Uimbaji mzuri uliotulia! Muimbaji mwenye shati la bluu na tai nyeupe kushoto hakika ni kimulimuli wa wimbo huu. Anaimba kwa hisia na ishara. Namna anayotikisa kichwa chake nakutamka maneno, utukufu wa Mungu unafunika....Mbarikiwe sana waimbaji.
Asanteni sana wanakwaya ya kasulu kigoma mungu awabariki na awazidishie maisha na azidii kufunguwa sauti zenu vilivyo .Nilifurahi sana kukutana nanyi katika kambi iliooo kangemi na hata pale pipeline na kwa hayo yote nilipata nafasi ya kupata marafiki katika kwaya hii tunakuja sisi pia kuwatembelea mwezi wa December,Gooduck,luis, Andrew na Director Odhiambo tutawamisi sana
Bwana awabariki mzidi kusonga mbele katika kumtumikia yeye aliye juu kwakweli nyimbo zenu zinavuta hisia kali sana kutusongeza kwa mwokozi wetu kwani zinatutia matumaini
Was searching this song since long time,thanks got it,be blessed vop,the 1st time to hear it was at majengo church (kigoma town).enjoying it from abroad

Amen, amen, amen, amen! Utashangaa kuwa aliyenitumia huu wimbo ni mganga wa kienyeji. Mungu anafanya kazi kwa njia za ajabu
AMEN, AMEN
Amen amen
Kasulu mzidi kumtukuza mungu na kuwabariki watu kwa nyimbo hizi.Wimbo wa matumaini kweli.Mungu awabariki
Kasulu nashukuruni kwa kuwa pamoja na mamangu mpaka amepona may god bless you
True Ambassadors of the Most High GOD🙌🏼🙌🏼
Amen. GOD bless you
Although I don't understand the language, but am hearing Jesus. God bless you all in Jesus name Amen.
Amen
If you need to know it's meaning and to be able to understand such Swahili song I will be helping you
In short what a joy will be after redemption
Mungu azidi kuwabariki sanaaaaa
Asanteni sana wanakwaya ya kasulu kigoma mungu awabariki na awazidishie maisha na azidii kufunguwa sauti zenu vilivyo .Nilifurahi sana kukutana nanyi katika kambi iliooo kangemi na hata pale pipeline na kwa hayo yote nilipata nafasi ya kupata marafiki katika kwaya hii tunakuja sisi pia kuwatembelea mwezi wa December,Gooduck,luis, Andrew na Director Odhiambo tutawamisi sana
Tunashukuru sanaaaaaaa❤❤❤❤❤❤ siku Moja tutamuona Yesu Amina tunawatakiya kuenda ko na shiye mungu awabaliki sana.
Amina barikiwa pia. Na endelea ku like na ku share
Nawakubali Sana!! Mungu awabariki Sana!!,nikija kupata nafasi ya kuja Kigoma lazima niwatafute.
Mbarikiwe vop KASULU nawapata ipasavyo.
From chepterwai Kenya.. closer home with our God.
Amen,tutasahau shida zote tunapitia
I like the song 🔥🔥🔥woow my best keep the spirit wish you all the best my favourite can't stop listening to it 🥰
Amen
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa. BWANA MUNGU awabariki sana
Aminaaaaaaaa
Tutaimba wote halleluya, 😊
Old is gold, blessed songs
Jmn niliutafut Sana huu wimbo mnanibariki san mung awatangulie katik kila mfanyalo
Mbarikiwe tunawapenda Sana zidi kumtumikia Mungu.
AMEN 🙏🙏🙏 BE BLESSED
Happy to meet you live at kangemi camp meeting.
Mungu awabariki nawapenda
Amina. Ubarikiwe zaidi
Amazing choir.I love it
Wimbo huu unanibariki Sana Mungu awabarikini sanaaaaa
Amina
Never give will singing🎉❤
Amen.Barikiwa sana
Amen nimebarikiwa sana
Glory be to God 🙏🙏🙏🙇🙇🙇🤲🤲🙌🙌🙌👏👏👏 many more blessings 🙌 to you all 🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️🇺🇬
Good work ❤ God be with you
Amazing, thanks for spreading the good news of our Lord.
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa Sana naiona kwa Mara ya kwanza leo 5/04/2021
My favorite. Amina na mungu awatendee mema
Amen
Wimbohuu unitiamoyo kasulu mungawabariki nawapendasana
Amina nabarikiwa sana na nyimbo nzuri
very good vlog 💕
Amen. May GOD continue to bless you
Wimbo naupenda sana mbarikiwe sana
Mungu awabariki. Unabii ndiyo nuru imara.
Mubarikiwe sana
Amina
Bwana awabariki mzidi kusonga mbele katika kumtumikia yeye aliye juu kwakweli nyimbo zenu zinavuta hisia kali sana kutusongeza kwa mwokozi wetu kwani zinatutia matumaini
Amen
Good work guys. Please upload " Tumefikia ukingoni mwa mto Yordani, japo safari ndefu, karibu tutafika"
Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
Amen voice of prophecy God bless you
Touching song ......the day we will be on heaven
Wimbo nzuri na wapenda sana
Blessed be the name of our God savior, and may he continue being with you as you are ministering the of his name, very powerful music #like this.
AMEN. God bless you more
Ntazipataje hiz nyimbo jaman
Bwana awainue mzidi kumtumikia
Wabarikiwe sana hawa wanakwaya v.o.p siku moja tukutane mbinguni naukaniponye Sasa wimbo huu
Mumenibariki sana, moyo wangu umefurahi na akili yangu imejihisi kuwa Mbinguni kwa Baba yetu
Amina. Barikiwa sana
Amina mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
Amina
Mungu awabariki
Nice music iliac I like
Tutaimba wote haleluya amen
Mubarikiwe
Was searching this song since long time,thanks got it,be blessed vop,the 1st time to hear it was at majengo church (kigoma town).enjoying it from abroad
Amen. God bless you bro
Hallelujah mungu wetu asifiwe
Huu wimbo ni taa yangu
balikiwa sana hakika jiho haljawahi ona wala sikio
ksikia
Huu wimbo.unafundisha.sana.
Its a very inspiring massage
I like your idea
Am blessed
Nawapenda Sana V.O.P
Beautiful
Wonderful message of comfort
Wimbo wenye baraka na faraja tele moyoni.
Shida zote tulizonazo hatutaweza kuzikumbka
Mbega byiza ndayikunze
Sha njye ihora ari nshyashya pe.ni nziza pe
Wimbo mzuri sana
Amen. Barikiwa sana Enock
Ni kweli kabisa
Nimeenjoy Sana Mubarikiwe sana
Amina
I love this
My Choir - - - I miss you.
It's verry good
Wonderful message keep it up may God bless you.
AMEN. GOD bless you too
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Amen Amen
Amen 🙏
I love this song...I love the message, I love the simplicity
This song is really blessing me
Amen. Ubarikiwe zaidi brother Ayub
Tired not of watching&listening
Wow🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Amen!
Nice song
Nshimiye Eliezer,ikiwakigar
Nawapesana,kawimbohuu nzuli Mugu awenanyipia,nassi(Yesu,yuajatena)
Amen
God bless you
❤❤❤
Accapera
Ruditena ayoo
Good nyimbo
lko poa
Glory to God
Amen
Wimborne ni nice kama ya malalka
Ma😮🎉
2:44
✋✋✋
Amina
Niwimbo mzuri unatusogeza karibu na kristo yesu ,mbarikiwe wanawamungu (kwaya ya nyumbani)
Mbarikiwe nikiwaona mnanikumbusha nyumbani Kasulu nawapenda sana
The best song,kwa mara ya kwanxa nimeiskikia kwa Mara ya kwanza kwa mazishi ya babangu mzazi,ndio nikakalia chini kuitafuta lakini naumia sana
mbarikiwe sana
ج
Mungu awabariki
Wimbo mzuri sana nimebarikiwa Sana naiona kwa Mara ya kwanza leo 5/04/2021
Amina
Mbarikiwe sana
Beautiful
Amen
Amen
Amen