Asante sana Lingo Farm😮 kwa mafundisho mazuri ya ufugaji wa kuku.Ningeomba kujua pesa 1,000 au 10,000 za Tanzania ni ngapi za Kenya?Pia naweza tuma aje pesa za masomo na kitabu?
Na kama kifaranga hawezi kusimama yaani miguu yake Haina nguvu ya kuubebamwili wake akitembea anaanguka huu nao ni ugonjwa Gani na tiba yake ni nini au ipi ?
Ana upungufu wa madini ya calcium au ugonjwa wa mahepe tiba zake fuatilia hizo video utaona au unaweza kununua kitabu chetu Cha tiba za asili za kuku utaona hayo yote pia
Asante saba mimi nimetumia kitungu maji, swaumu, na avaliable, wamepona mafua kw cku 3. Asnte
Shukrani sana
Asantr
Ahsante dada
Shukrani sana
Ubarikiwe kwa elimu nzuri
Ubarikiwe nimejifunza vizuri
Amina
Asante kwa elimu nzuri pia naamini sana kwenye tiba za asili najikuta elimu hiyo inaniingia sana
Shukrani sana
Asante sana kwa mafundisho mazuri
Shukrani sana
Asanten mana
Shukrani sana
Nimefurahia elimu
Asantesana dada nawe bungu akubariki
Amina sana
Ahsante kwa elimu
Shukrani sana
Kitunguu swaum
Asante Kwa ushauri
Shukrani sana
Asante sana Lingo Farm😮 kwa mafundisho mazuri ya ufugaji wa kuku.Ningeomba kujua pesa 1,000 au 10,000 za Tanzania ni ngapi za Kenya?Pia naweza tuma aje pesa za masomo na kitabu?
Tutafute WhatsApp 0712188239
Je tiba hii yafaa kwa kuku wa umri gani
Kuanzia mwezi mmoja
Asante
Shukrani
.Nashukuru kwa mafundisho mazuri. Na jifunza kutoka Kenya Nandi county. Kifingofarm yiko wapi?
Tanzania MTWARA
Naomba kujua
Kujua kitu Gani??
Vifaranga waliodumaa wapewe nini?
Lishe Bora na vitamin Mbalimbali za asili na za dukani
Ubarikiwe sana lkn vp nikiwa nawapa kwa kila siku nabadishia dawa hizi za asili kwa mfno leo nawapa kitunguu kesho nawapa alover je? Kuna madhara?
Hakuwa madhara
Error type sio Lingo Farm ni Kingo Farm pole kwa hilo samahani.
Ok
Ahsante sana, kitunguu unaweza kuwa unaweka kiasi kwenye kila mchanganyiko wa majani?
Ndio
Unaongea sana unazunguka sana wabongo bhana ha ha ha ha mnajiona mnajua ujinga tu wewe elezea sio kuzunguka sana
Shukrani boss tumelipokea
Kuku anakuwa na mafuta yaliyoganda tatizo nini?
Chakula unachompa
Unablend kila kimoja peke yake au unaweza kuvichanganya pamoja ukablend vyote?
Unaweza kublend vyote Kwa pamoje
Kwa pamoja
Toa kipimo cha kutumia kitunguu maji
Sikiliza vzr video
Naomba kujua ukiandaa huu mchanganyiko unawapa moja kwa moja au unaandaa jioni unaulaza then unawapa asubuhi?
Mchanganyo wa kitunguu maji ndio ukilala unafanya vizuri zaidi
Naitaka kujiunga
Tutafute WhatsApp 0712188239
Nashukuru sana nimependa
Je moshi huweza kuathiri kuku?
Ndio unaathiri
Na kama kifaranga hawezi kusimama yaani miguu yake Haina nguvu ya kuubebamwili wake akitembea anaanguka huu nao ni ugonjwa Gani na tiba yake ni nini au ipi ?
Ana upungufu wa madini ya calcium au ugonjwa wa mahepe tiba zake fuatilia hizo video utaona au unaweza kununua kitabu chetu Cha tiba za asili za kuku utaona hayo yote pia
Nipishe mie tangu lini mbongo akamfaidisha mwengine
Unamaanisha Nini??
Tatzo lenu mkiongea hamwendi kwenye kichwa cha habari maana kila maelekezo na vitabu endeni kwenye mada
Mada zipo na kitabu ni tangazo tu
Unauhakika au umesikiliza mpaka mwisho????
kuku wangu wanawez taga mayai 10 -- 15 tatizo kwenye kutotoa anatoka na vifaranga 5 au 3 na hawaķui wataishia kufa tu.
Jiunge na kundi letu la Mafunzo ya ufugaji utajifunza mengi zaidi
Kwenye tiba ya miharo na matumbo, hujasema ni kiasi gani cha majani ya mpapai yatakayotumika au alovera kiasi gani.
Mpapai majani sita kwenye maji Lita kumi na aloevera ni majani mawili
naomba namba ya Whatsapp nataka kutuma Hela kwa ajili ya kitabu tafadhali sana
0712188239
0712188239
Vifaranga unaweza kuwapa?
Subiri watimize wiki tatu
Nahitaji msaada
Tutafute 0712188239
Ww kilakitu ni dawa kweli?
Jaribu uone
@@KingoFarm1 sawa
Naomba namba yako
0712188239
Somo zuli
Shukrani sana
Naweka vitunguu maji tu? Au unachanganya na vitu vingine? Hapo naona kuna dawa zingine katika sahani.
Unaweza Kuchanganya au usichanganye