UGONJWA USIOJULIKANA WAIBUKA MBEYA “WANATAPIKA DAMU, ZAIDI YA WATU 15 WAMEFARIKI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2021
  • Watu zaidi ya 15 wamefariki na zaidi ya 50 ni Wagonjwa kwenye Kata ya Ifumbo Chunya, Mkoani Mbeya na hiyo ni kutokana na kuugua ugonjwa ambao bado haujafahamika ni ugonjwa gani.
    Mganga Mkuu wa Wilaya Chunya amethibitisha taarifa hizo.

КОМЕНТАРІ • 267

  • @jenelizajoseph6488
    @jenelizajoseph6488 3 роки тому +2

    Ee baba wa mbinguni shuka utuokoe nyosha mkono wako wa kuume Tanzania yetu tuokoe tunakuomba baba wa mbinguni tunakuomba🙏🙏🇹🇿 YESU YESU tuokoe ulitukomboa kwa damu yako ulichukuwa mizigo zetu zambi mangojwa tunakuita YESU tuokoe na kwaanzia Sasa MDA yako ikanene mema juu ya hawo wagonjwa jina lako linanguvu kupita majina yote 🙏🇹🇿naachilia damu ya YESU hapo chunya na waliopo hospital wapone kwa jina la YESU wanyanyuke🙏🇹🇿 Roho mtakatifu unatukinga kwa Atali za Roho na mwili tuokoe MUNGU wetu nimwingi wa Rehema🙏🇹🇿🇹🇿😍

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +30

    Mw/MUNGU 🙏 tunakuomba utujalie Afya njema Tuepushe na Magonjwa Viumbe Wako 🙏

  • @johnmziray1712
    @johnmziray1712 3 роки тому +31

    Kama kawaida Tumtangulize Mungu huku tafit zaid zikifanyika mambo saiv hayaeleweki, EE MWENYEZI MUNGU SAIDIA.

  • @omaryrjohn65
    @omaryrjohn65 3 роки тому +1

    Proud to see my loved teacher Mr.Weston mpyira.Mungu awatangulie kakaaa tusiacha kumuomba

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 3 роки тому +18

    Karne hii yarab tunusuru, Wewe ndio muweza wa yote

  • @bintmuhammed..7941
    @bintmuhammed..7941 3 роки тому +3

    Subhanna Allah.... Yaa ALLAH tunakuomba utukinge na maradh haya na tunakuomba utufanyie wepes wa kupata dawa/ufumbuz wa ugonjwa huu... Yaaraby

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +12

    Subhanallah 😭😭ya Allah tusamehe waja wako

  • @omaryrjohn65
    @omaryrjohn65 3 роки тому +1

    Eeeeh Mwenyezi Mungu tunusulu tumekukosea babaa,kwamawazo,kwamaneno,kwavitendo nakwakutotimiza wajibu,tumekosa babaaa tuhurumie sisi wanawako.
    Tunaomba haya kwanjia ya bwanawetu yesu kristo aaamina.
    God is good poleni nduguzangu wa ifumbo Mungu atawasaidia.

  • @halima_Paulin
    @halima_Paulin 3 роки тому +2

    Ewe Mola tuondolee haya magonjwa kwakweli huu ni mtihani wa mwenyezi mungu

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +6

    Eee Mwenyezi tunusuru watu wako Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 роки тому +3

    Magonjwa yakitokea watu wengi huanza kumtambua Mungu! hizi ni nyakati za mwisho Mungu ndo siluhixho

  • @benedictanicet5543
    @benedictanicet5543 3 роки тому +8

    Mungu tunusuru 🙏🙏

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 3 роки тому +25

    Kama ni kijiji wwangalie pia mboga kama nyama nk huenda ikawa na sumu

  • @chrisskihwele1795
    @chrisskihwele1795 3 роки тому +24

    Allah atunusuru dunia imefikia kikomo😭😭😭

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +9

    EE mungu tusamehe hakika tumekukosea

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 роки тому +8

    MUNGU BABA tusaidie 🤲

  • @mwanaamasanja7629
    @mwanaamasanja7629 3 роки тому +4

    Mwenyez mungu tusimamie

  • @georgembunda9233
    @georgembunda9233 3 роки тому +13

    tafiti zifanyike haraka,huenda kuna vitu wanatumia,na hupelekea vifo hivyo

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 3 роки тому +4

    Allah atulinde waja wake

  • @mwanaidimunga9099
    @mwanaidimunga9099 3 роки тому +2

    Subhanallah nyakati za mwisho hizi

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 роки тому +6

    Subhanallah 😭😭

  • @deboramwafilombe7477
    @deboramwafilombe7477 3 роки тому +3

    Mungu atusaidie

  • @nyambegamatoro6817
    @nyambegamatoro6817 3 роки тому +5

    Mmh, makubwa, jamani wizara iunde timu ya flying doctors ikaokoe watu huko

  • @wardaheluwa734
    @wardaheluwa734 3 роки тому +2

    Mungu tusaidie duh! mtihani huu

  • @fredychachamkome6829
    @fredychachamkome6829 3 роки тому +4

    Eeeeeee mwenyezi Mungu muweza wa yote tunakuomba utunusuru
    Nyoosha mkono wako usiopungukiwa na kitu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Na hili swala hatuelewi kwa kweli sababu waziri wa Afya ngwajma amekanusha jambo hili na amesema hakuna hivyo vifo vya watu 15 sasa tushike lipi na huyo mganga mkuu inasemekana amesimamishwa kazi sasa hatujapata uhakika kati ya waziri na wanakijiji pamoja na halimashauri ya chunya yipi ana ukweli zaidi.

  • @anithajoachimu4467
    @anithajoachimu4467 3 роки тому +3

    Mungu atuponye

  • @happysteven297
    @happysteven297 3 роки тому +3

    Jamanii

  • @edwinernestmbise8345
    @edwinernestmbise8345 3 роки тому +6

    Mganga mkuu umelichukulia ili swala simple sana! Hii ni ishu kubwa kuwa serious chukua atua madhubuti na za araka!

  • @mjukuuwakabonga2031
    @mjukuuwakabonga2031 3 роки тому +3

    Mungu tusaidie, waja wako

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 роки тому

    Mungu atusimamie serikali ichukue hatua na itupe taarif za kweli

  • @mwadiabulymoshabani6336
    @mwadiabulymoshabani6336 3 роки тому +9

    Wameona corona imepita Sasa wanatutoa Damu kwa lazima. Eee Mungu muweza wa yote uturehemu

  • @oliverben8010
    @oliverben8010 3 роки тому

    Subhanallah, , ee mwenyez mungu tuepushe

  • @humaidabdullah9619
    @humaidabdullah9619 3 роки тому +1

    Poleni Sana

  • @braystuskibassa3077
    @braystuskibassa3077 3 роки тому +4

    Mmmh inaumiza tuwe makini sana kumbe tatizo ni la muda aisee tufanye tathimini kwa haraka

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 3 роки тому +3

    Hatari san

  • @hamidshukra
    @hamidshukra 3 роки тому +7

    May be Ebora second chapter

  • @gracemanase5142
    @gracemanase5142 3 роки тому +2

    Hizi ni nyakati za Mwisho, Mungu aturehemu..!

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому

    Subhannallah jamaniii tukesheni tukiomba hatujui siku wala saaaa Eemungu tusimamie yaarab🤲🤲🤲🤲

  • @novatiwoisso8072
    @novatiwoisso8072 3 роки тому

    Mungu tusaidie kwa hili

  • @jenynaafya
    @jenynaafya 3 роки тому

    FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME
    0655523211
    1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku
    2.mkojo kutoka kisiri siri
    3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali.
    4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume.
    5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa.
    Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama
    🔸 Upungufu wa nguvu za kiume
    🔸 Saratani ya tezi dume
    🔸Figo kufeli
    🔸Mawe kwenye figo
    🔸Kifo
    Kwa ushauri na tiba 0655523211.

  • @sarahamos8524
    @sarahamos8524 3 роки тому +4

    Huenda ni mecyur zinawasumbuwa maana ni eneo la madini wataalam wachunguze zaid kwa makini

  • @himlayzer3543
    @himlayzer3543 3 роки тому

    Duh poreni sana mnyezi mungu atunusuru atusamehe na makosa yetu

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 роки тому +1

    Mungu tusaidie baba

  • @zainabmohammed1305
    @zainabmohammed1305 3 роки тому +6

    Subhana Allah😭😭

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 роки тому

      We mungu Baba turehemu tusamehe dhambi ambayo hatujaijua tusamehe Baba tunaomba rehema samehe taifa hili la tanzania

  • @pendael02
    @pendael02 3 роки тому +3

    Angalieni GMO na weed killer pamoja na usalama Kama wanapulizia mahindi wanavuta hewa ya dawa

  • @kwandukanunda700
    @kwandukanunda700 3 роки тому

    Mmmm mungu baba naomba. Uuuepushe huu ugonjwa

  • @tajimwambole3115
    @tajimwambole3115 3 роки тому

    Jamani Mungu atusaidie maana Yaliyo tabiliwa yana timia. Dunia imefika mwisho

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 роки тому +8

    Watanzania tusiogope...

  • @happysonrithe4884
    @happysonrithe4884 3 роки тому +9

    HAYO MAJI YA KUNYWA YACHUNGUZWE HUWENDA YANASUMU

  • @frankemmanuel6029
    @frankemmanuel6029 3 роки тому

    Hakika tumuombe mungu tu atulinde na kutupgania jaman EE MUNGU TUTETEE

  • @jordanmwaipopo7374
    @jordanmwaipopo7374 3 роки тому +1

    Eeeh mwenyezi mungu tunusuru

  • @lyilyanmussa5433
    @lyilyanmussa5433 3 роки тому

    Mungu nusuru mbeya yetu na Tanzania kiujumla😭🙏

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 3 роки тому +2

    Mtihan

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 роки тому +5

    Where are the government scientists take the blood samples immediately, live alone those waganga, tsanje from South Africa

    • @mntwanawabantuacademy4170
      @mntwanawabantuacademy4170 3 роки тому +1

      you re not south african , youre KENYAN, unfortunately, Please stop that nonsense, be honest about who youre

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому

    Mungu wetu tunakuombakwa unyenyekevuu mkubwa wajawako,wewe ndio tunaekuabudu na wewe ndio tunaekuomba msamaaha.tusamehe,tuepushe na magonjwa yote yaraab,,wewe ni mjuzi aamina

  • @chikujumat.v1308
    @chikujumat.v1308 3 роки тому

    Mungu tunusuru ,mayb Ebola maanake imeanza tena Congo😭

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 роки тому

    Ee mungu tunusuru na aya magonjwa

  • @ronaldmassanga8386
    @ronaldmassanga8386 3 роки тому

    Mungu atusaidie maana Ni jambo lisilo la kawaida

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 роки тому

    Ata chakusema sina zaidi ya kumuomba allah kareem

  • @elishachenya5341
    @elishachenya5341 3 роки тому +1

    Duuuuu 🙏🙏🙏🙏

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +11

    Ee mungu wangu 😭wametuletea ugonjwa mwingine tena kushinda corona ee mungu ibariki tanzania

  • @birahmaahmad8855
    @birahmaahmad8855 3 роки тому

    Hee yarabi tunusulu waja wako hazabu zako atuziwezi yarabi.

  • @yohanekasonkwa2612
    @yohanekasonkwa2612 3 роки тому

    Mungu wetu atuhurie atuokoe

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +3

    Wapimwe Ngurue maana wakazi wa huko hwajambo kwa kufuga, kuuza na kula Nguruwe. Hivi mtu mpaka unakula nguruwe vitoweo vingine vimeisha?! Uchu ukizidi ni mtihan.

  • @lucasfidely3920
    @lucasfidely3920 3 роки тому +1

    Mungu tuokoe namagonjwa haya yaajabu😭😭😭

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +1

    Tatizo wana wa Adam tunajahau mno tunaikumbatia dunia wakti dunia ni mapito na starehe za muda!
    Maasi kila kukicha yamezidi ongezeka; riba, ushoga/riwati, kutembea uchi, pombe/ulevi, zinaa, kamali, uchawi/kurogana, mitume, manbii na masharifu wa uwongo kila kona.
    Wale wanaojinadi wanatowa huduma za maombezi na kufufua wafu wakowapi?!
    Tutumie vizuri akili zetu, tusirithishane kukariri uwongo wa Wapagani wa Antokia yukawacha imaan/dini ya haki na ya kweli tukaabudu viumbe!
    Tusome tupate kumwelewa na kumuabudu Mungu Mola Muumba (Mungu mmoja) pekee.
    Tuwaepuke walokuja na mpango mkakati (Wamissionary) lengo lao kuu aabudiwe shetani (freemasons), tunaiga mila na tamaduni zao na kusahu kuwa maovu tuyatendayo yanamchukiza Mungu Mola Muumba.
    Tunawaabudu viumbe na kumdharau Muimba!

  • @ibnuqassim1614
    @ibnuqassim1614 3 роки тому

    Rabbi salama

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 3 роки тому

    oooh me cry

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +2

    Mmmh nahisi ni sumu bwana si ugonjwa kuna kitu apo

  • @tusubilegemtafya5532
    @tusubilegemtafya5532 3 роки тому

    Ee Mungu tunusuru sisi

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 3 роки тому

    Tuendelee kumwomba mungu atupunguzie adhabu. Majanga yamezidi jamani.

  • @mambosasatv9717
    @mambosasatv9717 3 роки тому +2

    Me nadhani dawa za kuulia wadudu mashambn pia Ni chanzo

  • @hansboy1443
    @hansboy1443 3 роки тому

    Mungu tunusul###

  • @barakakazumba2315
    @barakakazumba2315 3 роки тому +2

    😭😭😭🙏🏿

    • @corneliamatesha3163
      @corneliamatesha3163 3 роки тому

      Siku za mwisho kutakuwa na magonjwa mengi ndyoo haya, we Mungu tusamehee

  • @appie1276
    @appie1276 3 роки тому

    Eeeeeh Mungu inusuru Tanzania🤲🤲🤲🤲🛐🛐🙏🙏

  • @biddii1972
    @biddii1972 3 роки тому

    Mungu atasimama nasisi litakwisha

  • @Gwidohitila22
    @Gwidohitila22 3 роки тому

    Ee Mungu tunaomba uturehem

  • @bahatischalwe2874
    @bahatischalwe2874 3 роки тому

    Kwakwel utafiti ufanyike mapema wagonjwa wachunguzwe vizuri Tena watengwe na wazima huenda wakaambukizana, dah! huu ni mwisho wa dunia nin

  • @themessengertz1237
    @themessengertz1237 3 роки тому

    kitajulikana tu ndani ya siku chache ,Serikali haijalala na Mungu hajawahi kulala.

  • @GOLDENYERIKOTV
    @GOLDENYERIKOTV 3 роки тому +1

    Duh

  • @mariavianeypeter2991
    @mariavianeypeter2991 3 роки тому +1

    Ee Mungu tusaidie watoto wako, na utusamehe makosa yetu

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Waangalie pengine mboga zimemwagiwa dawa ya kuuwa wadudu halafu zikachumwa kwa siku ya pili sababu mboga zikimwagiwa dawa inabidi ziacjwe kwa siku sba ndio ziliwe.

  • @najmaomary665
    @najmaomary665 3 роки тому

    Mungu amsaidie jamani

  • @abasishabani1151
    @abasishabani1151 3 роки тому

    Mmmmmmh tumekwisha

  • @priscacharlescharles9014
    @priscacharlescharles9014 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌😭😭😭Mungu wangu huku corona huku tena hili

  • @richardkaiza74
    @richardkaiza74 3 роки тому

    Chunguzeni na viroba vya Konyagi, zingine wanazitoa hata kutoka Malawi. Na pombe za kienyeji ,uenda kuna vitu wanachanganyiwa kuongeza ukali. Hizo Pombe hazina vipimo lazima uchunguzi ufanyike. Na vyanzo via maji pia.

  • @kashambaadfouce1593
    @kashambaadfouce1593 3 роки тому

    dar jamani

  • @aishamussa3245
    @aishamussa3245 3 роки тому

    Subuhan Laah 😭😭😭😭😭

  • @ndilanhaboniphace9407
    @ndilanhaboniphace9407 3 роки тому +1

    Allah tunusuru sisi waja wako tuepushe na majanga yote

  • @pendael02
    @pendael02 3 роки тому +3

    Angalieni maji wanayotumia

  • @joycesalvatory7768
    @joycesalvatory7768 3 роки тому

    Sasa maneno mengi hayasaidii, chukueni hatua za haraka kuokoa maisha ya watu, kuwa na wataalam

  • @yvonnemhadu3698
    @yvonnemhadu3698 3 роки тому

    Week ilopita baba yangu alitoka tunduma Ila alipofika tu nyumban alikua hoi anatapika dam balaa Ila tunamshkuru Mungu asaiv hajambo🙏

  • @suitstv5889
    @suitstv5889 3 роки тому

    Mungu tuhurumie sisi waja wako

  • @houseofjudah7470
    @houseofjudah7470 3 роки тому

    NI TATIZO LA MUDA MREFU, TUACHIE WATAALAMU WA EPIDERMIOLOGIA WATATOA MAJIBU

  • @naomiamon6633
    @naomiamon6633 3 роки тому

    Mwakaa huuu tutaona mengi kwakweli 😔😔😔

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому +6

    Au ebola?

  • @nufaikafurnishers1384
    @nufaikafurnishers1384 3 роки тому

    Wachunguze vizuri yawekua magonjwa yamlipuko yatokanayo ya wanyama kama kimeta(anthrax)

  • @missamyner2955
    @missamyner2955 3 роки тому

    Daaah ewe mwenyezimungu tunusuru nahaya maradhi

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 3 роки тому

    Cha kuangalia ni Maji kwanza labda ni sumu au yana bacteria fulani ambao wanaleta hayo matatizo, maji kwenye yanatumika na watu wengi.