JINSI YA KUKATA NA KUSHONA SKETI YA SHULE YA LINDA BOX MBELE NA NYUMA KWA UWARAKA ZAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @Jescalazaro-ir3pd
    @Jescalazaro-ir3pd 4 місяці тому

    Naomba unifundishe jins ya kuweka mfuko

  • @priscabosta4361
    @priscabosta4361 Рік тому

    Oky fundi namna ya kukata na kushona tai ndefu

  • @hyacintagugu7
    @hyacintagugu7 Рік тому

    Mwalimu pembeni huachi cha kushonea?

  • @izackngairo7525
    @izackngairo7525 Рік тому

    Fundi hujaereza mkanda inchi ngapi na namuna ya kuweka zipu na mfuko hujaereza vyote .

    • @rabaonetv
      @rabaonetv  Рік тому

      Mkanda ni wakwanza kabisa kuelezea wakati wa vipimo angalia na usikilize vizuri,
      Kuusu zipu, zipu inawekwa kama kawaida fatilia masomo ya jinsi ya kuweka zipo yapo kwenye channel yetu na mfuko pia

    • @izackngairo7525
      @izackngairo7525 Рік тому

      @@rabaonetv mkanda hujaeza fundi umeereza kukata ns kupanga marinda basi isikirize na wewe

  • @fatumakasimu4538
    @fatumakasimu4538 Рік тому

    Unaelekeza vizur sn fundi