ni kwamba muziki wa zamani wa kibongo walitumia local instruments, mfano zeze, marimba, ngoma, firimbi, njuga n.k pia ikumbukwe kua viifaa hivyo vilitumika kulingana na hali halisi ya maisha, mwanaadam anabadilika kulingana na mazingira, na matukio ambayo anapitia mwanaadam, Marekani waliaanza na nyimbo za kufight ukombozi wao hili swala ninavyo ona ni kwamba muziki unahitaji changes changes ambazo zinatokana na mahitaji ya mwanaadamu na wakati alinaopitia mwanaadam huyo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The only identity of Tanzanian music is only singeli .love all the way from northern Rwanda.
Kikao cha pili waleten ma producer wale legends watuambie kwann ngoma zao zinaishi mpka saiv
Wasafi media number one for now... From 254
Hongereni Sana producers. Naamini muziki wetu sasa umepata platform sahihi. Tutafika mbali na biashara itakuwa
Ni kweli Nzuri, Pata Ushauri Alioutoa DiamondPatnumz Leo 🔥 ua-cam.com/video/Dc9Vp4exqsU/v-deo.html 🙏
Musical Identity doesn't rely on beats itself but it always includes beat ,sound, and styles of singing. All the way from northern rwanda
Mie Upande wangu naona vijana wanajichanganya. ila sidhani kma wanajua wako Sawa kwa sababu wanachokifanya ni Afrobeat kwa hiyo wapo juu sana 💥
Global scale, music is universal,there is presence of universal music riding the humanity souls, we should not put boundaries,we are all human beings regardless of where u come from, we have the same God the same devil ,have you ever ask yourself where does the music comes from, it's is the universal language, when there is not explaination music take it's space, it is the language beyond ordinary language....gonga like Kama unenielewa, nitafute nikueleweshe Kama hujanielewa
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqM6/v-deo.html4
hakuna global scale broh....we are being driven
The switch ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanx Lil ommy ,,,,napenda sana harakatizako
Sijawahi comenti, ila leo nimefarijika kuona wadau wa mziki mmekaa pamoja. Naona kukua kwa industry.
Mnyororo una watu wengi wakiwemo waandishi, wasanii, wazalishaji, watu wa studio na pengine wasikilizaji
BEST INTERVIEW THE MVP 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯
Idea kali chama langu
Lizer ndo mkali wao
Nakubarii mpe hai huyo bidada zao letu frm grn cty.
IDENTITY YA BONGO FLEVER CHA KWANZA NI LUGHA YA KISWAHILI KUTUMIKA KWNY MZIKI THEN BEAT HAIJALISHA HATA SOUTH AFRICA WANATUMIA MZIKI WA MAKABILA KAMA ALIVYOSEMA MOCCO...
OTHERWSE TURUDI KWNY MNANDA NA SINGELI
Nimeipenda sana hii🎶🎶🎶
Nakubali #the switch 👊
Idia kali sana wajumbe
tatizo sis bdo ni watumwa wa kifikra, sio hao wasanii tu..
hat mabos maofisn ukuti
wamevaa suti ya kitenge😅
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqM6/v-deo.html
@@Hitycooking p
Mocco datc y akawa genius....
moko anajuaa
Wapi mocco genius
ua-cam.com/video/ipgLjVSQHqMu/v-deo.htmlrr
Hata wimbo was beka
#poapoa
Beat ilikuwa ya wimbo wa garaton
Lil omy unajua na team yako ya the switch
kama umemwerewaa moko kama mm ngonga like
Hapo hao watayarishaji wa muziki wanashindwa kujibu maswali kw ufasaha wanachokiangalia wao ni hakuna mwenye elimu ya utayarishaji na kufatilia mtindo shida kubwa wameshazoea kukopi hao wanategemea kompyuta sana kuliko kugusa vitu kw kupiga kw mikono yao wenyewe, akuna lolote hao hapo mngewaita na producer wa zamani wakubwa ili wawape darasa hao mimi nawaita beat mecca tu sio producer hao, ndio maana wanaigana sana nyimbo wanazotengeneza sasa mtu anakuambia wao wanaangalia biashara tu sasa hiyi nini wanatakiwa kuangalia jinsi gani wanatafuta au kubuni mtindo wetu wa Tz...
¹¹¹¹¹¹¹¹¹¹¹
hii ni kweli uzungu mwingi
Mie nasubiri makutano ya hawa jamaa kwa mara ya pili tuu ilitupate darasa huru kuelekea kwenye muarobaini wa hii kitu generally wazo zuri now we are heading there kwenye ku shape industry kuujumla wake manufaa yawe kwa pande zote. "Kupata kitu sahihi lazima ukosee kwanza. "
Ni naamini misingi kwanza na umoja wa maproducer wote kushirikiana kama walivyofanya kinamajani afu mziki mzuri utapatikana tu
Nice
The switch
Hilo malaya sijui linajiita likatibu linaropoka hovyo km lilevi
Mwee jmn jmn
Sema anaboa sana ammy gal.mm nafuatilia sana sana hiki kipind .Yaan lazima aende nje ya mstari
Mmenisahau mimi jmn
Mje mfanye kikao cha producers wa kongwe na wapya wasasa
Alaiza na si2kizy kama niwamzazi 1 na muonekano wao
Why wearing shades indoors? @djommy
Identity yake.
Why is this too short????
24mnts???
Maproduc wawe wajue kucheza mahazi ya kupiga beat tofauti kama pancho
Ammy girl mbona mapepe acha watu waongee
I hate that girl 😭😭 ako na mdomo sana
Laizer
Me kutoka Kenya producer nnaowaminia ni S2kiz na Abbah.
Hatariii
Kizazi saana 👌
Kizaziii saaanaaa
Zombie
Unawaoji kuusu bongo freva wakati wao awajui uo mziki ume tokea wap mulize Majani ilo swali
mzee issue hizo ziko kwa Riddim Jamaica
Uyo binti mjangazaji ni mjuwaji
WAJUMBEEEEEEE
Ila ikiwa Producers wa Muziki ndo wanaongea hivi.
Ni Mtihani kwakweli..
Duuuuhhh😢 Wote Hawaaa..
Ata JZ alirudia beat na mashairi ya 2pac
Mada ni pana then muda umepunjwa
@wcb niwakumbushe tu ndugu zangu.... Amy gal anazingua hatuoni kazi yake hapo zaidi ya kujichekesha tu, sijui AC hapo ndani inamtekenya....
Walioharibu mziki wa TZ tumewaskia... 😂😂😂😂😂😂
binafsi yangu naona sawa tu sisi kama producer maranyingi niwatu wa kufanya ubunifu hivyo muziki hauna mpaka wala kuiga ila ni kufanya kitu ambacho kinaubunifu kwa upande wako ww kama producer
Sa kwann msanii ahusike kwenye kupiga copyright msanii aliyetumia beat yake?
Msanii huwa anayapa makampuni ya kulinda kazi nyimbo nzima. So ikitokea umerudia kampuni ndo ina ku strike.
Asee uyo amy gal apunguze kujiamini anaharibu sana inaterviews sikuizi. Anakatiza watu wakiwa wanaongea bila ajenda ya msingi
Inadumza mziki
Kumbe t touch hayupo kwenye 14 bora
Time matters
Hayupo
14 bora kivipi ? Mnaleta mgongano hapo
Hitmaker
Amygal😡😡😡😡
No singeli sio mziki wakuupa credit..hauvibe watu wote
Unapenda instaf like that why
and staffs like that
and staffs like that
All in all
@@alextanzania bora
Producers uchwara hawa wanatamba bure beats sio zao, hizo beats ziko kwenye system, waletee life band hapo, uniambie utamuabiya wapiga vyombo wapige hivi na vile?nyie ni computer operators. Thats all you are. Msijishaue.
Hakuna beats ktk system, softwares zina vifaa vyote vya muziki wanaanza kupiga upya na kila producer unaemuona ujue lazima ajue kupiga kifaa zaidi ya kimoja cha muziki
Oya achaaa izoo mzee atakama
Ni shida ngoma mpya ya Diamond platnumz ft Rayvanny - Sikuachi ni bonge la hit gusa hapa uone kionjo chake
ua-cam.com/video/LJ6TM23MD9c/v-deo.html
DIAMOND AACHWA MBALI NA HARMONIZE gusa link kwa full story ua-cam.com/video/fD8fXWfMwuc/v-deo.html
Mavi yake na yako pia. Hata anye nyumbani kwako hafiki hata robo
MOTO WATEKETEZA MABWENI AFRICA MUSLIM
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
ua-cam.com/video/LolEWryO2Zg/v-deo.html
The switch ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥