MZEE MTITU:YANGA WAMETOA KITENGE SIO JEZI |WASIJICHANGANYE TUTAWAZIKA TAREHE 8 |WAREJESHA KWA JAMII
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Hahaha jezi kama kitenge😂
Mzeeee mtituuu unapo ongea ongea uku unaliaaaaaaa😅😅😅😅Yanga atawabuluza sanaaaaa
Tunazngumzia jezi acha mahaba dgo, mbunifu kaenda Op
jez kama wax
Wapenda vigodoro haooo, mara madera mara makolokolo na sasa ni Vitengeeee!!!
Mzee shida macho anatakiwa msaada unajua umri huo kwa umaume kutambua uzuri wakitu tatizo macho msimshangae eti haoni ukijani kwenye jezi
Jez ya njano ya kaiza chif yng wamefeli jez
Hapo ni vitenge na kaniki tu hakuna jezi
Vitenge
Mzee kavae sanda tu time yko wazee kwisha
Nanyinyi Simba hamuna la kusema tu mmeishiwa Sasa itakuwa siwasikilizi Tena hamuonge point.
Kkkkkk kitenge Tena kkkkkkkk😅
Tatzo sio jez, kitenge tena
ACHA janja janja Muhimu point 3.
nyani kafanana na wewe😂😂😂 kumkoma nyani Giradi htr
YAH HATA KIWE KITENGE AU BATIKI NI FAHARI YA MWAFRIKA NA NDIYO MAANA INASHONEWA MASHATI, TSHIRT AU JEZI KAMA HIVI KWA AJILI YA WATU WA JINSIA ZOTE LAKINI SANDA ZENU NI FAHARI YA MAITI NA ZINAVALIWA KABURINI!! SASA NYINYI MNAVAA SANDA HALAFU MNATEMBEA NAZO SASA TUWAITAJE?! 😂😂😂
Yanga jezi wamekosea sana kuchanganya rangi ambazo cyo logo Yao ktk jezi , hiyo rangi ya blue na nyeupe wapi zinatumika ktk utambilisho wao?
Sasa kama logo
Mbona Simba
Kauli mbiu yao ya NGUVU MOJA
haipo kwenye logo yao
Yanga majola...
Jezi iliyobuniwa kwa akili ni ya Yanga? Hakuna rangi isiyo na maana kwenye jezi ya Yanga, twambieni rangi za jezi za simba zina maana gani zaidi ya kuonesha timu.??
@@salymgaimale235 vijura sio jezi
Tuta wafunga yanga wakiwa wamevaa vijura hahaha