WAZIRI MKUU AKUTANA NA MADUDU AYAANIKA HADHARANI WATUMISHI WANNE MATATANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @inocenciamboya5252
    @inocenciamboya5252 10 годин тому

    Mungu akupe maisha marefu

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe День тому

    Kazi imanza🎉🎉🎉

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 8 годин тому

    Enyi wezi kwenye pochi la taifa tunaomba mtuhurumie. Sante sana waziri mkuu kwa kuchukua hatua kupambana na hili tatizo. Zitungwe sheria hasa kwa walio na mamlaka ya kutokuweza kuhamisha pesa from one place to another just as they wish.. System ipo weak pengine au kuna loop holes.

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 23 години тому

    Hapo mjomba nakuamini kula nao 👏👍

  • @inocenciamboya5252
    @inocenciamboya5252 10 годин тому

    Bab nakukubali kweli kweli hupindishi unapenda ukweli

  • @zachariangimba5126
    @zachariangimba5126 23 години тому

    Mh.Waziri mkuuu ktk ziara ya mkoa wa Dar es salaam njoo kata ya msigani eneo la shule limeuzwa Kwa mtu anajenga katikati ya majengo ya shule

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 9 годин тому

    Tumewachoka cc mnaajiri wezitu

  • @geey7893
    @geey7893 20 годин тому +1

    Wakati Magufuli anawatupa jela mlisema anafanyaje? Ni Dictator? Haya twendelee kunywa mtori nyama ziko chini

  • @MwalukoMakomelo
    @MwalukoMakomelo 14 годин тому

    Tatizo ajila za kujuwana zinadhaifisha taifa letu letu wakufunga kengele Nani konekisheni nimbaya inauwa taifa

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Годину тому

    Ndo matokeo ya kuwa na madiwani wa chama kimoja hakuna wa kumchunga mwingine

  • @madinahemed3650
    @madinahemed3650 День тому

    Warudishe fedha zetu

  • @AlexJohn-e3r
    @AlexJohn-e3r 17 годин тому

    Ma ccm chokolaaa nyie endeleeni kutuibia pesa tuu ipo siku Mungu atakuja kujibutuuu wezi wakubwa nyieeee

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 21 годину тому +1

    🇹🇿🇹🇿🫡💯

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo День тому

    Kodi yetu inavyoishia mifukoni. Taratibu na sheria za uwajibishaji ni nyepesi mno. Walioshiriki na kuwezesha wakiwanajuwa kinachoendelea, hao wote ni wezi. Wafukuzwe na sio kushushwa vyeo na mishahara

  • @edwinwinter5974
    @edwinwinter5974 День тому

    Alec Meadow

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 17 годин тому

    Tatizo nipale ambapo watu wa kutuletea maendeleo ndo majizi wakiwa hawajapata ajila kama watu vile

  • @GilbertMollel-j6n
    @GilbertMollel-j6n 21 годину тому

    Acha kutuzuga waziri miaka yote ulikua wapi sahiv ndo mnatuektia mnafanya kazi

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 22 години тому

    Toeni jina wajanja jua mkuu hakuna asietaka ujanja watafutie jina litalofanana Una ualifu wao

  • @HonorataMafala
    @HonorataMafala 17 годин тому

    Wajanja wanatajwa kila leo na CAG mpaka Raisi akakasirika akatumia maneno makali kuonyesha akichukizwa na wizi uliokithiri. Waziri alikuwepo hajafuatilia mpaka leo. Hawa wanaotajwa labda hawana jina ni dagaa tuu mapapa wametulia. Huu ni wakati wa uchaguzi ndio mnatuambia mnafanya kazi? Hagudanganyiki

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 День тому

    Timu, kamati, tume, kikosi kazi bla bla bla ... BUSINESS AS USUAL

  • @faridiathumani3114
    @faridiathumani3114 17 годин тому

    Tatizo nipale ambapo watu wa kutuletea maendeleo ndo majizi wakiwa hawajapata ajila kama watu vile