Sheikh OTHMAN MAALIM Shukran Shukran Shukran Shukran ALLAH amekujaliya hekima Sana Na kupenda kwa ajili ya ALLAH ALLAH azi kuku Linda tufaidike mengi na mengi zaidi na zaidi 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇧🇮
Assalamu aleikumu warahmatulahi wabarakatu Sheikh wetu ALLAH aku linde Una hekima Sana Ni lijifunza mambo mengi kwa sidi zako Shukran ALLAH njoo ata kulipa ALLAH aku zidishiye IMANI Na muomba ALLAH aku jaliye utu kumbuke kwa duwa Inshaa ALLAH 🙏🏽
Mashekhe tuwe na macho ya rohoni tusiishi kama tupo nyakati za bwana mtume hii dunia kwa sasa ipo katika giza angalieni palestina pale ndio pakwenda kusimama,
MASHALAH NAKUPENDA SHEKH OSMAN MAALIM KWA AJILI YA ALLAH
Man Sha Allah Tabaraka Rahman ❤️ Allah akuhifadhi sheik wetu
Maasha Allah sheikh Uthman,, Allah akuongoze
Mashallah nakukubali sana sheikh wangu
Maashaallah Allah (s w) atukubalie kila a'amali njema tunazozifanya.
Sheikh OTHMAN MAALIM
Shukran
Shukran
Shukran
Shukran
ALLAH amekujaliya hekima Sana
Na kupenda kwa ajili ya ALLAH
ALLAH azi kuku Linda tufaidike mengi na mengi zaidi na zaidi
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇧🇮
Shukran sheikh yangu othman maalima Allah akuzidishie siha njema amin
Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri
Hajj mabroor kwa mahujaji wote ❤❤
Mola atupe heri sote Insha Allah
Assalamu aleikumu warahmatulahi wabarakatu
Sheikh wetu ALLAH aku linde
Una hekima Sana
Ni lijifunza mambo mengi kwa sidi zako Shukran
ALLAH njoo ata kulipa
ALLAH aku zidishiye IMANI
Na muomba ALLAH aku jaliye utu kumbuke kwa duwa Inshaa ALLAH 🙏🏽
Shukuran sheikh jazakahAllah kher
Mashaal shkhe wetu mugu akulinde kila shar
Shukran shekh Allah akubarik nafuatiliya maudhui yako
Shukran sheikh wetu
Mashallah Tabarakallah
Shekhe Kwa Mara ya pili Tena ijja
Ata mara 10 mwenyezi mungu amubariki sheikh wangu
Sema MA SHA.ALLAH
HASAD mbaya
Yeye anakwenda kama kiongozi kwenda kuongoza watu kule katika kundi lao huwa anaenda kila mwaka lazim wawepo viongozi wa kundi na dokta pia
Mashaallah tabaraka Allah tuombee na sisi ustadhi othman maalim ishaallah ❤❤
Shukran sheikh
Arafa mlifanya lini huko Makkah sheikh uthman maalim
ARAFA AU KISIMAMO CHA MAHUJAJI KATIKA KIWANNJA CHA ARAFA?
Mashekhe tuwe na macho ya rohoni tusiishi kama tupo nyakati za bwana mtume hii dunia kwa sasa ipo katika giza angalieni palestina pale ndio pakwenda kusimama,
Wamaanisha ninini,waende Palestine wakasimame wallipuriwe wote
Hapo walipo simama "arafa" si kwa kutaka kwao bali Allah ndivyo alivyoamrisha
Wewe dini unaijua lakini au unatoa katika fikra zako
@@aliabdalla9297 yuwaota nadhaninj8 mgeni kutoka pande ya 2