🔴LIVE | IBADA YA JUMATANO YA MATAMKO | KANISA LA VUKA YORDANI | 10 JULY 2024
Вставка
- Опубліковано 21 сер 2024
- IBADA HII INAKUJIA MOJA KWA MOJA KUTOKA KANISA LA VUKA YORDANI KISONGO WAYA ARUSHA - TANZANIA. IKIONGOZWA NA @Bishop Elibariki Sumbe MWANGALIZI NA ASKOFU MKUU WA MAKANISA YA GRACE EVANGELICAL CHURCH TANZANIA.
Mawasiliano / Whatsapp
+255 745 489440 | +255 782 550 710
Email:vuka.yordani@gmail.com
Tufuatilie Katika Social Media Zetu Kwa Links Zifuatazo :
/ bishopelibarikis. .
/ bishopelibariks. .
tiktok.com/Bis...
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #VukaYordaniMedia #GECT #Tanzania
#KisongoWaya #Arusha #Tanzania
Hatimaye wameanza kuwekwa wazi watumishi wa kuzimu kwa kivuli cha Yesu
Acha kujitafutia laana , unamfahamu huyu mtumishi wa Mungu? Nyamaza acha kujipatia laana kwa wapakwa mafuta wa Mungu
Mtumishi wa Mungu tunamfahamu kwa kupitia Neno la Mungu na Neno la Mungu linasema mtamfahamu kwa matunda yake yaani kwa tabia zake anazofanya.Ukiona mtumishi wa Mungu anauza mafuta na maji ujue ni mtumishi wa kuzumu kwakuwa tumepewa bure na tunapaswa kutoa bure.Labla wewe hujui Neno la Mungu na Neno la Mungu ndiyo kiongozi wetu na ndiyo inayotutofautisha kati ya Mtumishi wa Mungu na asiye mtumishi wa Mungu.Acha kwenda kama kipofu ndugu.
Estou conectado apartir de 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 peço o senhor Jesus Cristo, me libertar de toda maldição, me unindo no altar do teu servo Elibarike Sumbe, me libertar na minha vida financeira, no lar, os meus filhos, a minha esposa, minha família e toda maldição do meu coração, espírito e meu corpo.
Bwana yesu uliyesema watakalolifungua duniani limefunguliwa na mbinguni.nisaidie ninaroho ya kukataliwa na uzao wangu.yesu nisaidie
Nashukuru Mungu kutumia mtumuishi wake Sumbe kwa kurejesha Mali tulionyanganywa na adui miaka mingi ilopita
Asante yesu, tufunulie zaidi yaliyosirini nafsi zetu zipate kupona
Asante yesu
Tuma moto kwa maadui wote wanaoharibu hatima ya esther kapela kuhusu elimu
Amen namshukuru Mungu kwa kunirudishia nyota, heshima,ndoa,kazi,biashara,bahati asante Mungu
Bwana yesu naomba kupitia maombi haya mwanagu akapate uponyaji kyle aliko kile kichwa kinacho muuma kikakae kimya mfungue lile tumbo akale chakula kama zamani damu yake iliyo pungua irudi sawa sawa kwa jina kuu la Yesu kristo amen
B
Bwana niponye me Obadiah Steven mjena and uvwende Kenneth nguku Amina na unilinde bwana sisi wote Amina
Bwana yesu asifiwe Bwana Yesu naomba umponye mwanagu damu yale irudi kama zamani kwa jina la Yeau
Naondoa roho ya mauti kwa mwanagu kwangu kwa mama yangu na kwa dada angu mauti haina nafasi wala mamlaka milele damu ya Yesu itufunike pande zote magonjwa yote ninayaamuru yatoweke kwenye familia yangu kila ugonjwa unaomsumbua mwanangu ukaondoke kwanzia ivi sasa na hata milele Amen.
Mungu naomba ufunguwe ndoa ktk jina la Yesu
🎉🎉🎉Nina shukuru sana kwa ajili ya Mafundisho haya
Amen. Imekuwa wameludisha mara saba.
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Amen amen amen namihpa Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩
Bwana Yesu uliye hai najiunganisha na madhabahu ya vukayordani nifungue ufahamu Mimi na familia yangu, tukujue Mungu wa kweli,amen
Halleluja, Mungu wetu ni mkubwa sana
Mungu kupitiya mafundidisho aya ufunguwe mama yangu anatekwa nakuvu zagiza
Amina 🙏 Amina 🙏 Amina
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏
Jesus Cristo, ti peço Hoje, não me passe, me toque hoje na minha vida 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Amen Amen 👏👏👏👏👏
Amen and amen
Asanteeeeeeee YESU
Mungu atawaweka wazi wote watumishi wasio wakweli kupitia mazabahu hii
Asante Yesu kristo
Amen baba
Ameeeeeeeeèeeeeeen ubarikiwe bb na wishing milele
Napokeya uponyaji
Asante BWANA YESU KRISTO umenifungua na
umenirehemu Tena , na kunipa wokovuwako wakweli. namimi Pia nimekubali kutawaliwa nawe na kuongozwa nawe . Unipe ROHO MTAKATIFU nizidi kuutunza WOKOVU uliyo nipa.
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mungu wangu ulimupa mtumishi bishop sumbe uwezo na mamulaka ya kulanyanga ngee na nyoka nani imani hiyi mudaa unanifunguwa mungu nasema asante mungu ninapo jiunganisha na madhabaho hiyi ninapata ufungulivu katika jina la bwana wetu yesu kristu munazarethi
Amen
Àmen and Amen
Mungu naomba usinipite Bwana nifungulie kwa jina la Yesu kristo
Namushukuru mungu kurudisha nyota yangu kurudisha kibali changu kurudisha eshima yangu kurudisha ndoa yangu napokeya ndoa yangu kwa jina la yesu kristu aliye hali
Amen 🙏 Ameni 👏👏👏
Mungu usinipite
Amen🙏
Ee Mungu naomba niguse mie na familia yangu kwa jina la Yesu kristo
Ubalikiwe
Mungu unions na mimi
Ameeen
Bwana yesu nawanyamazisha kimya kazini kwangu kwa jina la yesu
Bwana niguse baba 🙏🙏
Bwana Yesu uliye hai , nanyenyekea miguuni pako niponye na roho zamauti, kwenye familia yangu
Kila kitu changu kilo ibiwa kirundie kwa jina la Yesu kristo
In the might name of Jesus christ
Eee mungu msahidiye kaka yangu
Mungu mm n mwenye dhambi niokoe nizunguke na damu yesu kristo naomba niwe kiumbe kipya mbele zako baba
Nyota yangu na ya wstoto wangu zinaachiwa kwa jina kuu la Yesu Kristo aliye hai
Ameeeen
God is good all the time 👏👏👏 Ameeeeeeen 🙏🙏🙏
Nisamehe mungu
Asante Mungu kwakuniponya maroho yauzaifu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
♥️🙏🏻
Ndio bwana Ndio Bwana ninasema Ndio
i connect my family with this altar
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Glory to God 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
BWANA YESU, Linda , bariki , inua , pigania madhabau hii , milele yote eee BWANA wakanisa.
Mungu baba unatisha kama nini 🔥🔥🔥
Yohana 21:8
Asikiaye na afahamu.
Amen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amen and amen baba
Amen amen 🙏🏻 🙌🏻 👏🏻
❤❤❤❤ Asante Yesu
Amin amin mtumishi
Niguse Mungu wangu
Bwana utukufu na heshima ni vyako Mungu.nimejiungamanisha na maombi haya familia yetu iphone adui ametunenea mateso mengi.asanteni
Yesu okoa uzao wangu waijue kweli yako.na kweli iwaweke huru
Bwana utukufu na heshima Zina wewe Bwana kwa Jina la Yesu kirsto kilakitu magonjwa yote .
Amen ❤
Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Amen 👏👏👏👏
Ithank you jusus
Ameen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amen 🙏 🙏
Ameen 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Mithali 6:30
AMENNN....YESU YU HAI
Matayo 1:21
Ee mungu nikumbuke na mimi
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
8:33
Niponye yesu wa mazabau ya vuka Jordanie
God forgive me coz my sin
Mwamposa ametajiwa na Pepo, MTU huyu anasema kuusu viatu vya zahabu amewapa wa akinae Mwamposa
Niponye yesu na mtumishi wako huyu
Mahali hapa ni pazuri kama nini
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nahitaji kufika alipo mtumishi huyu kwaajili ya kufunguliwa nampata wapi naomba msaada
Bwana Yesu asifiwe Asante Kwa kuwasiliana nasi .
Karibu kanisa la Vuka Yordani Kisongo waya Arusha.
Unaongea na moja ya watenda kazi kanisa la Vuka Yordani
Ibada ni kila jumatano kuanzia saa tisa alasiri na kila jumapili saa mbili Asubuhi saa tatu na nusu mwisho wa kuingia.
Kufika kanisani kutokea Arusha Town panda hais za Monduli utashuka kituo cha Waya utaona sheli ya Panone kanisa liko nyuma ya hiyo sheli
Karibu Arusha, eneo la Kisongo waya utakuwa umefika na kupata uponyaji
Asante nahitaji unape ratiba ya siku ya maombez ili nije mimi niko simiyu@@justice607
Amen and amen in the might name of Jesus christ
Amen and amen
Amen
Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
i connect my family with this altar