Askofu Gwajima ubarikiwe sana. Wenzako wengi wameacha kuhubiri Injili inayookoa. Wako kuhubiri michango ya fedha na kujilimbikizia mali na kumwabudu shetani. Mathayo 4:1-10.
Askofu Gwajima, karibu na Mbeya pia ,tafadhali. Nyakati hizi za mwisho ni nyakati za hatari. Watu wanapenda fedha kuliko kumpenda Mungu. Hawawezi wakashindwa kufuga misukule. Karibu Mbeya please.
jamani daktal unausisimua mwil wangu,napigwa ganz,tafadhal baba na wengne uje utusaidie ndugu zetu wako nisukule huko waliko!mung akubaliki sn mtumish wa mungu
Mungu akuzidishie neema mtumishi wa Mungu, Mungu akusaidie uende na Mbeya, familia ya mama angu wameisha wote, kabaki mama angu tu, naye ni kwa neema tu Yuko hai
Askofu Gwajima ubarikiwe sana. Wenzako wengi wameacha kuhubiri Injili inayookoa. Wako kuhubiri michango ya fedha na kujilimbikizia mali na kumwabudu shetani. Mathayo 4:1-10.
Hallelujah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Bwana Yesu usimpungukie masih wako, anautangaza vyema Ufalme wako🙏🙏🙏
Askofu Gwajima, karibu na Mbeya pia ,tafadhali. Nyakati hizi za mwisho ni nyakati za hatari. Watu wanapenda fedha kuliko kumpenda Mungu. Hawawezi wakashindwa kufuga misukule. Karibu Mbeya please.
Yesu wangu Dunia hii ndoto au kweli?
njoo na mwanza askofu gwajima!tafadhali njoo utusaidie
Kenya njoo utuhubirie jamani pia sisi twaomba kufunguliwa askofu Gwajimaaaaaaaa
jamani daktal unausisimua mwil wangu,napigwa ganz,tafadhal baba na wengne uje utusaidie ndugu zetu wako nisukule huko waliko!mung akubaliki sn mtumish wa mungu
Mungu akuzidishie neema mtumishi wa Mungu, Mungu akusaidie uende na Mbeya, familia ya mama angu wameisha wote, kabaki mama angu tu, naye ni kwa neema tu Yuko hai
kwa kweli aende Mbeya jamani
Mungu akuinue mtumishi wa mungu
Amina mtumishi
AMEN 🙏 🙏 🙏 GOD BE WITH US!
Amina baba nipo Zanzibar ila tuko pamoja na ninataman niwe msaidizi wako bab
Nisema tayariiiiiiii mlmi si mimiiiiooo
Léo iwe njo leo
Jazwa jazwa na U jazwe Mala dufuuu
Ili nifikiliwe uku niliwekwa
Amen Amen Amen
Nlasma mungu Aitewe mungu twende kaxi baba
Mtumishi karibu sana na kwetu Dodoma mvumi tunahitaji hiyo huduma
Ameen
Uruma Mungu wa kuitwa na kusikiya
Msalabani umeyamalizaaaaaaa
Amen Amen
My God save your people's
Mtumishi kazi Yako imetukuka pigs mtumishi
Baba askofu nimecheka hapo kwa Rashid
🔥🔥🔥Safi sana daddy Gwajima
Glory to God🙏
Mungu mkubwa jamani, tunaomba ututee sisi waja wako
Nakuomba uende wilaya ya Kyela
Mbona na yeye kama hivyo anavyosema, jamani maajabu
Naombeni namba ya Askofu Gwajima
Ameeeeen
Wapigweee
politics at work
Amen Amen.
Amen Amen Amen
Baba Mungu akulinde!