Salama Na KALITO Ep 41 | THE ORIGINATOR Part 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Carlos Bastos aka Kalito ni moja kati ya wale binadamu ambao hawahitaji ‘kutambulishwa’ na hiyo si kwa sababu ya muonekano wake hata kidogo zaidi ni personality yake, anaongea, anachekesha, anajielewa, anajua nini cha kusema na wapi pa kusema pia. Katika watu ambao namshukuru Mungu kwa kuwafanya wawe rafiki zangu Kalito ni mmoja wapo.
    Jinsi ambavyo alifika Tanzania inaweza ikakufanya ujue pia yeye ni mtu wa aina gani haswa, kutoka mwenyewe familia ambayo mtoto wa kiume ni pekee, na pengine alikua na uhakika wa kupata kila anachotaka lakini aliamua kupaki begi na kuchanja mbuga kuja hapa Tanzania. Kusema za ukweli story yake ya maisha ni ya kuamsha sana. Imagine wewe leo unatoka ulikotoka ukaenda zako pa kwenda, ukajimix kwa kuhudumia watu kwa kuwapa burudani na chakula mpaka akapata upenyo wa kufanya yake. Ni wangapi kati yetu wanaweza kufanya hivyo? Najua wengi wetu hatukuzaliwa hapa Dar es Salaam ila tumekuja tukalikita na mpaka sasa Alhamdulillah mambo yanaenda. Ila si wengi wanaweza kusema hivyo. Tunajua huchukua jasho machozi na pengine damu kufikia malengo.
    So binafsi haswa nimejifunza au najifunza nini kutoka kwa rafiki yangu huyu kila siku? Cha kwanza ni kuwa MKWELI. Kama unayo unayo, kama unaweza kufanya/kufika utafanya hivyo, kama unaweza kutoa unatoa na kama huwezi UNASEMA. Naamini ndani ya moyo wangu, hiyo ni moja ya silaha kubwa sana kama unataka kufanikiwa, kama unataka MAENDELEO. Cha pili pia ambacho bado kinakaa kwenye UKWELI ni UAMINIFU. Ukikopa pesa RUDISHA maana hii itakupa nafasi ya kuweza kurudi na kukopa tena kama mambo yako yatakua bado sio sukari, sasa imagine hujarudisha na ukapata shida nyengine je utaweza kurudi kukopa tena? Vipi kama alokukopesha nae kashawaambia ma don wenzake kwamba wewe huwa hulipi? Utasogea kweli?... Mwisho wa siku DAWA YA DENI ni KULIPA tu.
    Jengine KUBWA zaidi ni kutokua na SIRI nyiiiingi. Mambo ambayo yatakufanya uwe unaweka vitu vingi ndani, ambavyo hauwezi kusema labda kwasababu ya aibu au pengine hauko huru kuviongea nalo ni TATIZO. Ni kweli sote tuna SIRI zetu, ila zikizidi ndo zinaleta msongo wa mawazo. So kuwa muangalifu na kipi unasema na kipi unaweka. Kujijazia mavitu moyoni ki afya si mpango hata kidogo.
    Kalito yuko HURU, anaskiliza watu na kujifunza kila siku pia kama mimi na wewe tu, pia ana shida zake ambazo kwa kiasi kikubwa ameweza kuzifanya zisiwe chanzo cha yeye kutokua na furaha au kumpa unyonge. Pengine unaweza kusema ni kwa sababu ana hela au biashara inayomuingizia kipato kila siku ndo maana ni rahisi kwake kucheka kwa yote, ila Amini nikikuambia hata yeye huwa ana kutana na mitihani mikubwa tu, lakini kwasababu yuko POSITIVE muda wote unakuta anamalizana na shida zake kwa roho safi tu. Anakubali pale anapokua kashindwa na kujifunza na anafurahia pia challenges ambazo binafsi anazishinda kwa uzuri tu. Yeye pia ni rafiki nambari MOJA wa wafanyakazi wake karibia WOTE wa Samaki Samaki na sasa Kuku Kuku wa kuwajua mmoja mmoja kwa majina yao. Mpaka mafundi wake wote hao ni familia yake.
    Wangu tumekuletea Kalito kwenye meza ili uone mambo kwa utofauti haswa. Ujifunze kutoka kwa watu ambao unawaangalia kila siku na ambao pengine unadhani mambo yao ni SUKARI kila siku iendayo kwa Mungu. Yangu matumaini utaokota mawili matatu humu. Maana ukiachana na biashara pia alizungumza maisha yake. Alivyoumwa, watoto wake na jinsi alivyofika Tanzania na nchi yetu hii na watu wake. Alituambia pia kuhusu mapenzi yake na Bahari na mahusiano yake na watoto wake na Mama yao ambaye hayuko nae tena sasa. Tafadhali enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown

КОМЕНТАРІ • 116

  • @Justareminderr
    @Justareminderr 3 роки тому +26

    TUNAOMBA KABLA YA SEASON KUISHA IWE SALAMA NA SALAMA., NAAMINI ANAMAMBO MAZURI NA MAKUBWA PIA KUSHARE NA WATU.

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 3 роки тому +4

    Siri ya kufanikiwa ni kuacha kulala, kufanya kazi kwa bidii na kuwa mwaminifu ktk vitu vidogo
    Asante Salama na Carlos

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 3 роки тому +6

    Happy 40 years Salama, nice interview

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 3 роки тому +2

    Salama, Hongera kwa 40! Umejitunza dada sijui kwavile "unamla Kalito" haha...okay, so nilisikiliza podcast and now nimewatch! Investors kama Kalito ndo nawapenda yani matokeo yanajieleza njenje na waziwazi kama ulivyosema Salama, haitaji kujitambulisha. Asante Kalito kwa kutuappreciate Tanzanian ladies!We are beauriiiiiful haha Nimefurahi pia kwasababu Saum mpo nae kwenye kukukuku! Women power! now part 2

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 роки тому +20

    Aya wale tuliokuwa tunasubiri hii tujuane

    • @blueskytravel5441
      @blueskytravel5441 3 роки тому +1

      Tupo

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому +1

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @julianajoseph1248
    @julianajoseph1248 3 роки тому +1

    Happy 40th birthday Salama...u aging like fine wine

  • @rumibarton2359
    @rumibarton2359 3 роки тому +5

    Most important thing in business is honesty -Jay Z

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @MrSABYY
    @MrSABYY 3 роки тому +1

    Je umeagiza GARI 🚘🚗nje ya nchi na unahitaji huduma ya clearance ya gari lako( Clearing & Forwarding ) kwa uharaka na BEI NAFUU ila unawaza Clearing Agent ⚓️🚢gani atalitimiza Hilo? Basi ondoa shaka na karibu nikuhudumie. Tazama baadhi ya bei zangu za kutoa magari bandarini 🚢Dar Es Salaam (Local) aina ya *TOYOTA* km ifuatavyo.. Kama aina ya gari uliyoagiza haipo kwenye orodha usisite kuniuliza📞Pia wateja wa mizigo ya AIRPORT 🛫/ CONTAINER & MAGARI🚗 yanayokwenda nje ya nchi ( TRANST ) mnakaribishwa.....
    ------------------
    Kwa wateja waishio Dar Es Salaam utafikishiwa gari lako mpaka ulipo BURE na kwa wateja wa mkoani utalipia gharama ya Dereva kutokana na umbali uliopo kutokea Dar Es Salaam kama ukihitaji kusafirishiwa,
    Asante
    1: IST old - 850,000/=
    2: HARRIER New-1,000,000/=
    3: HARRIER Old-950,000/=
    4: RAV 4 - 950,000/=
    5: RAUM - 850,000/=
    6: SPACIO - 850,000/=
    7: PASSO - 800,000/=
    8: VITZ - 800,000/=
    9: PREMIO - 850,000/=
    10: ALTEZA - 850,000/=
    11: SUBARU - 850,000/=
    12: CARINA - 850,000/=
    ----------------------------------------
    Gharama hizi zinahusisha malipo ya
    1: Port Charges
    2: Shipping Line
    3: Walfage
    4: Agent Fee
    5: Plate no
    ----------------------------------------
    ☎️DM/Piga/Text 0653953900 / 0742996876
    ☎️Whatsapp +255 653953900
    📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
    📢Marketing by @cairo_promotions
    🏢Company: Mofaz movers
    📍Location: PSSSF Tower, Samora Avenue
    Dar es salaam, Tanzania
    *NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
    *NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
    *NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA 🇨🇳 NI BURE🙏

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 роки тому +3

    Happy birthday dear Allah akupe kila la kheri na ww jmb nampenda kalito msalimie 😊

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @mussachabonga9595
    @mussachabonga9595 3 роки тому +1

    Nafuatilia sana kipindi chako upo vizuri, ombi langu tuliletee Master T Tiji Liundi.

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @soipei3359
    @soipei3359 3 роки тому +2

    Tunaomba Professor Jay

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza2555 3 роки тому +2

    Aliyesikia fundi meno gonga like

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @MissRafikieli
    @MissRafikieli 3 роки тому +2

    Salama, he does not have OCD he has ADD (Attention deficit disorder).

  • @annamichael1433
    @annamichael1433 3 роки тому

    ilove you carlos ahhaaaaa eti nakuja nakata kona haaaaaaa wanazingua watz na hiyo tunajulikana zaidi nchi nzima

  • @priscapaschal5552
    @priscapaschal5552 3 роки тому

    Mbona kwenye podcast inakataa kuwadownloaded?

  • @Wiliyamu
    @Wiliyamu 3 роки тому +6

    32:20 she hits me with a #Ugandan phrase munange!!!!!🤣🤣🤣🤣

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @tadyinkmussa2530
    @tadyinkmussa2530 3 роки тому +2

    Sister salama unafanya poa sana n kipind naomba next interview au hata interview zingine uje na baraka mpenja sauti ya radi

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 3 роки тому

    Hongera kwa kutimiza miaka 40😁👊👏👏

  • @nancykimaro3845
    @nancykimaro3845 2 роки тому

    I love Kalito😍

  • @manirambonabelysemanirambo5619
    @manirambonabelysemanirambo5619 3 роки тому +1

    Salama nakupenda sana unanipa moyo wa kupambana

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @mfalmegideon
    @mfalmegideon Рік тому

    Very Inspiring indeed 👊🏾

  • @flavianakanga1215
    @flavianakanga1215 3 роки тому +1

    Happy birthday Salama.

  • @Wiliyamu
    @Wiliyamu 3 роки тому +2

    #SalamaAt40 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @cleopatrasalha2964
    @cleopatrasalha2964 3 роки тому +1

    Dejavu wanaita
    SIJUI😂😂💪

  • @MfizoCrypto
    @MfizoCrypto 2 роки тому

    Salama huyu jamaa alipaswa awe na season 200

  • @Kalengashoppingcenter-y1o
    @Kalengashoppingcenter-y1o 7 місяців тому

    😂😂😂 wenzentu walivyo huwa awafikilii pesa mbele,,, bali matokeo zaid ndo maana wanafanikiwa

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 3 роки тому

    Wabongo tumekuwa wavivu wa kufikiri na kuumiza kichwa

  • @pelvinaydin1381
    @pelvinaydin1381 3 роки тому +2

    impressive interview. i like it

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @praisem.j.lema1036
    @praisem.j.lema1036 3 роки тому +2

    Amenikumbusha......Next awe Bongo Zozo " Fujo isio umiza!

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 2 роки тому

    Uaminifu ndiyo mtaji

  • @sophiaswai3582
    @sophiaswai3582 3 роки тому +4

    he has Russian accent

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @francismsuta109
    @francismsuta109 3 роки тому

    Hongera sanaa kwa kutimiza miaka 40
    Unajua nn ka bby mbon hatuoni

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @elliotandrew3540
    @elliotandrew3540 3 роки тому +1

    The Russian 💯 vs the new 40 club member

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @sylivesterjohn6626
    @sylivesterjohn6626 3 роки тому

    Very Inspiring!

  • @Djso26
    @Djso26 3 роки тому +1

    The originator

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 3 роки тому +2

    Jesca wetu tunamtaka😃😃😃

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

    • @nmosha90
      @nmosha90 3 роки тому

      Na jinsi anapronounce I love it...."Karibu Jesika"

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 роки тому +1

    Salama una miaka 40? Au unatulisha matango pori 😂 unaoneka Mdogo

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 3 роки тому +1

    hizo bei mhh

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 3 роки тому

    Tuleteeni Ally kamwe...... Happy 40 aunt cheupe

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @mwasakafyukasamson
    @mwasakafyukasamson 3 роки тому +3

    Jessica namtafuta jamani

  • @__thereal_unclechibo_7953
    @__thereal_unclechibo_7953 3 роки тому

    Goood

  • @fahadalismaily9370
    @fahadalismaily9370 3 роки тому +2

    Walete alikiba na ommy dimpoz

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @noelmichael9425
    @noelmichael9425 3 роки тому +1

    Khaa!! bby mama eti 40yr old pongezi kwako. 💓

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @andrewmalekela3577
    @andrewmalekela3577 3 роки тому +1

    Wee salama weuw etiii.........
    Wachaaaa umetisha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omaryndizeye2030
    @omaryndizeye2030 3 роки тому

    Tunamutaka simba

  • @iskiji1240
    @iskiji1240 3 роки тому

    kalito hawezi kutamka Z na anaeleweka tu, sisi watu wa nyanda za juu kusini hatuwezi kutamka R ila mnavotunanga sasa 😂😂😂😂😂

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 3 роки тому

      Yeye ni m Spanish na hao watu Z inawashinda kutamka kwa hiyo poa tu tena amejitahidi sana kuongea lugha asozaliwa nayo ila nyie ni watanzania wazawa lakini kinachowashinda R na L sijui nini

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 3 роки тому

      @@sweetie6934 imetushinda kwa sababu katika lugha zetu mama hatuna R, kiswahili ni lugha yetu ya pili. kwahiyo na mimi usinishangae maana wanyakyusa hatuna herufi R katika lugha yetu, so kama ulivyomchukulia huyo poa na mie nichukulie poa

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 3 роки тому

      @@iskiji1240 nina marafiki wanyakyusa na wanaongea poa tu kama umezaliwa na kukulia Mbeya sawa ila kama umezaliwa na kukulia Dar aah acha maskhara yako

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 3 роки тому

      @@sweetie6934 ishu sio kabila ila ni ipi lugha yako mama, hao waliokulia dar lugha yao ya kwanza ni kiswahili ndio maana unaona wanaongea vizuri.
      mimi ni msomi kwahiyo naweza kutamka vizuri lakini wale mama zangu wakikosea siwezi kuwalaumu maana naelewa ni kwanini. wanaopaswa kulaumiwa ni wale jamaa wa 'hanakuja' badala ya 'anakuja'

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 3 роки тому

      @@iskiji1240 ok nimekuelewa

  • @ujudiabdull9442
    @ujudiabdull9442 3 роки тому +3

    Salama mlete Rayc nimemmithi....

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 3 роки тому

    Kuku mwehu😂😂

  • @asserymmary2696
    @asserymmary2696 3 роки тому

    Hello cheupe... Happy birthday

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @sesyurio7609
    @sesyurio7609 3 роки тому

    Salama jitahid uwe namtoto umri umeenda

  • @kiakae1819
    @kiakae1819 3 роки тому +1

    So I’m asking please in a very kind way salama can u speak luganda because i have hard you saying munange

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому

    Salama umekua mkubwa 40 ongera uyu jamaa nae atari

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @bevenmolokwane_tz4643
    @bevenmolokwane_tz4643 3 роки тому

    Kaduguda arudi tena

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @mbwanadavid4371
    @mbwanadavid4371 3 роки тому

    Hbd da Cheupe, tuletee Ally Choki mzee wa farasi

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +2

    Kalito, lafudhi la kimasai, Z ni S

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥

    • @kingbashar4293
      @kingbashar4293 3 роки тому +1

      Katika ki Spanish z Ina semwa s. Mfano hernandez ina semwa hernandes, that why!!

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 роки тому

      @@kingbashar4293, pia kimasai tunasema ‘masiwa’ for maziwa

  • @josephmayunga2879
    @josephmayunga2879 3 роки тому

    Huyu jamaa ni wa wapi?

  • @hawahassan835
    @hawahassan835 3 роки тому +1

    Jamani kalitooo alete samaki samaki mwanza na musoma

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

    • @hawahassan835
      @hawahassan835 3 роки тому

      @@WASHATube na ww unaishi au

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +1

    Fundi meno?🤣🤣🤣🤣

    • @nasmafarmsltd9146
      @nasmafarmsltd9146 3 роки тому

      watu huwa wanajua watu weupe wanajua English

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 3 роки тому

      Noma

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 3 роки тому

    Mmmm c kwa mipuli hyo na michoro mume wewe samahani

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 роки тому

      HOTELI YA KIFAHARI WATU ZAIDI YA MIL.1 WANAISHI HAPA
      ua-cam.com/video/Mk4s9P_wzlw/v-deo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥

  • @shangwehubert5838
    @shangwehubert5838 3 роки тому

    nauli ya spain nenda rudi mara tata usiwe tajiri