SHIMO LENYE MAAJABU LAIBUKA ZANZIBAR ILI KUTOA PESA ZA KIFALME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #Habari #KtvTzOnline
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Juma Maulid
    cc: Masoud Maganga
    cc: Sauti Byego
    cc: Tunu Salum
    cc: Maryam Busara
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Dula
    Editors:
    Juma Maulid
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

КОМЕНТАРІ • 138

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому +9

    Mambo haya huishilia ushirikina.
    Tafuteni kazi za kufanya.
    Hakuna utajiri wa ndoto

  • @hilalmohammed168
    @hilalmohammed168 4 роки тому +6

    😂😂😂kwaio upanga Wa sayyidna Aly ameuvaa shingoni. Anaujua upanga Wa sayyidna Aly uyu kweli. Bangi bangeni kama uongo ulizeni.

  • @fastlady3099
    @fastlady3099 3 роки тому +1

    Ushirikina

  • @bakarimussa4164
    @bakarimussa4164 3 роки тому

    Achaujinga kupoteza nguvunyingi hapo ungekuwa umeshalima eneo kubwa la matikiti ungekuwa fogo kaka.

  • @FaudhanMuhamad
    @FaudhanMuhamad 4 місяці тому

    Wemuongo saidn Ali umeupata wap

  • @SamMus-qn1pu
    @SamMus-qn1pu 6 місяців тому

    Mbona munadanganya watu nyinyi kwa kutumia mambo yenu ya uchawi

  • @abdallasaleh2303
    @abdallasaleh2303 3 роки тому

    Huyu jamaa inaonesha amechizika Kwa bangi

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 4 роки тому +2

    BANGI JAMANI ! 😄😄😄😄 MBAYA KULIKO JINI!

  • @DonDallas
    @DonDallas 3 роки тому

    Ndugu utapotea katika raman ya dunia shauri yko

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 роки тому

    Ilo shimo lisijekugeuka kaburi la watu jamani munaochima muchukue tahadhari ya usalama na watoto hasa uck mtu hatoona iyo hatari muache tamaa wanajamii kulinda usalama

  • @mangulymanguly139
    @mangulymanguly139 4 роки тому +4

    Tatizo cc watu weusi tunazarauliana angekuja kuchimba mzungu angepewa full sapoti mpeni ushirikiano muone kuna nn

    • @simbamtoto7530
      @simbamtoto7530 4 роки тому

      Kweli kabisa

    • @rehanijuma6910
      @rehanijuma6910 4 роки тому +1

      Mpeni sapot serekali mujue kuna nini kama balkoni ipo inamaana kuna nyumba ya zamani hapo hayo urithi wetu msimzarau angekua mzungu hapo mngesema kweli🙂

    • @khalfansoud8383
      @khalfansoud8383 4 роки тому

      Kweli

  • @almazalmasr1688
    @almazalmasr1688 4 роки тому +4

    Nchi za Kiafrica yaani mtu anajichimbia shimo mitaani bila safety facilities kama kuweka uzio kutoa tahadhari kwa kuweka kibao cha warning yaani tupo tupo tu haya mambo yataisha lini

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 роки тому +3

    Unaelewa ghaibu , tuambie CORONA itamalizika Lini? Madaktar wa unguja KAZI kwenu😂😂

  • @donpablo2651
    @donpablo2651 4 роки тому

    Bangi alichanganya na konyagi akapandishia na mirungi, pumbavvvv wewe na wenzako nyote bangi tupu

  • @fastlady3099
    @fastlady3099 3 роки тому

    Utapeli wakibongo

  • @hudaaalhussein3841
    @hudaaalhussein3841 4 роки тому

    Aoneshe alichokipata

  • @allyally9915
    @allyally9915 4 роки тому

    Mie naona huyu jamaa kashadata

  • @chrisiasbrown2208
    @chrisiasbrown2208 4 роки тому +3

    bongo kuna madini kibaooo. angeenda mererani.. sio zenji

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Bass haya

  • @yussufdogo1861
    @yussufdogo1861 3 роки тому

    Kwakweli ni hatari

  • @safarsafari68
    @safarsafari68 3 роки тому

    Duu si mchezo, huyo jamaa kama kadata, sasa zaidi ni kulizungusha hilo eneo ili watoto na watu wengine wasije kuzuruka

    • @azzizamcha8845
      @azzizamcha8845 3 роки тому

      Mm kama mm hawo wana tafuta mashaka namambo yawatu hao ila mungu atustili na watoto wetu

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 4 роки тому +2

    Kwa nini aruhusiwe kuchimba,sehemu hiyo ya makaazi,anahatarisha maisha ya watoto,huyu mgeni sasa anavamia maeneo ya watu,na kufanya anavyotaka yeye,ujinga mwingi,bangi si chakula,k tv mnaidumaza jamii,kwa nini hamuzungumzii uhalisia,vichwa vya habari na tokeo lenyewe ni vitu tofauti.

  • @hasfatariq3697
    @hasfatariq3697 4 роки тому

    hatdarii

  • @saidjabir4647
    @saidjabir4647 3 роки тому

    Hii no hatari

  • @Gamba177
    @Gamba177 4 роки тому +1

    Njaa hiyo itakuuwa ndiyo maana ukaitwa wa kudata

  • @faridajuma833
    @faridajuma833 4 роки тому

    Huyu chiz

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +1

    Njaa ikizidi bas tamaa uwongo na utapeli na wizi haukosekani PUMBAVU kweli

  • @khamisraweh1481
    @khamisraweh1481 4 роки тому +2

    Hyu jamaa itakua bangi isha mmaliza

  • @ladytatu2139
    @ladytatu2139 4 роки тому +1

    😄😄😄😄😄😄😄Uyu niwakudata Kweli uwiii

  • @msakaramohamed4298
    @msakaramohamed4298 4 роки тому +2

    huyu jamaa kachanganyikiwa anaweza kuchima hata chumbani kwake hahahahaha

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому +2

    Mambo haya huishilia ushirikina.
    Tafuteni kazi za kufanya.
    Hakuna utajiri wa ndoto

  • @abdulshamte
    @abdulshamte 4 роки тому +2

    Kuna mambo kama yanafanana ukisikiliza vizuri 3:21 na ukisikiliza tena huyu 5:52, kama kuna mambo yanafanana, lakini hayo mambo ya kale wala sio ajabu. Ila kwa tamaa hizi za rupia mimi nawashauri bora watafute kazi nyengine za kufanya wasipoteze muda. Au kama kutakuwa na dawa ya Corona waendelee kuchimba

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 роки тому +1

    Archeology ni sehemu muhimu ya elimu lakini ni watu wachache watafahamu kwanini watu huchimba sehemu tafauti kutafuta madini. Kwa wale wasiojua na kufahamu, kutafuta madini ni sehemu ya ushahidi wa historia ya mambo ya kale pamoja na kutaka kujua zaidi thamani na muda wa madini hayo. Sio ujinga ni sehemu ya elimu.

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 роки тому +1

    Kwenye huwo upanga ulouvaa tuu na kusema ni wa saidina alliy mm khoiii hatari

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому +2

    Maoni yngu hilo shimo lifukiwe haraka sana ni hatari kwa kila mtu Allah atunusuru na wenzetu wasijekuingia humo kibahati mbaya

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 4 роки тому +1

    Mimi tu ninavyomshauri bora aende kuhamia tu katika nyumba yake aloijenga aendeleze maisha yake na kwanini umeihama hatukuelewi kaka

  • @seifsheikhsalim7495
    @seifsheikhsalim7495 4 роки тому +1

    Bangi inausika hapa

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 роки тому

    Acheni Zalau Angekua Mzungu Angelindwa Apo Jamani Kwani Zanzibar Akukua Na Majumba Ya Zamani Muacheni Achimbe Akimaliza Kuvuna Afukie Ilo Shimo Mbona Vitu Vya Kale Vipo Watoto Msiwachukulie Kama Chanjo Cha Chuki Zenu Angekua Mzungu Hau Mchina Msingekua Na Misemo Iyo Acheni Chuki Muacheni Achimbe Akimaliza Afukie Acheni Chuki Mungu Apendi Chuki Wenye Chuki Wafe Tena Mkufe

  • @smturky2406
    @smturky2406 4 роки тому +2

    Akili za bangi izo

  • @DonDallas
    @DonDallas 2 роки тому

    Dataz

  • @nassirmansournassor8881
    @nassirmansournassor8881 4 роки тому +1

    A-s huyo ni mgonjwa wa akili na hayo maneno yake asemayo ni dali tosha za ugonjwa wa akili hayo sawa kiakili Shukran

    • @raiye5621
      @raiye5621 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂👌🏼👌🏼👌🏼

  • @mohammedibrahim1629
    @mohammedibrahim1629 4 роки тому +1

    Siku akiziban ndio utaskia mambo kibao yatasemw

  • @munirsaid2695
    @munirsaid2695 4 роки тому +1

    Huyu kwli genius na pia ni superman maan anamacho yakuona vitu chini ya ardhi

  • @Daawa-l8s
    @Daawa-l8s 4 роки тому

    KTV TZ mnaporusha habar iwe inajitosheleza! Mfano wa hii taarif hujatueleza hadi unaenda kutaarish hii matokeo ya shimo alikuwa amepata nini kati ya hayo anayo dai yapo.
    Kuweni makini tunaskiliza habar halafu unajiuliza maswali mskilizaji ,weka habar inayojitosheleza kwa muda uloipata na mazigira ya habar.

  • @kisaga
    @kisaga 4 роки тому

    😲😲😁 nampata wapi huyu mtafiti nahisi kwenye fensi kwangu kuna madini ya dhahabu 😁😁😲

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 4 роки тому

    Kama anachimba kwenye eneo lake Basi mwacheni achimbe apate izo Mali...hakuna anayependa kuwa maskini.waweke tu uzio kuzuwia watoto wasifike kwenye shimo..Ila acheni wachimbe

  • @suleimanissahassan1806
    @suleimanissahassan1806 3 роки тому

    Tatizo ni wananchi kutokuelewa wajibu wao kwa Serikali katika kuhifadhi ,kulinda na kuendeleza maeneo yao wanayoishi.
    Hii ukiona tu toa ripoti kwa Sheha wako naye apeleke Wilayani na Wilaya itawatafuta Mamlaka zinazohusika.
    Lakini tatizo pia unaweza ukakuta hata huko Wilayani wakaruhusu kuchimbwe bila ya ile waone kitakachopatikana.
    Hali ni lazima Idara ya •Nyaraka na Mambo ya Kale wapewe taarifa, kwani wao ndio wenye jukumu la kulinda na kuhifadhi na kuzitolea maelezo mali kale.
    • Idara ya Mazingira, inahusika kufanya tathimini juu ya athari za Mazingira wakati wa Uchimbaji.
    •Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, ni mdhamini Mkuu wa Shughuli zote Nchini.
    •Serikali ya Mkoa .
    • Wilaya.
    • na Uongozi wa shehia, hawa ni kwa ajili ya usimamizi na utoaji wa elimu, lakini pia kusaidia kuzuia vurugu, maafa na mengine pindi yakitokea. Kwasababu kama kuna mali hapo wananchi kila mmoja atataka aipate, huyo wa KUDATA lazima wamdatishe mwanzo.

  • @تاتا-ن6ن
    @تاتا-ن6ن 4 роки тому +1

    Hapo hamna Akili kwa mswahi kama ni mzungu engetiliwa tikeeee

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 роки тому

    Tapeli tu huyo hana utafiti wala nini mwambieni alifukie hilo shimo asitake kuzamisha nyumba za watu unachimba kwa ruhusa yanani hizo wizara husika ziko wapi wasiomkamata naakachimbe huko kwenye nyumba yake mbagala ataokota mpaka pound

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 4 роки тому

    Najuta kummaliza mb zangu kumsikilizi huyo genius. Jamaa kala zake bangi mbichi anaongea anayoyaona kichwani anatuletea sisi. Mxieee😏😏😏😏

  • @abdallahmohd3564
    @abdallahmohd3564 4 роки тому

    ktv online nyie machizi mnamuhoji chiz mawezen huo upanga wa saydina ali kautowa wap

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 роки тому

    Mzimu wa NYERERE na mapinduzi ya 64. Akili ya mzanzibar kama si MAPINDUZI ingekuwa adimu kuipata.kama almasi. .pengine hiyo sehemu ni katika makaburi walio wauwa katika yale mauwaji ya 64. Halafu wakawazika kwa pamoja.

  • @masoudkhamis9249
    @masoudkhamis9249 4 роки тому

    Anatakiwa apewe adhabu kaki ili iwefundisho kwawengine

  • @abasmakame1916
    @abasmakame1916 4 роки тому

    Sio vibaya mataalamu wa Mental health wakahusishwa, ukifuatilia hayo maelezo ya huyo mtaalamu utabaini kuna vitu havipo sawa

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 4 роки тому +1

    huyo ni Wales waizi na washirikina

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 роки тому

    Bangi bwana sikitu kizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому

    Wakachimbe makwao bara wazanzibari hatutaki mijizi mikubwa

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 4 роки тому

    Ama kweli huyu ni wa kutaa,,majina mengine sio mazuri kupeana,,yanazuru

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 4 роки тому

    Ehhh😁. Yeye ni genius, anaakili kama zote MashaAllah
    Halafu Rupiya sio hela ya India? Sasa itakuwa na faida gani? Afadhali Ruby, dhahabu, n madini zinginezo

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava 4 роки тому

    Anaonekana sio chiziiii anajua ananalo lifanya ila shirki ndio itamtia motoni

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 роки тому

    Kweli wa kudata. Umaskini wa fikra. Njaa Kali.

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 4 роки тому

    Kumekushukhulisheni mno juu ya wingi wa kutafuta mali, mpaka mnazuru makaburi. Suratul At-Takaathur
    Huenda wenye akili wakatafakari

  • @ibrahimyussuf3350
    @ibrahimyussuf3350 4 роки тому

    Jamaa njaa inamsubua upanga wa sayyidna ally aupate huyo

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому

    Zimebaki stor tu kwa zama hizi sio rahisi zilipendwa tu hizo hata ukiona hivo pana walakini musipendelee kwenda hapo hiyo hatari kweli

  • @sheikhmuhammadayub5538
    @sheikhmuhammadayub5538 4 роки тому

    😀😀😀😀😂 upanga wa saidana aliii uyo mlevi

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 роки тому

    Alopewa ruhusa ya kuchimba ivo nani

  • @SamsungA-su2qj
    @SamsungA-su2qj 4 роки тому

    Apo mwisho wa siku ni ushirikina watu wa zamani walikuwa wakieka pesa zao na majini kwa hiyo na nyie jiandaeni kuliwa na koo zenu

  • @masoudkhamis9249
    @masoudkhamis9249 4 роки тому

    Kwann hakuendelea na masomo kama anaakili

  • @iddyally4439
    @iddyally4439 4 роки тому

    Kwetu njaa cn ndio maana ushirikina mwingi

  • @fatmaalaufi9073
    @fatmaalaufi9073 4 роки тому

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa yuko wapi kijana anataka kushuhulikiwa

  • @ndahuraamoti4079
    @ndahuraamoti4079 4 роки тому

    Haaaaa haaa huyo wakudata kweli,hakuna rupia inayotoka chini,uongo mtupu.

  • @kibojewee2710
    @kibojewee2710 4 роки тому +1

    Kijiti kinafanya kazi😂

  • @tonysolomon2841
    @tonysolomon2841 4 роки тому

    Apelekwe hospital ya wagonjwa wa akili, huyo kadata kweli kwa bangi

  • @nothingtoworry4558
    @nothingtoworry4558 4 роки тому

    Jamaa anatumia makarama kutafuta madini

  • @ibrahimmzee6252
    @ibrahimmzee6252 4 роки тому

    Fedha gani itakayokaa Zanzibar uongo tu

  • @chekisiela
    @chekisiela 4 роки тому

    Vitendo vya kishirikina vinatishia amani Zanzibar, ikiwa serikali haikuweka sheria ya kuzibiti basi tutaelekea kubaya .

  • @yashjuma9168
    @yashjuma9168 4 роки тому +1

    Treasure hunting is great experience 😄

  • @mabrouksaleh2472
    @mabrouksaleh2472 4 роки тому

    Eti upanga nilovaa wa Saydyna Ally....Dah

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 4 роки тому

    Pombe zinamzingua huyo

  • @dazuujuma1211
    @dazuujuma1211 4 роки тому

    Haya ushaweka historia ya kuhojiwa na media

  • @aby21111
    @aby21111 4 роки тому

    🙄 No comment 😇

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 роки тому

    Huyu wa kudata kadata kweli kweli.

  • @masoudkhamis9249
    @masoudkhamis9249 4 роки тому

    Darasa la7 akili itoke wapi

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 4 роки тому

    Huyu tapeli tu

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 роки тому

    Mbavu zangu khaa

  • @binshaame9591
    @binshaame9591 4 роки тому

    duhhhh asema kavaa upanga wa Sayydna Alliy !!!

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 роки тому

    Pumbavu uyo hana lolote

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 4 роки тому

    Ulevi huu bhana

  • @abdulrahmaname6026
    @abdulrahmaname6026 4 роки тому

    Nenda uko

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 роки тому

    Uyu kashadata kama lilivyo jina lake

  • @hajihaji6351
    @hajihaji6351 4 роки тому

    Hilo Jina tu linajitosheleza wakudata

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 4 роки тому

    Pyuu

  • @nadrikhamis1399
    @nadrikhamis1399 4 роки тому

    Hahahahahahaha🤣🤣🤣😄😄😄😄😂😂😂😀😀😀🏃🏃🏃🏃

  • @Wezesha1
    @Wezesha1 4 роки тому

    Dahh noma sana

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 роки тому

    Sheha yuko wapi au mpaka afe mtu apo

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 4 роки тому

    Uyu jamaa akili zake si nzuri

  • @hasfatariq3697
    @hasfatariq3697 4 роки тому

    bangi na njaa

  • @muhsinnainoabdullah1539
    @muhsinnainoabdullah1539 4 роки тому

    Hahaha bangi bana

  • @hamadjuma2023
    @hamadjuma2023 4 роки тому

    😄😄😄 upanga wa nan!?!

  • @munirsaid2695
    @munirsaid2695 4 роки тому

    😁 ahhh bobmarley weeee uko wapi??