Dr. Chris Mauki: Athari 7 za kutokusamehe na kubeba vitu moyoni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Рік тому

    Hapo mwisho nimecheka Sana,,,ni kweli kubeba mizigo haifai mpe MUNGU

  • @alfayotumaini
    @alfayotumaini Рік тому

    Asante doctor kwa mafunzo yako itabidi nitoe kila kitu moyoni kwa sababu n hatari kwa afya yangu karibia dalili nne nko nazo kwa sababu ya kueka vitu katika moyo wangu kutosamee kuanzia leo ntasamee na kusahau pia ntajaribu kutoa maumivu yote moyoni ntaanza maisha mapya naomba sana Mungu anisadie

  • @SeliliaAlly
    @SeliliaAlly 5 місяців тому

    Asant mtumishi wa mungu balikiwa🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bakarpandu1142
    @bakarpandu1142 2 роки тому

    Kabisa Doctor ndo ya kwanza hili ndo somo linaloendana na mm moyo wangu mzito nlikua kusamehe nashkuru ntajifuza asante

  • @SeliliaAlly
    @SeliliaAlly 5 місяців тому

    Asante mtumishi mungu

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 роки тому

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿

  • @Jamila96_juma
    @Jamila96_juma Рік тому

    Asante sana dr umenibadilisha

  • @beatricemwita4380
    @beatricemwita4380 3 місяці тому

    Kaka Chris naomba msaada Mimi naamua kabisa kusamehe na ninamtangazia muhusika msamaha ila najikuta siwezi kusahau na ninakuwa na uchungu Mimi nilikuwa kwenye mahusiano mpk tukapata mtoto sasa ana miaka 7 ila baba wa mtoto hajawahi kuja hata kumuona mtoto hivyo ni jambo linaloniumiza sana nikaamua kumpigia na kumtangazia msamaha na nikakata Mawasiliano naye nikawa na amani sana moyoni na ninamshukuru Mungu ananibariki nalea mwanangu,yeye baba wa mtoto hajawahi kuhudumia mtoto kwa miaka yote hiyo 7 kwa kitu chochote kile hivyo inaniumiza ila wk iliyopita kanipigia kuomba msamaha nikifikiri nimepona ila moyo umejaa uchungu nashindwa kusahau naomba msaada wako nifanye nini niweze kutoka kwenye hii hali, nahitaji kufurahia maisha na mwanangu naomba msaada wako

  • @miryamfelician0527
    @miryamfelician0527 3 роки тому

    🙏🙏 Dr kwa kunisaidia lakini ningependa kuwasiliana na wewe ili unisaidie zaidi coz I feel like bitterness and temper won't let me live with peace.

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
      Piga 0713407182

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 Рік тому

    Natakataa kumbeba mtu moyoni,,,, MUNGU nisaidie

  • @anithamsoke2329
    @anithamsoke2329 2 роки тому

    Dr Chris mm nahitaji ushauri wa kisaikologia

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 3 роки тому

    For sure Dr Chris.......!!!

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 3 роки тому

      @@ChrisMauki1 nime subscribe ndiomana napata jumbe zako Mara zote

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому

      @@joycehaule9717 thanks so much Rafiki, I do appreciate so much

  • @rizikikweka5018
    @rizikikweka5018 3 роки тому +2

    Dr Mental Health ndio Afya ya mtu na maendeleo binafsi na taifa

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @ruthelijasti5319
    @ruthelijasti5319 3 роки тому

    🙏

  • @zainabozainaty6188
    @zainabozainaty6188 3 роки тому

    👏🙏🙏🥰

  • @anithamsoke2329
    @anithamsoke2329 2 роки тому

    Dr je kusamehe means mpk huyo mtu huwe nae kama ni mahusiano?

  • @mercyadangahi1991
    @mercyadangahi1991 3 роки тому

    Thanks alot. What about one whose does no accept to forgive especially in a marriage?

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому

      Forgiving is about you, if he or she doesnt accept is non of your business.
      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @tinnaasulley8074
    @tinnaasulley8074 3 роки тому

    Sasa inakuwaje kwa wale ambao unawasamehe lakini bado hawasamehe

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 роки тому

      Hakikisha wewe umesamehe, kuhusu nini wanafanya wao waachie wao
      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @sufoorembo5925
    @sufoorembo5925 2 роки тому

    Asante dr nawezaje kuongea nawewe mimi nipo Mozambique 🇲🇿