SALEHE JEMBE ATHIBISHA SIMBA IMEMSAJILI PHILIP KINZUMBI NA FEI TOTO/ WATACHEZA DIRISHA DOGO SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @MashakajumanneSuddy
    @MashakajumanneSuddy 7 годин тому +5

    Amesema yeye hajali kuhusu yanga wanabeki Gani kazi yake mshambuliaji nikufunga Sasa Hawa watu wasioelewa lugha.achen kupotosha.

  • @KosovoNaiiem
    @KosovoNaiiem 3 години тому

    Kariakoo hakufai fujo nasehemu aifai kwa ofisi hata parking za magari hakuna

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 годин тому

    INSHU YA FEI KUCHEZA MNYAMA HIYO HAINAGA HATA HOJA,,,NI PALE TU ALIPOMALIZANA NA GONGO WAZI STRAIT UNYAMANI,,,PALE KWA WAOKA MIKATE NI MUDA TU NDO ANAOUPOTEZA

  • @ernestmella1290
    @ernestmella1290 5 годин тому

    Amesema I want na sioI will msitutie aibu kuwa mwandishi isiyeweza kutafisiri hata sentencing moja ya kingereza

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 6 годин тому

    Virekodi vidogo vdogo vya kutafuta ili mradi kuipa sifa kolo, si vzuri sana onfea rekodi kubwa zinazojulikana! Kolo bhana ni taabu tu

  • @KhamisAlawi-n1k
    @KhamisAlawi-n1k 5 годин тому

    Mada haihusiani na mahojiano , mada hapo ni usajili wa kinzumbi🤣na Fei

  • @HamisMusa-i9x
    @HamisMusa-i9x 6 годин тому

    Hata hii habari kuisikiliza ninzuri Sana kwaiyo haikua namaana udanganye ili habari yako ifuatiliwe ssna. Waandishi wa bongo hamuangalii keho mnaangalia Leo tu.

    • @LucianaSintufya
      @LucianaSintufya 5 годин тому

      Waandishi wa mchongo wa mashabiki wa yanga wanageuzageuza maneno tuu, hata la mondi kufirwa na p didy wanasema alikuwa anaanhalia movie chumbani, ndiyo maana yanga wasenge wengi

  • @walumahoja98
    @walumahoja98 6 годин тому

    Kumbe ndiyo alivyosema jembe 😂

  • @GoodluckGeofrey-je6ky
    @GoodluckGeofrey-je6ky 7 годин тому

    afu mbn unachoandika headline na kilichopo ndan n vtu tofaut 😂

  • @kimwerisamri1584
    @kimwerisamri1584 5 годин тому

    Ukitukanwa utasema unaonewa? Kichwa cha habar hakiendani na mahojiano

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 6 годин тому

    leo nakublock kwa sababu ya kichwa cha habar

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 5 годин тому

    MWANDISHI UNAULIZA MASWALI GANI HAYO?