Mzungu anaelewa namna yyte unayoonga ilimradi iwe English tu. Na anafaham kuwa ww sio mzaliwa kwahy anakuelewa hata uzumgumze kiingereza kwa accent ya kihaya kisukuma. Ni sawa na ww akiongea mzungu kiswahili unamuelewa vyema tu japo unagundua kuwa anakosea lkn si sababu ya kutomuelewa kabisa.
2:38 I love her communication skills 😍
Pamoja kaka .🙏
Kwani uko akuna Corona
Kazi nzuri sana unatangaza vingi sana serikali ikuone
Mtangazaji hana unyamwezi hata kidogo ,, n uswazi kwa kwenda mbele na ndo nzuri
Nakukubali sana bro"
Waambie kiswahili Safi kama kilimanjaro Zanzibar wakwere sio le le kwenye re
Bakukubali mzee,,, so appreciate u guy
Oya vipi rafiki I'm a Maasai from Tz nitapataje mawasiliano yako bro
Wow 🔥🔥🔥👏👏
Nombe
Nimecheka mpaka
Hiyi kali sina mbavu mieeee 😁😁
😂😂🤣🤣🤣😂big up bro
Niombe yupo Nkunda
Yaa leo kali
Nombe🙄😂😂😂
SNS MUNGU awabariki
😅😅😅😅😅😅😅
Funny stuff.
Mwenye kaptura nyeusi Yani nishiida 🤣🤣🤣🤣
Sema mwamba kiingereza chake kinachekesha.... Au anafanya sifa 😂😂
Raha saaana 😲
Nzuri
Mzee mponda kaponda tope na tope pondwa zitapondwaje???
Hahahahaha hadi raha
Nomaa😂😂
ngombe yupo numa kanumba HAHAH
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu alienda kwene maonesho ya sarakasi akajongea kitaa
Nasikia beat ya seba na jeiplas
DUUU SOPOA
Waache kututania hao watu yombe yumbayumba ndo nini kati sisi haku kujifunza lugha yao tunakula vitaza na kuvalishana vibao
utuletee na wifi wa kizungu uko.
😂😂😂🥰
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Haka kademu keusi kazuri
Hahahaaaa
nyie simulizi mbona huyu ana broken sana na ana ki R na ki L
😂😂😂😂
🤣🤣🤣😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Una uhakika wanakuelewa. Jifunze kutumia r na l. Cliyata is not equal to creator. Any many more mistakes

🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣