MBWADUKE: BALEKE OFFSIDE?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 239

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 11 годин тому +15

    Asante kwa kusema ukweli mbwaduke wamezidi kubebwa hawa yanga

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 13 годин тому +12

    Yanga jana tumecheza ovyo sana😢😢😢😢

  • @RashidSadala-f2q
    @RashidSadala-f2q 10 годин тому +6

    Wachambuzi mnawasifu yanga wakati magori yote wanayofunga ni magumashi

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 19 годин тому +19

    UPO SAHIHI SANA LAKINI WAAMZI KWANN WANAKUWA WAJINGA? HV HAWA WENZENU MAREFU WA NCHI NYINGINE WANAOCHEZESHA KWANN MSIIGE KWA MRERFA WENGINE.?VIBENDERA NA RAZIMENI KWANI WANAKAZI HAPO? OSMANI KAZI WAPE DARASA MAREFA WETU WA TANZANIA.

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 17 годин тому

      Kazi naye kimeo anachambua wakati naye ndio alikuwa walewale

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 15 годин тому +2

      ​@@alfoncejohn2104ALIKUWA LAKINI MTU HUBADILIKA.

    • @michaelkaphipa4354
      @michaelkaphipa4354 12 годин тому

      Shetani akizeeka anakua malaika 😂😂😂​@@alfoncejohn2104

    • @firdawsrammy9992
      @firdawsrammy9992 11 годин тому

      @@alfoncejohn2104anachambua kishabiki

    • @KwanduLimbu
      @KwanduLimbu 9 годин тому

      Marefari wa kibongo

  • @ramadhanlipendelee3496
    @ramadhanlipendelee3496 7 годин тому +5

    Ifike hatua itungwe sheria, iwapo timu itakuwa imefaidika na maamuzi ya hovyo ya marefa basi matokeo yaliyosababishwa na tukio hilo yafutwe. Sio kila siku ni blablaa tuu.

    • @chotark1881
      @chotark1881 3 години тому +1

      Upo sahihi,mbona Gori la Simba na alhaly tripoli lilifutwa? Kwanini Tff hawana akili? Upuuzi huo tumechoka na ujinga WA Yanga na marefa

  • @gosprincejeremiah2261
    @gosprincejeremiah2261 13 годин тому +6

    Waamuzi wamesajiliwa yanga, au hamjui?

  • @JumaHUssi
    @JumaHUssi 2 години тому +1

    Makolo mtaumia sana. Marefa hao hao makolo waliwasifia baada ya kuwapora ushidi Azam. magoli yote mawili ni ya kuotea lkn waamuzi walikuwa wazuri.
    Hapo halizungumzwi kosa la kuushika mpira ulotoka kwa zouzua.

  • @mujunibikombo764
    @mujunibikombo764 14 годин тому +6

    Yanga tumecheza chini ya kiwango.

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 12 годин тому +4

    Yanga mechi zao zote wanabebwa

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 10 годин тому +2

    Yanga mwaka huu hawana uwezo ila hawatafungwa kwa kubebwa na waamuzi na kwa mpango huuwatakua mabingwa maisha

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 19 годин тому +5

    Kabla hata VAR kuanza kutumika Tanzania waamuzi ni janga kubwa.. Yaani Var itakuwa ndiyo refa kamili Tanzania na waamuzi watakuwa ndiyo assistants...
    Shida kubwa

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 9 годин тому +1

      Hata nje ni HIVYO hivyo pamoja na high tech VAR!! Marefa ni shida! Timu nyingi zitafungwa na Yanga kwa kuikamia,kucheza wasifungwe nyingi, kutoshambulia na kubaki nyuma! Ndo maana msimu huu hizi mech chache tunaona MAGOLI machache ya Yanga! Tff pia, iangalie hivi viwanja vya mikoani,vinatia aibu!

    • @AbuuBakar-h7n
      @AbuuBakar-h7n 6 годин тому +1

      Acha uutopolo wewe

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 години тому

      @@AbuuBakar-h7n na utakua sana! Points zinaingia kwenye kapu

  • @flova7022
    @flova7022 9 годин тому +3

    Kubebwa n kawaida yao

  • @FrankEnockmabundu
    @FrankEnockmabundu 4 години тому

    Ipo siku nahiyo ligi mnayoisema niya sita africa mtaishusha🎉🎉 wenyewe kama marefarii Wamekuwa bingwa wa kubeti na vichenji ndo waamue vizuri hamna ligi ya sita hapo ..

  • @mullamtupa9116
    @mullamtupa9116 9 годин тому +4

    Yanga mechi zote za ligi kuu awachezi vizuri yani kama wanazalau mbona champion league wanacheza kwa kujituma lkn ligi kuu awajitumi tatizo nini au kwasababu amna goli lamama yanga tuna kikosi bora sana lkn kwasasa amchezi vizuri

    • @RachelErnest-f6r
      @RachelErnest-f6r 8 годин тому +1

      Bora umesema

    • @MwanaBaloz-ij6es
      @MwanaBaloz-ij6es 5 годин тому

      Kweli mm ni Yang lkn naumia

    • @jumanassoro3595
      @jumanassoro3595 4 години тому

      Hilo jicho la kitaaramu sana mfatilie ucho na azzk Huwa unapuguza kasi......mpaka wanabowa

    • @chotark1881
      @chotark1881 3 години тому

      Nasemaje subiri club bingwa ianze kama ya hatashikilia mkia kwenye kundi, yeye ndo kibonde

  • @chotark1881
    @chotark1881 3 години тому +1

    Sio muda yanga itakata moto, mtanambia we subiri kidogo

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 13 годин тому +2

    government inajua kumwaga pesa za magoli. lkn haichukui jitihada kuhusu waamuzi.

  • @johnchimwaga26
    @johnchimwaga26 4 години тому

    Yawezekan ni kweli, lakini mpaka anafunga tayari offside ilikuwa imefutika. Na pia kwa umbali wa refa msaidiza si rahisi sana kuiona.

  • @JohnGaitan-se9hj
    @JohnGaitan-se9hj 9 годин тому +1

    walishasema wao wanachuwa ubingwa miaka kumi mpila Tanzania umesha alibika na GSM

  • @joshualutengamasomwakilawa1025
    @joshualutengamasomwakilawa1025 5 хвилин тому

    Jamani kama waamuzi ni wa gsm kwani mo hana?

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 3 години тому

    Wenyewe wanAfurahi ubingwa wa mbeleko , tatizo bahasha tff wapo kimyaaaaa

  • @eddiemwangaraba9289
    @eddiemwangaraba9289 8 годин тому +1

    kila goli yanga yanakataliwa kwa Nini?

    • @AdamChacha-zc9uc
      @AdamChacha-zc9uc 5 годин тому

      Sa kama mtu yupo offside asikataliwe sema yanga Jana wanecheza chin ya kiwango

  • @StanislausLugoye
    @StanislausLugoye 10 годин тому +1

    Hawa LAPTOP FC wametumia mbinu 2 katika kuusaka ubingwa.
    (1) kudhamini vilabu vingi kwa manufaa ya LAPTOP FC
    (2) kuongea na waamuzi kwa ajiri ya kuwapakata LAPTOP FC wasifungwe na wakubaliwe magori ya off side wanaayofunga.
    Mechi ya jana Matokeo
    costo sc 0
    laptop fc 1
    ni gori la refarii maana hiyo pia ilikuwa off side. Hii Ndio Tanzania unayoijua

  • @jonyjaksony
    @jonyjaksony 8 годин тому

    Tanzania Hii ni aibu kubwa sna mbona tunatimu zuri ila hatuna marefarii?

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 19 годин тому +4

    Bila chenga Wala nini Ile ni offside

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 5 годин тому

    Yaani pamoja na mikono ya wachezaji kuwa juu lakin lenz men akakaza moyo kudhulum watu

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 10 годин тому +1

    Utopolo wameruhusu magori mengi tu wanayo wenyewe jangwani huko

  • @CharlesChoma-s2f
    @CharlesChoma-s2f 10 годин тому +1

    Tutaona klabu bingwa marefa sio watanzania Kosta wamenyimwa bao halali

  • @emanuelsamson95
    @emanuelsamson95 Годину тому

    Nipo hapa kusoma comment za Makolo😂😂 ila Kolo linaumia sana kuona Yanga inanufaika na makosa ya marefa😅😅

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 11 годин тому +1

    Halafu badae mseme mnatimu bora wakati mnasaidiwa na refa

  • @faustinfrancis9034
    @faustinfrancis9034 8 годин тому

    Hiyo haikuhitaji marejeo ili kujua ni offside

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 11 годин тому +1

    Yanga mnabebwa sana huo ndo ukweli

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 11 годин тому +3

    Asante sanaa mwaduke aibu Kwa Taifa😢

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 години тому

    Hivi Pirates walimfunga simba katika michuano ya Afrika, kwa uwezo gani?

  • @saidikambi9597
    @saidikambi9597 13 годин тому +1

    Ligi ishapoteza ubora.

  • @jubilatembise8431
    @jubilatembise8431 8 годин тому

    Hv refree wa kati huwa wanawasiliana na waamuzi wasaidizi kweli?ifike mahali wachezaji wakatae haya mambo km mbwai iwe mbwai

  • @maulidhussein2022
    @maulidhussein2022 2 години тому

    Juzi mzee MAGOMA alisema YANGA wanashida kwa KURUJUAN

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 12 годин тому +3

    Iko siku ligi Tutawaachia yanga peke yao

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 6 годин тому

      Tuachieni hiyo ligi tutacheza wenyewe msitutishe!!!

  • @manjatz7594
    @manjatz7594 40 хвилин тому

    Aucho ajagusa angalia vizur

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 2 години тому

    Mimi naona tff kuna tatizo kubwa tunajua waamuzi wananunuliwa lakini tff hawaoni hili. Hawa waamuzi walitakiwa washushwe kwenye ligi za chini.

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 6 годин тому

    2025 ?

  • @silasmeshilieki2975
    @silasmeshilieki2975 7 годин тому

    Hapo tunashuhudia pointi 4 sasa wamepewa, kwa coastal union walistahili pointi 1 na mechi yao na simba napo walistahili pointi 1, hadi sasa walitakiwa kuwa na pointi 17 tu na sio 21

  • @augustshirima9726
    @augustshirima9726 5 годин тому

    Kwa nn kwa yanga tuu swali?

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 2 години тому

    Mchome mbona uongeiiiiiiiii

  • @paulheavyrain9584
    @paulheavyrain9584 7 годин тому +1

    Ligi ya 5 kwa ubora😂😂😂😂

  • @LeonardCharles-g8c
    @LeonardCharles-g8c 9 годин тому +1

    Wanafungwa magoli yanakataliwa

  • @eddiemwangaraba9289
    @eddiemwangaraba9289 8 годин тому

    hiyo haisadii wangekuwa wanazipoka hizo point ili nawao waumie kama zinavyoumia timu zingine

  • @abdullabdull5771
    @abdullabdull5771 11 годин тому

    Nini kifanyike kwa haya makosa ya marefa manake hapo mtu tayari ashapata point 3 na mwengine kashapoteza point 3

  • @TheMrisho
    @TheMrisho 15 годин тому +1

    Kwanini kuongea makosa yanayohusu Yanga mnamung’unya maneno? Mnatishwa ama mnalipwa?

  • @CosmasFrancisMahenge
    @CosmasFrancisMahenge 15 годин тому +6

    Waamuzi ni wa GSM na hapo ndipo Ligi ya Tanzania inapokosa ladha maana anapatikana bingwa wa kupangwa!

    • @ngadumbishi1405
      @ngadumbishi1405 12 годин тому

      Hamjasema mpaka mseme😂😂😂

    • @DStarTz-if2ko
      @DStarTz-if2ko 12 годин тому

      Yanga washapora point 3 mpka mda huu ktk msimu huu

    • @Saidi-x4h
      @Saidi-x4h 11 годин тому +1

      Vip kuusu ushindi wa simba zidi ya azam na penat ya simba zidi ya dodoma jiji, au GSM aliwanunulia hao waamuzi?

    • @Saidi-x4h
      @Saidi-x4h 10 годин тому +1

      Simba nae kanunua point 6 zidi Azam na dodoma jiji

    • @NeemAmianaMramiFamily
      @NeemAmianaMramiFamily 10 годин тому

      Hawa wachambuzi nao pia wanachangia kuaribu mpira wa ligi ya Tanzania mana ndo wameupatia kwaajili ya kujaza matumbo Yao kwa kutuibia MB zetu
      Ili wapate pesa kupitia sisi kwanini msingejitokeza kwa wingi pale pale uanjani...acheni umbea mana mko wengi sana nyinyi wachambuzi unazi mara Leo mwachambua hivi mara hivi acheni fitna
      Nendeni mkasomee Tena uchambuzi bila ya hivyo mnawatapeli mashabiki wa kitanzania kwakunufaisha matumbo yenu

  • @erickkamala
    @erickkamala 11 годин тому

    aya var inatumiwa na watu mtu akigoma kwamba s offsid huwez kutoboa lkn mm nna ushaur kwa makolo make mtulie mkubali kunyolewa maan hamna kikosi kizur hatakidogo

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 6 годин тому

    Marefa ni binadamu ..Waambieni TFF walete VAR mbona hawataki sasa au wanajua Simba itakamatwa kwa udanganyifu wao na kubebwa 😂

  • @deodathmassawe3746
    @deodathmassawe3746 9 годин тому

    Makosa hata marefa wa nje wanafanya mengi sana. Tumezidi sana kudhani marefa wa nje ni malaika…..mistakes zinatokea, na mara nyingi walio ktk ubora huwa wanafursa zaidi ya kunufaika na makosa ya kibinadamu.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 години тому

    WAZEE WA MBELEKO HAO TUSHAWAJUA 😂😂😂😂

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 10 годин тому

    YANGA JMN MNATUKWAMISHA MASHABIKI WENU. HII HPN BWANA. NDO MAANA MNALALAMIKIWA SANA. MGEFUNGA MENGI HAKUNA WAKULALAMIKA😢

  • @AdrianoMazige
    @AdrianoMazige Годину тому

    Mbwaduke kamueleze yule mzee anayekaaga Kwenye kipindi Cha michezo cku ya juma pili azamu spot 1, kama miwani yake haioni vizuri, anakataa kuwa haikuwa of side yule mzee ni yanga nn

  • @iddimajatatwe8269
    @iddimajatatwe8269 6 годин тому

    Endeleeni kuwabeba watashindwa kubebeka nje ya nchi

  • @simonzelote5998
    @simonzelote5998 8 годин тому

    😢Huyu refa aliyesimamia mechi ya yanga na coast na laizment wake Tff angalieni Hawa hata var haina haja Hawa wakatafute kazi ya kufanya Kama sio yanga wapewe kombe

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 6 годин тому

    Offside akifunga Yanga wengine magoli sahihi.

  • @GabiMag
    @GabiMag 17 годин тому +4

    Tunataka VAR

    • @FurahaMakosi
      @FurahaMakosi 14 годин тому

      Si walisema msimu huu wanaoleta car Kwan shida nn

  • @ClementNassary
    @ClementNassary 3 години тому

    SI na Simba watafute marefa wawasaidie?

  • @WapenziYanga
    @WapenziYanga 12 годин тому +2

    Nadhani issue ya kujadili ni je Aucho aliugusa mpira au la? Kwa picha zilizorushwa haina hakika kama aligusa.. pia angegusa ungeongezeka kasi Baleke alikuwa karibu ingekuwa ngumu kwake kucontrol akiwa karibu vile. Ni issue ya kujadili

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 годин тому

    UTOPOLO BILA UWIZI HAMNA KITU, CLEAR OFFSIDE

  • @sunguraally2456
    @sunguraally2456 11 годин тому

    Kwan VAR zako wapi?. Sisi marefal wa TV tunaona hasaa,kama vipi tushirikishwe kutoa taarifa kwa waamuzi wetu...

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 12 годин тому

    Makolo mmejisahaulisha mechi zenu na Dodoma jiji na Azam?

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile 7 годин тому

    Tunazunguka tu ubingwa wa yanga wapewe tuuu mbona pesa zinatumika sana

  • @HarmonicheHarmo
    @HarmonicheHarmo 19 годин тому +3

    Mimi ni yng but ile ni...........???

  • @Yohana-o9f
    @Yohana-o9f 15 годин тому +2

    Wakati yupo chini alikuwa umefanywaje mpaka akawa chini na hilo ilikuwa sio kosa mtu kushikiliwa mpaka chini?

  • @JacobMwamabhise
    @JacobMwamabhise 5 годин тому

    Wamuzi wetu kilasiku tunapiga kerere nao wanjaa hatuna marefar bari tunawaralushwa

  • @SalumuMbaraka
    @SalumuMbaraka 10 годин тому

    Ilo ni goli acha zako mzee mpira wa papatu papatu kama uwo auna ofside hao mabeki wa cost awakua makini kuuokoa uo mpira ilo gari kama magoli mengine

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 годин тому +1

    Jamani tusilalamike kuwa hawachezi vizuri mana nao wanachoka wanapumzika mda gani tuwapongeze tu kwa jitihada zao

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 9 годин тому

    I dont care tunashindaje! Timu gani haijanufaika na waamuzi ya marefa! Nje wana var na waamuzi bado wanafanya mistakes! Mnalia nini mnaolia! Simba walishindaje juzi! Same goals! Coast wa walifanya nini kufunga!?

  • @MzeeHassan-t7y
    @MzeeHassan-t7y 10 годин тому

    Tuangalie adhabu ya FIFA na TFF? Ndio sababu ya kutokuwa na woga. Adhabu zetu haziumi.

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 11 годин тому

    Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda jehanamu

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 12 годин тому

    Nahisi VAR haitumiki wakati ipo ,,,inawezekana washa honga hao

  • @SaidSalum-n4o
    @SaidSalum-n4o 3 години тому

    Kwahiyo nalile lakibu denisi zidi yayanga lilikuwa goli halali inamaana kwamba yanga huu msim wanaongozwa kwambeleko sana wanabenwa

  • @KyaruziPT-l1m
    @KyaruziPT-l1m 6 годин тому

    Ili kupunguza visibguzio na waamuzi,ili hali team nyingn Zina vikosi vichovu mfano Simba anayelalamika sana hata mech zsizo zake juu ya waamuzi naye ana kikosi kibovu ...Hivyo pigieni kelele swala la VAR ili midomo ya kolo na wachambuzi wake wale wataarabu ifungwe.

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 10 годин тому

    ni.kweli.yanga.anabebwa.goli.lilikuwa.off.side.la.coastal.mbona.nalo.limekataliwa.

  • @raphaelchauwele3547
    @raphaelchauwele3547 9 годин тому

    Muangalie huyo beki aliyemshika Aucho je haikuwa penalty

  • @HangiNgholo
    @HangiNgholo 38 хвилин тому

    Makolo kufeni basi kama imewauma
    Nyie kwa coastal mlifanywaje? Siku ya derby ile offside ya ateba ilkuwaje? Nyie kuma jifunzeni kutoa lawama kwa anaehuska. Marefa hawako smart kwenye maamuzi yao si kwa yanga tu ama simba ni kotekote ndio maana hawachaguliwi kuchezesha mechi za kimataifa. Mwenye akili atakuwa ameelewa.

  • @mosesmulashani5124
    @mosesmulashani5124 7 годин тому

    Kuna tabia siku za karibu ni za kutoa shutma kwa waamuzi. Zimeanza kutoa ladha. Sasa mbwaduke kea mkusanyiko huo ni malaika pekee ndiye angeona. Sasa hivi akifunga yanga au Simba basi mnaleta sababu za kulaumu waamuzi. Be fare this is football!!

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 10 годин тому

    goli.la.off.side.mbona.la.coastal.limekataliwa.mmbebwa

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 11 годин тому

    Mbona hawa kesho kutwa tu kubebwa kutaisha,wakishakutana na singida tu kwisha habar yao,maana yanga mpira wanaoucheza msimu huu ni aibu sanaa

    • @SeyangaSudi
      @SeyangaSudi 11 годин тому +1

      Tàwi lao no 1 Hilo anapigwa hata 3 huyo singida!

    • @allytv1714
      @allytv1714 10 годин тому +1

      Hao ndugu zao wa karibu sana

    • @SiasaShabani-v4w
      @SiasaShabani-v4w 2 години тому

      Hamna mechi hpo yanga wanashinda hta 4 utaona kitachokea kwnye tawi lao

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo 8 годин тому

    Ewe mchambuzi Baleke *offSide* kabisa. Mwamuzi alikuwa sahihi kaabisa

  • @AishaAbbubakar
    @AishaAbbubakar 5 годин тому

    Nahis utakuwa na jambo lako kwa yanga kwann uchambue Gori la yanga tu mbona magori mengine hauchambuagi

  • @MlokoziLeonard
    @MlokoziLeonard 4 години тому

    Je ilee ya pacome aikuwa penalty

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 10 годин тому

    na.kwa.nini.isifungwe.var

  • @ZulfaJevejeve
    @ZulfaJevejeve 9 годин тому

    Museme mukisema point 3 tumechukua ,mbona simba munabebwa sana sisi hatoengei na timu yenu mbovu iyo

  • @paulheavyrain9584
    @paulheavyrain9584 7 годин тому

    Ligi ya 5 kwa ubora😂

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 12 годин тому +1

    Hiyo siyo offside acheni siasa makolo aucho aliangushwa pale hamkuona kama alikuwa ameangushwa ?

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 11 годин тому +1

      Kaangushwa na nani?
      Wakat alijipinda alitaka afunge yeye Ile ni ofsd

  • @LeonardCharles-g8c
    @LeonardCharles-g8c 9 годин тому +1

    Mbona hukusema ulipokuwa azam tv hukusema

    • @cosmasthomas9164
      @cosmasthomas9164 4 години тому

      Ndiyo maana akasema "baada ya kurudia picha za video baada ya mchezo".uwe unasikiliza maelezo kabla ya kupayuka🙄🙄😏😏

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 12 годин тому

    Hapa Tanzania munasema hii ni offside,ukienda epl premier league hilo goli ni halali

  • @WhiteYusto-bu9ym
    @WhiteYusto-bu9ym 14 годин тому

    Hujakosea bali unajitajidi kuwapa unafuu wa kuongea kolo,ila wao magori yao yanakuwa sahihi

  • @gerowadamwandika669
    @gerowadamwandika669 5 годин тому

    Utopolo wanabebwa hao.

  • @dogoshazzy761
    @dogoshazzy761 12 годин тому +3

    Mbna kihusu mechi ya simba na azam mpo kimya na vp kuhusu dodoma jiji na simba ile pena vp mbna mpokmya

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 9 годин тому +1

      Kwa hiyo Simba ndo reference yako eeeehh , kitaeleweka tu siku sio nyingi mafuta na maji vitajitenga,jikumbushe kidogo Kwa Ken gold, Kagera, Simba na Costoal ukipata majibu ndo ulizia vya upande wa pili.

  • @DeodatusMwinuka
    @DeodatusMwinuka 12 годин тому

    Ya wenzao midomo juu ya kwao kimya vp mechi ya simba na dodoma jiji je vp simba na Adam mbona mpo kimya jamani😅

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 8 годин тому

    Mm ni Yanga ile ni offside kabisa. Na yanga wanacheza hivyo na hawana kiwango kile tulichokitaka. Yaani kuna wachezaji mizigo mno

  • @erickkamala
    @erickkamala 11 годин тому

    acha kulalama mbona Simba walipewa penat dhid ya tabora wakati ilistahil kuwa Kona na sisi mbona hatukulalamika Kaa kimya mnyolewe

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 13 годин тому

    Maagizo goal, ajaabu tunaona match mbili Sasa mfululizo anabebwa ili aongoze league inaumiza Sana kwa wanaowekeza Mpira ni gharama,sijui tuiteje upuuzi ,ushenzi au Nini ? Katika soka la Tanzania

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 12 годин тому +2

    Utopolo bira msada wa marefa mbaka mechi ya jana walikua wamesha poteza mechi 4

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 6 годин тому

    Kwa nini makosa mara zote yananufaisha timu moja tuu??? Hiyo benefit of doubt kwa nini isiwe kwa timu nyingine. Iwe iwavyo maamuzi mabovu yanavunja moyo wa ushindani na uwekezaji hasa kwa timu ndogo ambazo zinapambana ku aki ligi kuu. Iwe simba au yanga au timu yoyote ile maamuzi yawe ya haki na yakufuata sheria za mpira bhaasi.