KAMA SIO STAMINA BASI ROMA, WIMBO KWAAJILI YA CROWN MEDIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 146

  • @AlergePoroto
    @AlergePoroto 13 днів тому +1

    Noma sana 🇨🇩 aje tu fanye collabo

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 2 місяці тому +18

    Sam mwenyezi mungu akuzidishie kipaji chako kizidi kuu ngaa 💥💥💥💥💥💥💥 mimi ni shabiki wako namba moja kutoka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kalemie

  • @DadyMaombi
    @DadyMaombi 2 місяці тому +6

    Utaniuwa na raha sana yaani, wewe mwamba 💪 mungu akutangulie mbele❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Morrice-tu2dc
    @Morrice-tu2dc Місяць тому +2

    Dogo sam nakuombea Kwa mwenyezi mungu akupe nguvu akulinde na ufanikiwe Kwa Kila unacho kiandika na kufuluu unaweza sana ongeleni sana💙💙💙🖐️👋🌹🌹💐🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @RamakomboMangale-b1q
    @RamakomboMangale-b1q 2 місяці тому +10

    Huyu dogo ni 🔥🔥🇰🇪

  • @ahmadtumba8360
    @ahmadtumba8360 2 місяці тому +5

    Nakubali sana mdogo wangu

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 Місяць тому +2

    Mdogo wangu Sam nakuombea ufike mbal sana kipaji kkubwa hicho

  • @JäxxMtänä-l8u
    @JäxxMtänä-l8u Місяць тому

    Sam one,Allah akutimizie kila tamanio la moyo wako,kwa kweli wee ni dogo ila gear uliokuja nayo ebwana ma star wengi umefanya wamepanic na nakuombea uendelee kama ivi naona hipop bongo ukiichkua ,,,Mungu akupe ujuzi zaidi kaka mdogo shabiki wako toka inchi jirani 254💥📌

  • @KamauPeter-kn9ry
    @KamauPeter-kn9ry Місяць тому +2

    Very talented dogo unaweza

  • @Anwar_khan-
    @Anwar_khan- 2 місяці тому +4

    Crown tunaomba iyo ngoma ya alotunga uyo dogo wa crown

  • @Duhe123
    @Duhe123 Місяць тому +2

    Sam endelelea Tuu 🫵 WE Mkali Banaa👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @IdrissaOmari-e8t
    @IdrissaOmari-e8t 2 місяці тому +2

    Nakubali sana sam on nilikupita Manzese sikumoja pale nataka nifanye hipap moja kali yaskong

  • @Baloko-asendeGuester-kaskile
    @Baloko-asendeGuester-kaskile Місяць тому +1

    Dogo yupo fresh kinoma sana powa Kabisa pambana mwanangu utatobowa tu❤❤

  • @RashidOgeto
    @RashidOgeto 2 місяці тому +3

    Much love 🇰🇪🇰🇪
    Huyo dogo anatisha 🔥🔥

  • @hissanebachir2596
    @hissanebachir2596 Місяць тому +1

    habari za jioni salimo nimeunganishwa kutoka timu ya uzalishaji ya msumbiji. niliipenda ile program na yule kijana alitamani sana kusaidiwa na mfalme alikiba

  • @HarrisonMwadingo
    @HarrisonMwadingo Місяць тому +2

    Dogo ametisha,big up sanaa

  • @AliMfundo-q1k
    @AliMfundo-q1k 2 місяці тому +3

    Sana bro,shabiki yako hapa from Kenya 254 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ErickNduwimana-tp9gb
    @ErickNduwimana-tp9gb Місяць тому

    I am Burundian watching from South Africa. I love you crown FM

  • @EdisonDiama
    @EdisonDiama Місяць тому

    Mtoto nimemupenda kweli anaweza sana Dogo na muombea aweze kukutana na wasani wainje

  • @HarrisonMwadingo
    @HarrisonMwadingo Місяць тому +2

    Dogo akofiti big up sana

  • @godefroidhabarugira4147
    @godefroidhabarugira4147 Місяць тому +1

    Dogo namkubali sana
    Anaweza

  • @CrevaBarasi
    @CrevaBarasi Місяць тому +1

    Daah dogo anaweza,sana anatakiwa pongez by creva b

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 2 місяці тому +2

    Dogo anajua mpaka anakeraa ❤❤❤❤❤

  • @silvermelodyvevo6082
    @silvermelodyvevo6082 Місяць тому

    Xaf mdogo wangu upo vizuriii sanaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @IguetteKamabu
    @IguetteKamabu Місяць тому

    Ongera sana nduguyangu toka mrogoro mimi ni djeni toka touwn ya béni drcongo

  • @LovelyCheckers-zr1fo
    @LovelyCheckers-zr1fo 2 місяці тому +4

    Mimi naitwa Sheba mzalendo niko Mozambique dogo zidi kupambana

  • @BarakaMwese
    @BarakaMwese 2 дні тому

    Mungu yupo nawe make anae pambana mungu nae anamuongezea humaarufu

  • @abdallamaro2808
    @abdallamaro2808 Місяць тому +1

    umetisha bro

  • @Ishtruthkawandakaffoja
    @Ishtruthkawandakaffoja Місяць тому

    We can appreciate this guy's if crown Fm you can take a big support 💪💪 pls have mercy

  • @OfficialFreddy-y7k
    @OfficialFreddy-y7k Місяць тому

    Dogo anajua sana 💪🏻

  • @AllyAroni
    @AllyAroni Місяць тому +1

    Umetisha dogo❤❤❤🎉

  • @SleepyBackpacker-ku6zl
    @SleepyBackpacker-ku6zl Місяць тому +1

    Niko Kagera missenyi, Dogo unaweza😂😂

  • @allyramadhani9221
    @allyramadhani9221 2 місяці тому +4

    Huyu aitwe Sam stamina

  • @GOMAGOMA-o2e
    @GOMAGOMA-o2e 2 місяці тому +5

    Ivi akaa katoto kana miaka mingapi lakini....kanajibu maswali kama mzee khaaa 😮

  • @DeusiMawazo
    @DeusiMawazo 20 днів тому

    Duuu sam wenoma 👍👍👍👍

  • @MwinyiMohamed-k8i
    @MwinyiMohamed-k8i 2 місяці тому +2

    Hatari sana 🔥🔥🔥

  • @chrispinkalipesa19
    @chrispinkalipesa19 Місяць тому

    Anajuwa aisee salute kwakee

  • @Uncle-F-254
    @Uncle-F-254 Місяць тому +1

    Na producer wasikule pesa yake kwa social media.
    Sio fresh
    Keep checking 😢
    Mum thanks for asking that question
    He might not get his sweat

  • @eugidetembele1
    @eugidetembele1 Місяць тому

    Dogo nomaaa😮😮😮

  • @MohamedSimba-d8p
    @MohamedSimba-d8p Місяць тому

    Anajua sna

  • @Joramkatana
    @Joramkatana Місяць тому +2

    Huyu Dogo mnomaaa Sana....
    What's his stage name??

  • @JamesLameck-n1v
    @JamesLameck-n1v 2 місяці тому +2

    Nakubal young keep going🔥🔥

  • @BenadyNdunguru-y3m
    @BenadyNdunguru-y3m Місяць тому

    Dogo Sam one mekubali mungu akutie nguvu

  • @BarakaMwese
    @BarakaMwese 2 дні тому

    Nimekukubali xana dogo kuichapa na roma saluti kwako nakuombea kwa mungu usikate tamaa mdogo wang endelea ivyo ivyo mungu yupo pamoja nawe

  • @SheeMwakuyumba
    @SheeMwakuyumba 2 місяці тому +2

    Huyu dogo anajua Sanaa

  • @AlvoiceGwido-k8r
    @AlvoiceGwido-k8r Місяць тому +2

    ok good

  • @StørmMc-kßG
    @StørmMc-kßG Місяць тому

    Mr comment 🇹🇿 respect u Sam one

  • @Uncle-F-254
    @Uncle-F-254 Місяць тому

    Mbona kenya tunakubali sana kuliko Tz.
    Huyu ni dogo nikama mlivyo zarau Diamond mkimuita domo sisi tukamcheza

  • @livingnews1381
    @livingnews1381 Місяць тому

    The young boy is extremely talented, i compare him to Stamina, however, he should take care of himself, i wish his manager could protect this young talent. The media is misusing this boy, very bad. Young Man, monetize your talent don't offer free interview to these media folks

  • @evansahmed-gu8dh
    @evansahmed-gu8dh Місяць тому

    naitwa evans dogo anajuwa sana bro mpambanie huyo dogo mbleni nawew uishi kiflume

  • @NdabagumijeMerci
    @NdabagumijeMerci Місяць тому

    Nakubali sam one

  • @gorgonusshayo920
    @gorgonusshayo920 Місяць тому

    Huyumtoto ni moto kmaninaaaaa🎉🎉🎉

  • @pajokakasasa
    @pajokakasasa 2 місяці тому +7

    Dogo Amemcopy STAMINA kila kitu,Ila Anaweza sana! asisahau Shule ndio kila kitu kwake!

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE Місяць тому

    safi staamina anajuwa

  • @MaukamaumauMaukamau
    @MaukamaumauMaukamau 10 днів тому

    Dogo unaweza

  • @BakariMohd
    @BakariMohd 2 місяці тому +1

    Yan dogo pigo za stamina kabisa👍

  • @Uncle-F-254
    @Uncle-F-254 Місяць тому

    Dah mwamba. P funk majani Melissa beat zake.
    Huyu dogo anatisha

  • @EddyChalesi
    @EddyChalesi 2 місяці тому +2

    Naitwa Eddy namim pia nitakusapoti

  • @bernaldyakobo
    @bernaldyakobo 2 місяці тому +1

    Nakubali sana

  • @AliAlisaro
    @AliAlisaro Місяць тому

    Kijana ni Moto cnaaaaa

  • @herimwinge-et9ei
    @herimwinge-et9ei 2 місяці тому

    Nafurahi kumuona Dago yupo happy sana

  • @KabesyaM-ricek
    @KabesyaM-ricek Місяць тому

    ᴠᴀᴍᴏs💪

  • @ElikanaMmbaji-b4h
    @ElikanaMmbaji-b4h 2 місяці тому

    Nakukubali sana dogo uskate tamaa utafka mbali mungu awe na wewe

  • @bahatimanegabe1777
    @bahatimanegabe1777 2 місяці тому

    Huu kijana ni mkali sana
    Yaaani noma sana 🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @LavieStrong
    @LavieStrong 2 місяці тому +1

    Kweli kadogo kana jua

  • @Zarmahshimia
    @Zarmahshimia Місяць тому

    Kijana anatua kwa vina namuogopa sana anapasua anapopita nampisha tena namuongeza heshima chukua ushindi hapa umeshinda

  • @IssaAlichoki
    @IssaAlichoki 2 місяці тому +1

    Dogo anaweza Niko msubiji palma

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 2 місяці тому

    Hongeraaa Dogo Sam. Peace.

  • @CraudAckson
    @CraudAckson 13 днів тому

    Aiseee sema nin dogo katisha Sana dunian Kuna vipaji ni shida

  • @EddyAbdallah-lw3kn
    @EddyAbdallah-lw3kn Місяць тому

    Dogo yupo vizur sana kiukweli kwa Dua zetu lazima afike mbali

  • @yonamkinga9403
    @yonamkinga9403 2 місяці тому

    Noma sana

  • @NajarobertMwakifule
    @NajarobertMwakifule 2 місяці тому +1

    Ongeza spider dogo

  • @SigrizerDebruyne-gy1kf
    @SigrizerDebruyne-gy1kf 2 місяці тому

    Dogo ni🔥🔥🔥🔥

  • @MaukamaumauMaukamau
    @MaukamaumauMaukamau 10 днів тому

    Happy new year Sam 🎉

  • @Uncle-F-254
    @Uncle-F-254 Місяць тому

    Producer wa mwamba nani.
    Please maintain such beats bro.
    Huyu mjamaa ni mzimu wa old bongo raps

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 2 місяці тому

    Fire

  • @AnuarHassan-w7w
    @AnuarHassan-w7w 6 днів тому

    Oya 😂😅 we ulikuepowap samani

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 2 місяці тому

    Aka katoto ni 🔥

  • @LameckBundala
    @LameckBundala 2 місяці тому

    Dogo yupo vzr sana

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @MweleBoy-g1d
    @MweleBoy-g1d 27 днів тому

    Namqubal dg san npo mwanza saport apewe janja

  • @JosephLihawa
    @JosephLihawa 2 місяці тому +1

    Mmmmh huyu kijana mdogo ni stamina mtupu bhana

  • @AlshabiiJuma
    @AlshabiiJuma 2 місяці тому

    Huyo dogo n motoooo

  • @mambelwaamedeo4330
    @mambelwaamedeo4330 2 місяці тому +1

    Yahani uyo dogo ni mkali sana kweli

  • @SaningoMollel-p3i
    @SaningoMollel-p3i Місяць тому +2

    dogo anawesa namukubali san

  • @leonardagnatio258
    @leonardagnatio258 2 місяці тому

    Salim kikeke mtu safi✊️🔥

  • @cyroucymuwanji1513
    @cyroucymuwanji1513 2 місяці тому

    💙

  • @gatantz9761
    @gatantz9761 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 Місяць тому

    #ww kiboko san

  • @SimonmaburaruhumbikaMaburaruhu
    @SimonmaburaruhumbikaMaburaruhu 2 місяці тому

    Good

  • @BenadFrank
    @BenadFrank 2 місяці тому

    🎉🎉

  • @RamadhanIddy-x8z
    @RamadhanIddy-x8z Місяць тому

    Dogo unabalaaaaaaaa kinomanomaa tuko pamoja

  • @bensongodfrey
    @bensongodfrey Місяць тому

    Iko pw san

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 2 місяці тому +1

    ❤❤❤😮😮😮🎉

  • @NuhuRichard-g4g
    @NuhuRichard-g4g Місяць тому

    🫡🫡🫡🫡👍 dogo yuko on fire

  • @SezirahigaSadi
    @SezirahigaSadi 2 місяці тому +1

    Dogo nakubali

  • @MckobeMckobe
    @MckobeMckobe Місяць тому

    Dogo sam one,Roma aki mkubaliya na mchangia laki mbili ahende studio

  • @byulenganyaembete
    @byulenganyaembete Місяць тому

    Kutoka 🇺🇸 dogo utaweza

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 Місяць тому

    #kiboko

  • @rogerwilliam3263
    @rogerwilliam3263 2 місяці тому +2

    Mrekebise dogo how to say freestyle.....