MCHAMBUZI DICKSON: TUIHESHIMU YANGA HAIJASHUKA KIWANGO/AUCHO NI BORA/YANGA WATASUMBUA CAF KWA ULINZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif 5 годин тому +2

    Yanga bingwa tena na tena inshallah tabu iko palepale daima mbele 💚💚💚💛💛💛💚💚💚💛

  • @franktarimo271
    @franktarimo271 2 години тому

    Uko vizuri bro hongera sana kwa uchambuzi wako makini

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 56 хвилин тому

    Kwani timu bora mnataka mpaka ifunge magoli mengi mbona mnatuchanganya wachambuzi

  • @NIMRUDIMKAMA
    @NIMRUDIMKAMA 4 години тому

    Unajua kuchambua mpira utafika mbali

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 4 години тому

    Dube Amefanyiwa Ushikina Na Azam Nahuoo Ndio Ukweli..Wakishirikiana Na Kolo

  • @RobertMato-cs8uc
    @RobertMato-cs8uc 2 години тому

    Yanga sio bora lakini inaongoza ligi saw tu

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 4 години тому

    Yanga hi tofauti na Ile ya msim uliopita kiwango chao ni kibovu Kwa SASA wanashinda Kwa mbinnde na kusaidiwa na marefa ukweli ndo uwo