Juhudi mpya za EAC kupambana na waasi wa M23 zatoa matumaini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • Vita vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23 ni moja ya matukio mbaya yaliyojiri katika mwaka 2022. Waasi hao waliopigwa na kusambaratishwa kabisa mwaka 2012 walizuka tena na kuanza kuwapa taabu raia. Je, nini matokeo ya juhudi zinazofanyika kurejesha utulivu katika maeneo ya DRC, ikiwepo pia juhudi ya jumuiya ya Afrika Mashariki kuyakomboa maeneo ambayo yanakaliwa kwa mabavu na waasi hao. Sikiliza repoti kamili wakati tukihitimisha mwaka 2022...
    #vita #drc #jamhuriyakidemokrasiayacongo #jeshi #waasi #m23 #voa #voaswahili #dunianileo
    - - - -
    #VOASwahili
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

КОМЕНТАРІ • 21

  • @ndikumwenayoamiel8378
    @ndikumwenayoamiel8378 2 роки тому +3

    M23 🔥💪💪💪

  • @BoraNsekanabo
    @BoraNsekanabo 6 днів тому

    Kabisa

  • @musafidq467
    @musafidq467 Рік тому

    Nawa ombeeni mungu mfanikiwe maana haojamaa sio watu wazuli kabisa🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 2 роки тому +1

    Tuache kumezea mate,mali za Congo 🇨🇩. Ndio sababu ya huu usumbufu,hamna lingine.

  • @swediwabilenga8368
    @swediwabilenga8368 2 роки тому

    Nishida sana Umoja wa matahifa wako ndani ya mahuwaji hii ndani ya kongo

  • @RashidiPembe
    @RashidiPembe 9 місяців тому

    Jamani malizeni hii vita watu wanateseka jamani

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Kagame munakufuru nyinyi raisi wenu kabira si alipindua ,ba ngoja apinduliwe mwengine dayini katiba usiye na ubaguzi wa kibinadamu

  • @DavidKoech-x3i
    @DavidKoech-x3i Місяць тому

    Give m23 what they need please

  • @NdayishimiyePhilippe-tp3or
    @NdayishimiyePhilippe-tp3or Рік тому

    😂😂kunguru wapirwe nirwanda kangami

  • @williamruto36
    @williamruto36 2 роки тому

    Uyu mchambuzi nimgonjwa wa kichwa sio bure 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @danielomondionyango7163
    @danielomondionyango7163 2 роки тому

    Rwanda was number three in world Coltan export, most of these seems were smuggled from Congo. Rwanda should leave Congo

  • @ruzindazajonas8506
    @ruzindazajonas8506 2 роки тому

    Acha kudanganya we mjinga! Doctorate yako niyakununua au niya halali? Unavyofanana nje na ndani unafanana hivyo hivyo! Kisekedi ni mjinga tu na mwenye mkosi! Analeta balaa inchini. M23 ni wakongomani, sababu gani mnataka kuanyangana aridhi ya Babu zao.

    • @estajeanette7487
      @estajeanette7487 2 роки тому

      Wajinga ni wanyarwanda wenye akili kama za ngurue wasio juwa kuheshimu mipaka. You should have claimed those lands before June 30 1960.

  • @felixabimaana
    @felixabimaana 2 роки тому

    Sisiwakongomanitunachokakuona...m23kwetuwatuwanakufabiramupagonaeyasenayohaihagayikeinawezekananayoikonamupagomoja...m23..nawokamahawatakikufayakaziiriyowaretakongowatokewaedekwawo