Mtumishi kuna jaribu limesimama kwangu kama mlima nanjitahidi lakini bado halafu nilisha acha kwenda kwenye makanisa baada yakusikia injili ya uamsho naomba unisaidie.
Utukufu kwa Bwana Yesu anae tusaidia pole Sana mtumishi Mungu atakuponya kabisa mtumishi kalibu niko tayari kukuhudumia piga hiyo namba nawe utahudumia
Amina
Nakufatilia sana mtumishi wa kirsto MUNGU akubariki sana.
Ameen
Injili km hii ya wokovu wa kweli watu hawataki hata kufuatilia,lkn ingekuwa ile kupokea pesa ungeona comment nyingi Sana.Mungu akubariki malendeja
Utukufu kwa Bwana Yesu katika yote anayo tujalia kutenda mtumishi yote kristo Yesu apewe sifa