Mansoor atowa ya moyoni: Nilimpenda kwa dhati Maalim Seif

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @amneothman2301
    @amneothman2301 3 роки тому +7

    Wallah hukumpenda pekee yako tunampenda km baba xetu na mama xetu waliotuxaaa Ya Allah msamehe makosa yake yote na umpe pepo yako Amiiin

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 3 роки тому +6

    Allah atupe subra kubwa sote Mheshimiwa wetu Mansour na sie tunakupenda sana kwa ajili ya ujasiri na ukweli wako

  • @alimsellem8500
    @alimsellem8500 3 роки тому +6

    ALLAH S W AKUWEKE AKUHIFADHI AKULINDE IN SHAA ALLAH

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 3 роки тому +5

    Allah akubarikini na awalinde nyote Viongozi wetu

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +5

    Allah na wewe akulinde mh Mansoor. Ili muweze kuitetea zanzibar

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 3 роки тому +4

    Allah awapeni subra viongozi wetu musirudi nyuma safari iyendelee

  • @leeyjr1446
    @leeyjr1446 3 роки тому +5

    Luck to be zanzibarian🥰🥰

    • @rastafare878
      @rastafare878 3 роки тому

      Kwa kiengereza ni Zanzibaris Na siyo zanzibarian

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 3 роки тому +1

    Amiin In shaa allah mwenyezmungu amlaze pema pepon

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 роки тому

    Hongera Mhe. Mansour wewe ni mkweli na unajiamini.

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 3 роки тому +2

    Mungu atubariki tuweze kutimiza matakwa ya wazanzibari bila ya kuwa na vikwazo vya kiitikadi ya vyama!!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 роки тому

      Hakuna siku mpira wa kona utaacha kugombaniwa!

  • @makamemjeda2938
    @makamemjeda2938 3 роки тому +6

    Allah akujalie kheri kiongozi wetu mansour

  • @alimsellem8500
    @alimsellem8500 3 роки тому +4

    MANSOUR NAKUKUBALI SANA TENA SANA WEWE UNAFA KUA RAISI WA ZNZ SIO YOYOTE KTK CHAMA CHA ACT

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 3 роки тому +1

    Umoja na mapenzi ninguzo ya ALLAH.
    ALLAHU AQBAR

  • @binothmannasheed8910
    @binothmannasheed8910 3 роки тому

    Wallah huyu mandir nampenda Allah amlinde

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 роки тому +5

    Nasisi pia tulimpenda na hatuna cha kumlipa ila ni dua zetu na sitoacha kuwaombea wa waislam wote waliotangulia mbele ya haki 🤲

  • @nassorrashid2857
    @nassorrashid2857 3 роки тому +3

    Nawapendeni viongoz wng na sitorudi nyuma daima hadi tuipate znz yetu

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 3 роки тому +2

    Kwakweli mh Mansoor unatosha kubebeshwa dhamana kubwa zaidi ktk uongozi wa nchi.
    Hata mimi uanivutia sana misimamo yako
    Moyo wako ni mwamba imara usiovunjika, na misimamo yako ni kamba imara isiyokatika

  • @binali3871
    @binali3871 3 роки тому

    اللهم اغفرله وارحمه وعافه واعف عنه واكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء واثلج والبرد ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس وابدله دارا خيرامن داىه وأهلا خبرا من أهله وادخله الجنة واعذه من عذاب القبر ومن عذاب النار

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 роки тому +1

    Hongera

  • @mundhiribrahim6292
    @mundhiribrahim6292 3 роки тому

    Mungu arehemu maali seif

  • @imsimk.khamis574
    @imsimk.khamis574 3 роки тому +1

    Mashallah. Tulimpenda lkn Allah kampenda zaidi. Nakilichobakia tufanye yalio mazuri kuitetea zanzibar

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 2 роки тому

    Binafsi yangu ninakupenda Sana.

  • @zingzong3928
    @zingzong3928 3 роки тому +1

    Naiona Zanzibar ilkielea ktk moyo wako.
    Anayejifanya hakuoni basi tambua sisi huku mitaani tunakuona

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 роки тому +1

    Katika wanasiasa kwa dhahiri huyu ni katika ambao siasa sio lengo lao ila ni njia ya kumfikisha pahali pazuri kama alivokuwa maalim Allah amraham

  • @ramzangomez9597
    @ramzangomez9597 3 роки тому +2

    Bro Mansur ww ndie sharif WA maneno tamu. Najua ulikua roho ya maalim seif.? Makamo WA Kwanzaa WA raiis WA GNU

  • @binothmannasheed8910
    @binothmannasheed8910 3 роки тому

    Mandir nampenda Sana huyu

  • @ghulamjuma2883
    @ghulamjuma2883 3 роки тому

    Maalim alikuwa ni mtu mwema sana wengine hamna ukweli Maalim hakuwa tajiri kwa uzalendo wake wengine wp mmepata hela mali za umma mmechukua sana muacheni Maalim apumzike kwa amani

  • @ramzangomez9597
    @ramzangomez9597 3 роки тому

    Muwee imara kama jengo mojaa

  • @yasiralkindi5332
    @yasiralkindi5332 3 роки тому

    Waliofaa kuvaa VIATU vya maalim ni watu wanne tu nao ni JUSSA, MAZRUI, Babu Juni au huyu simba MANSOUR