"WANACHAMA WA CHADEMA HAWANA IMANI NA UONGOZI WA MBOWE" - GWAMAKA MBUGHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 23 дні тому +8

    Safi sana Gwamaka hoja zako zina nguvu mno.....nimekuelewa sana kuwa mjumbe wa kamati kuu anapoenda kupiga kura si yake bali ni wananchi wa eneo husika awasikilize wanataka nn na wanamtaka nani nipo akapige kura kwa niaba ya wananchi kwa sbb mjumbe kura hii si yake bali ni kura iliyo na maoni lukuki ya wananchi.Wajumbe wa mkuu zingatieni hoja hii ndiyo muongozo wa kuzaa M/kiti wamtakae wananchi/wanachama na si wamtakae wajumbe wa mkurano mkuu.Wajumbe wa mkutano mkuu acheni ushabiki uletao maumivu kwa chama na wananchi na kukifanya chama kudumaa.Hongera sana Kamanda Gwanaka mm nimekuelewa mno na ndo maana nakuunga mkono Tundu Lissu anafanya kwa siasa za nyakati hz ,Mbowe apumzike tunamheshimu sana

  • @josephmolle
    @josephmolle 23 дні тому +6

    Hao watu Wa lisu walijipanga sana nilipenda majibu yao ❤❤❤

  • @ramamahanyu9314
    @ramamahanyu9314 23 дні тому +3

    Nakubaliana na gwamaka

  • @renatustinsimile5410
    @renatustinsimile5410 23 дні тому +1

    Excellent Gwamaka good talking

  • @MaximeMasinga
    @MaximeMasinga 23 дні тому +3

    mmmh huyu jamaa ana kitu👏

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 20 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂ila gwamaka eti katika vijiji 70vya Jimbo analotoka yeriko nyerere walisimama wenyeviti 9 kwaiyo data za yeriko Nyerere nizakupika

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 16 днів тому +1

    Mnyakyusa Huyu Anaongea Pointi

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 16 днів тому

    Tunamkubali Lisu

  • @BarakaOchuu
    @BarakaOchuu 23 дні тому +1

    Gwamaka uko vzr

  • @SalumMwashambwa
    @SalumMwashambwa 16 днів тому

    Huyu jamaa mwenye shati nyeupe yeriko Ajifunze kwake ina weza kumsaidia

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 23 дні тому +1

    Hawa watu wa upande walisu vichwa sana wnaongea point zilizo shiba.....kama mbowe kashindwa serikali za mitaaaa.....utaundaje serikali kuuuu

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 21 день тому

    Hivi mbona waandishi mnabana upande mmoja ? ..kawaida muda Huwa unaonge...

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 21 день тому

    mbowe apumzike

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 20 днів тому

    Kama chama bado kinamtegemea mtu mmoja tu basi sio chama ni kioski cha mtu

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 21 день тому

    Kweli wale ambao bado wanaamini Chadema bila Mbowe haiwezi kwenda bado wana akili mgando kabisa..

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood 22 дні тому +1

    Chadema tumekwisha sasa kumekuwa na Chadema lisu Vs Chadema mboe

  • @amospetro8789
    @amospetro8789 23 дні тому

    Yaaani mmajikaaanga wenyewe amkeni

  • @bonifasimichael1320
    @bonifasimichael1320 23 дні тому

    Tundu lisu ndio mwenyekiti

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 23 дні тому

    Vingozi wa serikali za mtaaaa waliachwa pekeyao......hata sapoti ya uchumi ni ndogo......falsafa ya kamand....inatumika kuwaumiza

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u 23 дні тому

    KAMA MNAOJIFANYA WANASHEA CDM KILAMTU ANA SEMA LAKE HAMDHANI MLEKEBISHE KATIBA YENU KWANZA? MUNGU ANATUONYESHEA KUMBE HATA MNALOLIFANYA HAMULIELEWI. HAPO HAKUNA CHAMA.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 23 дні тому

      Unakosea chama ni watu wene tabia tofauti

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 23 дні тому +3

    Safi sana Gwamaka hoja zako zina nguvu mno.....nimekuelewa sana kuwa mjumbe wa kamati kuu anapoenda kupiga kura si yake bali ni wananchi wa eneo husika awasikilize wanataka nn na wanamtaka nani nipo akapige kura kwa niaba ya wananchi kwa sbb mjumbe kura hii si yake bali ni kura iliyo na maoni lukuki ya wananchi.Wajumbe wa mkuu zingatieni hoja hii ndiyo muongozo wa kuzaa M/kiti wamtakae wananchi/wanachama na si wamtakae wajumbe wa mkurano mkuu.Wajumbe wa mkutano mkuu acheni ushabiki uletao maumivu kwa chama na wananchi na kukifanya chama kudumaa.Hongera sana Kamanda Gwanaka mm nimekuelewa mno na ndo maana nakuunga mkono Tundu Lissu anafanya kwa siasa za nyakati hz ,Mbowe apumzike tunamheshimu sana

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 23 дні тому +1