MAJAFAFA YALIYOKAMATWA NA WAZIRI BASHE YALETA BALAA TABORA, WAKILI AKAMATWA KIBABE, TLS WATOA TAMKO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 9

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 13 годин тому

    Ni makosa makubwa yanafanyika

  • @ZainabuBakari-yb4vj
    @ZainabuBakari-yb4vj 16 годин тому

    Kwa nini wezi watetewe? watu wanalima kwa jasho, halafu wasomi wanatetea wezi, hii vp! Et wakili

  • @mdnsakuzi7732
    @mdnsakuzi7732 День тому

    Nawaunga mkono kususia shughuli za Wiki ya Sheria kwa Mahakama,kama hujaangukia mikononi mwa hii dhuruma ya HAKI ukiwa Ofisa wa Mahakama huwezi elewa nini kinaendelea ndani ya Muhimili wa Mahakama yetu,Ofisa wa Mahama zetu anayetambuliwa na kulindwa iwe kwa mema au mabaya ni anayepokea mshahara wa mahakama,mihimili yoooote inayoshirikiana na mahakama hasa ktk HAKI JINAI haitendi HAKI ndani ya Afrika na kwa Waafrika wanalindana kukandamiza HAKI JINAI,Mungu tusaidie!!

  • @FucianeBulemo-nd4wc
    @FucianeBulemo-nd4wc День тому

    Mbona tunaambiwa tujiajiri

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 2 дні тому

    Kazi kubwa ya wezi ni kuwatetea wezi wenzao, haijalishi ni watu wenye nyadhifa gani.

    • @DeogratiusMwanicheta
      @DeogratiusMwanicheta 2 дні тому

      Chombo pekee kilichopewa mamlaka kisheria ya kujua mwizi au sio ni Mahakama 😅 kaka

    • @salummbunga4167
      @salummbunga4167 День тому

      ​@@DeogratiusMwanichetamtandao mmoja tu hao,,

    • @valerianrwebandiza754
      @valerianrwebandiza754 День тому

      Kumbuka wakulima wanaodhuluniwa kiujanjaujanja pia. Kilimo hakiinuliwi kwa siasa na ujanja