Alikiba Live in Zanzibar. Kendwa Fullmoon Party
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Alikiba live in Zanzibar, Kendwa Fullmoon Party. Celebrating 25 years of Kendwarocks, thanks to everyone who came out to party, it was really a FullMoon party!! Tuliimba na kucheza, liveband ya nguvu kabisa. Zanzibar I promise to back. @kendwarockszanzibar
#KingKibaInZanzibar
🎥 Alchama official
📸 Aboukiba
Hivi ndo mziki unavyotakiwa watu wanacheza wanainjoi kabisa kiba king like zangu naomba apo
Nakubalii mzee wa kazi miaka 100000000000...hakuna wakukufkia mzeeee wengine mbwe mbwe2
Show ni Kali San bro much love kama yote ila unatunyanyasa Sisi watu walioko mbali mzee Post ndefu kidogo mzee au kama yote hivi nasisi tupate vibe pia 254🇰🇪 tunakupenda San pia
King kiba only one kama ulaya vile hii ndo zanzibar pekee 👑👑👑👑
👑👑👑👑💥🌟⭐💥💥 number on Tanzania wakupinga Nani Kiba, KiNGS
This guy still number one can you hear the sound performing alive the sound is perfect not cracking
Zanzibar walipata burudani ya dhati kabisa❤❤❤
Kawaida king ndio unaewaweza wazanzibari amna msanii anaewaleta wa2 kwny show za zenj km ww. I salute u king
Ao siwazanzibar niwabongo
@@AliMohamed-gv7nw muongo wew
@@ramathedon4001 ww hujielewi
Wasanii wa kibongo wakija Zanzibar hatuna shobo nao mwisho wanaambulia patupu ila we King kiba we ndo unaiweza Zanzibar sio wasanii wengne
Kiba mtu wa watu. Hana makuu kama wale limbukeni kina mporogwanyoso dadeki zao...watoto wakizungu wanazungusha viuno ka feni la choo cha ku share. Bladifakeni King kama King ndio mwenye bongo flavour yake
King 👑 Kiba utabaki kuwa king TU !! Coz Kuna vijitu vinajaribu kukukompea na wapiga kelele nasio wasanii, good job bro
Alikiba umetisha
You are something elese bro in this world 🌎
Tunajuwa mziki mzuri upo kwetu king's music record label 💥💯
Leta album tuwafunze King ndo Nani love from Kenya
Zanzibar tumetishaaaaaaa nlikuwepo king 💟💟💟
Ulikuepo kweli? mm nipo nje ya nyumbani ZANZIBAR lakn ninavyomkubali KING👑KIBA nisingelikosa na ukizingatia sio mgeni hapo KENDWA
@@kreamagdfsa1697 ntakosaje kuacha kumungalia king kiba nlikuwep uwakikaaa
@@kingamus4444 Safi sana umetisha
@@kreamagdfsa1697 pmj
@@kingamus4444 👍
WowMashallah beautiful kendwa beautiful memory it's a beautiful place to enjoy
Kweli ww ni mufalme wa Tanzanie 💥🌠
🔥🔥🔥🔥 mfalme kiba hakuna kama wewe fans tunakupenda sana 👑👑🙏🔥❤️❤️
Alikiba ni hatar sana
The king alikiba salute to you my brother
Hii ilikuwa noma sana Inadhihilsha hakuna kama wew KING KIBA
King,,,,King,,,,King,,,,,History made again,,,,,,Tafadhali msimfananishishe Alikiba na wasanii wengine takataka wa Tanzania,,,,,,Team Kiba for life huyu jamaa akiacha mziki na mimi naacha kufuatilia kabisaaaa i assure you guys....🔥🔥🔥🔥🔥
😀😀same here mi msanii wangu anaejua bongo ni hyu
Danger
Safi Sana kiba🔥🔥🔥🔥👊
Real show.no bodyguard you can just enter the stage and dance with your celeb alikiba is the king in deed💯💯💯😘
The one and King 🤴 ❤ 🙌
Sema ww jamaa upo vzr kwenye live performances 👏🙌👌
The best performer,,,in Tanzania and world 🌎 wide
The Unstoppable King Kiba!
Big shout out kwa Alchama super videographer usiye na maskendo bongo
😂😂😂😂hawa wazungu wamenichekesha sana style ya kucheza
Huyu Alchama ni noma sana
Mziki live huu ndio mzik mzur na mtam unaoskilizik na kuijoy
King naona umeamua mpka wazungu wana kata viuno kweliii🔥🔥🔥🔥
Kiongozi wa bongo flava nani atakataaa ???? Hakunaaa 👏👏👏👏👌👌🙌🙌😍😍😍
Halina ubishi
Salute king kiba
On 🔥 on 🔥 yeeeeeh bhaba
Huwo ndio music tunao utaka sio akina fulani ao wanoporoja poroja tu king unaweza wee mkali sanaa
Kabisa
Goosebumps all over,Kiba the undisputed King for sure!!!
Nakukubali everyday everytime❤️❤️❤️kiba for life100%
King kiba ndio msani peke anaweza kujaza Zanzibar
Tunamkubali sana zaid ya sana WAZANZIBAR tulio wengi
Mashallah znz beautiful island to enjoy have stress freee
Return of king 👊💯🤴
king atabaki kua king t,,,,,king kiba👑
Yaaaaa baba I love you from Somalia 🇸🇴
excellent my king, AliKiba you will always be number one (from Las Vegas, USA)
Hua napenda sana live Band yako
Show la kuparty sasa ndiyo hili 🔥🔥🔥🔥🔥
King of bongoflava the energy wow good performance
Wow very nice uko juu Sana sana
Alikiba utaniuwa maana haujawahi kubow hata kidogo salute king Wang my name is .Hakiba tone ni msanii wa kahama bulyankhulu 👍👍👍
Kutoka Rwanda 🇷🇼 tunakubali sana mfalme anaye pendwa na watu 🔥🔥🔥
Ukimkuta mtu kacomment vibaya au kudislike...jua yupo timu SADALA😂💪🔥🔥🔥🔥
𝐓𝐫𝐮𝐞
👑 and 👑 size of my favorite thing in my life
King kiba noma sana
There can only be one King #KingKiba 🤴. Live band no playbacks 🔥 👏
My king kiba salute to you 🔥💯
Good performance king kiba
King always on point. Atmosphere here explained all. Atupee ingine Moja 🔥🔥🔥ya October
👑 kingkiba 🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Watt atubixh kwan ww ni king🔥🔥🔥🙌🙌🙌
my everything one of my all timeless song
Mfalme ni mmoja. Tu #kingkiba
King Ni mmoja tu Ali
Tembea Kenya king ni mda sijakuona
Mzee baba unazeeka tyu kimuonekana ila kipaji ndo kama kinazidi kung'araaaa kaka yangu nkpenda ur one of the great musicians who represents east part of Africa,GOD BLESS U SO MUCH(KING KIBA)
Yebabaaa
Kingi km 🤴 king
Ali kibae ❤
King ni mmoja tuu
Once a king always a 👑. King Kiba killed it, mob love from +254 Kenya.
Woow big up sana broo
Salute king, live performance duuuuh anaejia anajua tu 🙋
King kama King huyu ndo King kibaaaa
Lete album king
Only one king 💥💥
King kiba mukali wa show
Big up to King Kiba and the all king's Music Label
King n mmoja tuy yeebaba the King 🤴🙌♥❤
I watch with happy tears
King🙌🙌🔥🔥
Nakukubali miaka yote ya Maisha Yangu nimekuchagua ww kuwa mwanamziki wangu
Great performance
Wow good job 🎶 keep going king 💥💥💥🌎👑👑
ua-cam.com/video/WUdAO1tHGvE/v-deo.html
King music forever.
Da real musician yo... da king📌
Yeeeeee baaaaaaaa nomaaaaa tanzania one
Kendwa rocks king kiba🎶🎶👑
♔ kiba 🔥 🔥 🔥 🔥
Full vibe 🔥🔥🔥🔥
People's love to Alikiba is unconditionally
King umetisha💪
Mfalme,🔥🔥🔥🔥🔥
Safy sana king kiba 🔥🔥
Show kali
👑 👑 👑 King kibaaaaa
Loh zetu zilitakata sana
Yani kingi kiba
Mfalme Anapendwa nawatu
Vilipigwa vibao matata
Nyimbo zenye maudhui bola
Yani loho zilikua kwatuuuu. ALIIIIIIIIII nikipenzi cha watu
King mwenye zenj yake
Mfalme 🇹🇿🏆
Ilikuwa hot🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kong kama king👑🔥🔥🔥
Show show brother King.... 🤴👑
Unajua sana live dogo
The king