🚨Mazito ya Musonda ndani ya Yanga,Inshu ya kuondoka Yanga,Mfumo ndio umemkataa?au

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #ahmedally #alikamwe #football #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

КОМЕНТАРІ • 4

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 7 днів тому +2

    Hersi alishasema January tunasajili wachezaji 2

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 7 днів тому +1

    Musonda alicheza peke yake mechi ya Azam kombe la shirikisho

  • @aristedesmathew1352
    @aristedesmathew1352 7 днів тому +1

    Ligi ya zambia nyepesi ndo maswala ya fredy koblan

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 3 дні тому

    Musonda hajafeli kama uwezo wenu wa kufikiri unavyowatuma na wala hana changamoto yoyote. Ni mchezaji anayetimiza majukumu yake vizuri na ana mchango mkubwa pale Yanga hasa kutokana na style yake ya uchezaji na ndo maana ni squad player na Gamondi anapenda kumtumia zaidi kimbinu. Yanga kwasasa ina wachezaji wawili tu ambao kama wako fiti basi wanauhakika wa kucheza, wachezaji hao ni Diara na Aucho. Na hii ndo maana halisi ya timu kuwa na kikosi kipana Sasa wachambuzi wa hovyo hamjui hata kipi mchambue kipi muache kwasababu siyo kila jambo kwenye football lina maana.