Utumikishwaji wa watoto Afrika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mtoo mmoja kati ya watoto wanne katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ameajiriwa.
    Nchini Ethiopia, karibu nusu ya watoto wote wapo katika ajira ya watoto, ikifuatiwa kwa karibu na Burkina Faso (42%), Chad (39%), Cameroon (39%) na Togo (39%).
    Je nini kifanyike kupunguza utumikishwaji kwa watoto
    #bbcswahili #watoto #afrika
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ •