Wao siwametengenezewa packing za magari
Najuwa anaweza Jenga uwanja shida serikali inazuiya hizi timu zetu zisiwe na viwanja vyake wakakosa mapato pale Benjamin mkapa stadium
Mipango ya Simba sc wanaumia utopolooo fc a,k,a vyuraaaa
Acha waumie hii ndo Simba yetu
mim truck driver so kwasas nipo congo naitaji Job uko
kama Wana Simba tunaletew ngonjera wew inakuhusu nin?
Unaumia na michakato ndugu
Ww fara nn? Kama huipendi simba utakoma.
Maswali ya hovyo hovyo sana
Kwanza wewe sio mwana Simba unauliza nini
Aliuliza swali kulingana na msemaji alivyoongea, kwamba aje yeyote kuwa wako tayari
HATA KM WEWE UNASEMA NI NGONJERA C UACHE?KWANI UMEOMBWA UCHANGIE MAZUNGUMZO YA MO? IACHE SIMBA IENDELEE NA MIPANGO YAKE. WENGINE HAIWAHUSU
Wana habari mda mwingine wanaboa
Njoo wewe Basi use mwekezaji Kama mo hawezi wewe so ushuzi mtupu
Kila ukifika mkutano wanasimba wanaletewa ngonjera tu.mchakato mchakato mchakato.Hakuna mwekezaji hapo,huyo Mo ni mwongo hawezi kujenga hata choo hapo
Mbona husemi ya kwenu hamna hata uwanja wa mazoezi kufatilia ya wenzenu tu ya kwenu Aaaaa kenge ww
Waandishi wengine bhn,😂😂😂😂
Hivi vidada vya hovyo sana sasa swali la ligi ya mabingwa na hilo swali la Shirikisho mbona maswali ya hovyo sana haya na wapi Ahmed Ally kataja Kizumbi au kutafuta views na media zenu za uchochoroni
Muwekezaji ni mama yako acha wivu wa kijinga,au wewe ni nabii meja.
HATA KM WEWE UNASEMA NI NGONJERA C UACHE?KWANI UMEOMBWA UCHANGIE MAZUNGUMZO YA MO? IACHE SIMBA IENDELEE NA MIPANGO YAKE. WENGINE HAIWAHUSU
Acha WIVU SIMBA NGUVU MOJA..❤❤❤❤😅😅