SHEKH DR HUD HUD AWAPA NASAHA SHARIF FIRDAUS NA JOPO LAKE /MSITUKANE MASHEKHE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @hajjialy2413
    @hajjialy2413 21 день тому +3

    Namuomba Allah akulipe Kheri katika kheri zake kwasababu ya haya maneno mazuri uliyoyazungumza, MAA SHAA ALLAH

  • @SifatyAlly
    @SifatyAlly 21 день тому +1

    Jazaka Allahu khairan

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 21 день тому +2

    MASHA ALLAH MUNGU ATUHIFAZII

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 23 дні тому +2

    Kabisa sheikh 👏👏👏👏👏👏👏🏻

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 23 дні тому +2

    Sheikh asante kwa kuzungumzia hili

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 21 день тому +2

    Kaka uko vzr sana watu wengi mno wanaumia sana kuona wanaojinasibisha na ushekhe wanaangamiza umma na kujaza daftar za madhambi dah huyo firdaws na wenzake wanaangamiza ummati wa muhammad S A W ,na watakuja kuulizwa na ALLAH SW.watafute majibu ya kumjibu Allah

  • @Mtotorangiyatenga
    @Mtotorangiyatenga 23 дні тому +1

    Jazakallah kheir InshaAllah

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 21 день тому +1

    Baaraka llahu fiyka!!

  • @Omanzikra-ft5cr
    @Omanzikra-ft5cr 21 день тому

    Masha allah mungu akulipe kheri tumekuelewa sheikh

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 21 день тому

    MashaaAllah Sheikh umetoa nasiha nzuri Allah akubariki na akulinde na kila shari. Sheikh Firdaus hajielewi na wapambe wake.Mwenye macho haambiwi tizama kila kitu kinajieleza ukiona mtu anatumia nguvu sana kuaminisha watu jambo au hakubali kosa ujue ana mapungufu. Mwenye hekima hukubali na nasaha na kuifanyia kazi. Nilisikitika kuona ujinga uliofanyika kati yake na Sheikh walid kamtunza pesa alipomsifia yeye Sharifu.Masharifu wanazika vitu halafu wanadanganya watu eti makarama😢.Mashekhe watajivunjia heshma wakiwa wapambe wake.Tumuogope Allah dini sio ngoma kila mtu acheze

  • @KabebeMazambi-w9u
    @KabebeMazambi-w9u 22 дні тому +4

    😢😢😢 watamuelewa uyu sheikh? Ispokuwa wenye imani. Usichoki sheikh muwakemee awo watu wanatupoteza sana

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 21 день тому +2

    جزاك الله خيرا يا حبيبي

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 21 день тому

      wewe diwani kumbe umemkimbia bachu umekuja huku.sio nenda ukajibu hoja za bachu wewe na mwenzio maalim acha ku comments hapa

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 21 день тому

      na wewe diwani ND wale wale ona wanaume wanao jiamini akaunt ziko wazi mbona wewe unapo ongea porojo zako unafunga akaunt wamanisha nn kama weye unajiamini fungua acaunt yako halafu pia tambua tawhidi ziko tatu chukua hizo

  • @raniaMedje
    @raniaMedje 22 дні тому +2

    Kweli kabisa

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 23 дні тому +2

    Sheikh umezungumza vizuri sana

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 23 дні тому +2

    Kabisaaa

  • @IddySeleman-w3w
    @IddySeleman-w3w 21 день тому

    Munguakulipe hayamaneno maneno ni mnazidiana wateje

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 23 дні тому +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RAMAMBAURO
    @RAMAMBAURO 22 дні тому +2

    Awo masharif niwaganga

  • @shekhabbasisharifuonlinetv5990
    @shekhabbasisharifuonlinetv5990 23 дні тому +1

    Umesema kweli mwamba

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 21 день тому +1

    SHEKH NAMI NAKUPA NASAHA USIMZUSHIE ALLAH JINA LISILO LAKE KWANI UKISEMA ALLAH MWANZO MWISHO UTAATHIRIKA NINI! ELEWA HATA WEWE UKISEMA MUNGU UKIMAANISHA ALLAH ANACHUKIA,NASAHA YANGU NI HIYO NA KWA WOTE WENYE MAZOEA KAMA HAYO.

    • @jitihadaonlinetv739
      @jitihadaonlinetv739  21 день тому

      @@JumaAthuman-bk6hx sijaelewa unakusudia ALLAH Sio MUNGU au u akusudia MUNGU SIO ALLAH au jina Gani shekh alilo mzushia mungu

    • @JumaAthuman-bk6hx
      @JumaAthuman-bk6hx 21 день тому

      @@jitihadaonlinetv739 Ndugu yangu Allah alimaliza mapema na kubainisha tumuombe kwa majina yake mazuri na kwa sifa zake, Mungu si Allah Mungu ni fikra za kumfananisha na yeye ambapo tukimpwekesha kwa majina, Leo mimi nikienda