"UHURU NISAMEHE NLIKUKOSEA"GACHAGUA APPOLOGISE TO UHURU
Вставка
- Опубліковано 14 чер 2024
- Join this channel to get access to perks:
/ @4kenyanews
Your number one Digital TV channel reporting as it is. If you don't see it here then it never happened. Africa and the world is watching.
You can always reach us via the email on the channel description
My point exactly. Ruto was angry that Raila came to the picture. Now who is who.pretenders are more than sinners. Uhuru is my Kenyan sweetheart....that's on PERIOD
Uko sawa, lakini rudisha kondoo za His Excellence Uhuru
Rigathi Gachagua anaonekana ni mbaguzi sana , mkabila ,mchoyo sana,mulozi na hana subira wala heshima kwa viongozi wenzie.ukikuyu na mlima kenya vinamlevya na kumsumbua kichwani.
Anawajua wakikuyu,kila kukicha sisi wa mlima sisi wa mlima,Mmekuwa Biafra ya Nigeria, na mjitenge basi ili dhambi ya ubaguzi wa sisi watu wa mlima iwamalize.
Raila odinga ni mtoto wa kenya na mkenya kama wewe.kiongozi unaunganisha watu sio unabagua.jana umemtukana my brother president Uhuru na kuharibu mali zake leo unageuza ulimi,Uhuru unamchukulia poa kwasababu ulimchezea shere wakati wa uchaguzi.ustarabu wa Uhuru usionekane ni udhaifu.
Hujatimiza ahadi kwa wakenya bottom up,tayari umeanza kupiga mayowe na kumnanga Rais wako Ruto.
Kwa staili hizi makamu wa Rais kenya na afrika kwa ujumla mtaendelea kudodonka kwenye ndege sababu ya hali ya hewa mbaya😂
Waliowahi kuua watu wasio na hatia ili wapate madaraka popote duniani wanaishia uchizi.
Tulia subiri uchaguzi mwingine tunataka maendeleo kenya sio mayowe kila wakati.
Kwa hili Rais Ruto mvumilivu sana,angalia RG,usimchezee chatu,gogo ukamtupia ukaukosa ushindi.Rudi kundini haraka sana the earlier the better
Your making Noise,,,
Nyinyi NI mafala WA mwisho Kenya...Uhuru had foreseen the future , you abolished.. kuleni ujeuri wenu..na msahau na kiti cha president forever
Waaaa nikubaya sinijuzi tu jamani 😢
Toka Kwa ruto tujue wewe ni mwanaume ndio umejua uhuru ni mzuri Bure wewe
Ruto yeye alitoka Kwa Uhuru
As kamba i love uhuru ,my dp rudishia uhuru Askari na omba msamaha ,pole is a small word but means alot ..uhuru hana maneno na wewe but ako na hasira hadi walitusi mama yake and alot of bad things just talk to uhuru and i warn you msipokuwa macho mtakua divided to a small unit
Viongozi wa UKABILA. GOD help our Country Kenya.
This man makes kikuyu language hateful..
It has dawned on the mountain again. Now what is the mountain going to say? Who has betrayed who?
Hehe
Ngurue ujikaranga na mafuta yake,ulitumiwa kumpiga Uhuru😢
Ngunia
Mapema sana 😂😂
My stand yes unganisha watu lakini siiturudishe kwa Ruto hapo ni apana
Yaah
Thats true hapo nisawa nayy watu wa roho chafu pls wacheni matusi wakikuyu wakiwa pamoja si ukabila bona munaumwa hivyo jemeni hau niho ture
Rudiaha kondoooooooooooo kondooooooooo kondoooooooo kondooooo na mitiiiiiiiiiiiiii mitiiiiiiiiiiiii mitiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwani wewe ni ndege aina ya kasuku? Ulihini mwenzako basi mhini na mhiniwa njia yao ni moja.
gachagua not like uhuru who gave this rubwa to much space; but gachagua will stand up&square off with these rubwas than die on his knees but will fight his ground without intimidation or fear from this nandi mercenary 😢😢😮
Vile ulivo mpiga uhuru ndivo utapigwa kubali ukatae
Is this the deputy president of Kenya or Mt. Kenya?
I wonder too
Ici ni komerera
Ulisha wapoteza wa kikiyu
Humbled Gachietha
Dp tell your pple sisi kambas we are silent and grouping for big day,plz plz kikuyu chungeni sana
Ako sawa lakini asirudishe Wakikuyu kwa Ruto atoke aende na chama ingine
The most stupid leader in central,ulitukika kutusi raila na Uhuru sasa uko Kwa mataa
😂🤣🤣🤣
Pia wewe ulituletea ruto ametufuck kabisa
Uhuru alituletea
@@user-fc5ng5gt7b eti raila
Your making noise
For the curse to go return uhuru sheeps
No pluses group n paid
Rudisha kondoo za Uhuru
Gachagwa I repeat, "RUDISHA KONDOO ZA UHURU " period.
Ako SAWA
Gachagua 2027 president 🎉🎉🎉
😂😂😂😂 ziii
Yes yes