HAWA WOTE WATAKUFA EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 76

  • @mariyammariyam-y3u
    @mariyammariyam-y3u Місяць тому +5

    Mungu atupe ufaham wa kutambua watumishi wa Mungu walio wa kweli watu sikuizi hawataki kuomba ila wanataka kuombewa na kutamkiwa baraka to 😢😢😢😢😢 Mungu atusaidie tulijue neno la Mungu zaidi

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Місяць тому

    Cassian Mungu akubarikiiiii!!! Hakuna anayesemaga hayo ya kufaaaaa wala ufalme wa MUNGU hawawaaambiiii zaidi ya toa ubarikiwee

  • @GERVASSEVELINI
    @GERVASSEVELINI Місяць тому +1

    Amina Mtumishi nakuelewa sana Unajua Kuna Injili alaf Kuna Injili ya Milele wewe hapo unaelezea Injili ya Milele yan Baada yakufa utakuwa upande gan....lakn hao wengne wanaubili Injili t alaf wanasema wanakupa utajili haya wakikupa Utajili kesho yako itakuajee? Tufikilie kuhusu mtumishi wa Mungu Suleiman ndo mwanadamu Tajir Biblia inasema atatokea Tajiri kama yule lakn sasa iv yuko wapi yupo kaburin na yy anasubilia ukumu

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 Місяць тому

    Hongera Mtumishi wa Mungu, Cassian,Leo watu hawataki.kuambiwa waache uovu,kutubu,Endelea mbele ...unatufungua macho sn

  • @emmanuelngunyale3639
    @emmanuelngunyale3639 Місяць тому +1

    Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri lazima neno la Mungu linenwe kwa ujasiri ili hawa matapeli wanaokokota maelfu kuzimu wadharilike na roho za watu ziokolewe......kristo analia maelfu wanaenda kuzimu kisa miujiza inauma kwa kweli

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Місяць тому +1

    Mtumishi wa MUNGU, MUNGU ANAKUJUA, KIFO KIMEUMBWA, MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA. UMEITWA KUKEMEA MAOVU, ENDELEA BABA.😊❤

  • @JosesphatSiringi
    @JosesphatSiringi Місяць тому +1

    Barikiwa mtumishi,wachungaji siku hizi wamechanganyikiwa ,wamemwacha Yesu

  • @GreshaEdson
    @GreshaEdson Місяць тому

    Amen, barikiwa sana baba, umwuliza swali ambalo mwa mposa hawtoweza kukujibu kamwe, juu yy hana habar na hatmanza watu

  • @hildakilale7313
    @hildakilale7313 Місяць тому

    Mungu akubarikiii sana mtumishii semaaa kweli ya Mungu,Mungu akulindeee mtumishiii

  • @ChiruzaBienvenue
    @ChiruzaBienvenue Місяць тому

    Cassian Mungu akutiye nguvu unatowa neno la uzima kabisa niko Congo Kinshasa

  • @dannydz97
    @dannydz97 Місяць тому +3

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @DotoS12
    @DotoS12 Місяць тому +4

    Ubarikiwe kw neno lakini wewe uwa unawaona ni watu siyo watu ni mapepo

  • @FabianiFaidaFabianiFaida-t4z
    @FabianiFaidaFabianiFaida-t4z Місяць тому +4

    Nikweli dunia yetu imeisha naomba watumishi muwe wakweli 😢😢😢
    Kuutangaza ukweli maana utupu umetapakaa sana mitandaoni pia na manabii wa uongo 😢😢😢

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 Місяць тому

      Yes @Fabiani....FFF... Watumishi wa Kweli waendelee kuitangaza KWELI ya Neno la Mungu...Watu wapone.. Barikiwaaa...

  • @Bagay1335
    @Bagay1335 Місяць тому +1

    Ubarikiwe pasta cassian ume nipa kitu na kwa kweli ume funguwa akili yangu ku pitia ujumbe huu

  • @Evangelistic-z3j
    @Evangelistic-z3j Місяць тому +7

    Dah nmejiskia kutubu na kutubu na kutubu

  • @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo
    @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo Місяць тому +1

    Mbona na wewe unahitaji sadaka, nambala hiyo ya m-pesa ya Nini kama wewe nimukamirifu , wewe wivu unakusumbuwa

  • @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo
    @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo Місяць тому +1

    Kama unataka kusaidiwa sadaka TUMIA njia nyingine sio uongo unaowambia watu huo , kama umeona watumishi wezio hawajafanya vizuri waludishe Kwa maarifa sio Kwa mitandao nendatu moja Kwa moja kwao

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 Місяць тому +2

    Amen kabisa kaka ubarikiwe

  • @GabrielWilliam-p4c
    @GabrielWilliam-p4c Місяць тому +2

    Mtumishi wa mungu amina kubwa

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire Місяць тому +4

    Hao wote ni wakulipwa waseme wameponywa hakuna muujiza hapo. Hao wote pamoja na nabii wao wasipotubu wataangamia milele.

  • @jumasaiga5058
    @jumasaiga5058 Місяць тому +3

    Biblia inasema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maalifa baba acha wafate kifo wenyewe

  • @Jonasmariko-yw5wm
    @Jonasmariko-yw5wm Місяць тому +1

    Barikiwa pastor

  • @HomecookingMamaG
    @HomecookingMamaG Місяць тому

    Mungu ni mwema sana imagine tunamtenda dhambi lakini yeye anatupenda

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika Місяць тому

    MUNGU atusaidie katika dunia hii hawawezi kuwaambia ukweli wanajua wakiwaambia ukweli watawaacha iliyobaki Ni kusema uongo ili wawakusanye na kuwadhofisha wasiwe na nguvu ya kujisimamia bariki mtumishi wa BWANA

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 Місяць тому +3

    No Jesus no way, hata ufanye nini Mungu atusaidie

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 Місяць тому +3

    Hakika tuombe sana tuwe na mwisho mwema😢

  • @AdamuTobias
    @AdamuTobias Місяць тому

    Amina pasita

  • @marympochela7903
    @marympochela7903 Місяць тому +2

    Reply to Alex John , Issue hapo si kukusanya watu,bali ni je, hao watu wanaokusanywa mwisho wa siku watafika mbinguni?

  • @ArnoldloiloleArnold
    @ArnoldloiloleArnold Місяць тому

    Really my brother

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 Місяць тому

    Mtumishi wa Mungu unanipa mambo mazuri sana

  • @yvonnewitandaye1873
    @yvonnewitandaye1873 Місяць тому

    Hawo hawa kuitwa na Mungu niwa tengeneza pesa tu,hukumu ya Mungu inawajiya •

  • @DaudiMsukuma
    @DaudiMsukuma Місяць тому +4

    Nawe umezidi sana kiwasema wenzako vibaya vip wewe umekamilika?

    • @msanginaza905
      @msanginaza905 Місяць тому

      Lazima aweke sawa ili watu wasipoteee lazima akemeee Yuko sahihi hapo anatumbusha baaada ya kupataaa yote mbinguni utaingia au huingiiiii??? Yuko sahihi kabisa Kuna maisha baaada ya vyote vya hapa duniani

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 Місяць тому +4

    Watu walipo fikia jamani Mungu atupe mwisho mwema 😭🙏🧎

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 Місяць тому +2

    Mungu akusayidiye❤❤❤❤

  • @mgishafuraha
    @mgishafuraha 28 днів тому

    Mambo ya sirini haya jaman watu wa Yesu kuwa makin huyu mtu anaongea ukweli siku haja msidharau jaman 😢😢😢😢 kuna kilio na kusaga meno

  • @AndrewSteve-r4k
    @AndrewSteve-r4k Місяць тому +2

    Mtumishi inamaana manabii kama hao nguvu zao si roho za shetani je wakifa roho iyo ikipandwa ondoleo lake kwa watu walio pandwa hutokaje

  • @AyubuFumbi
    @AyubuFumbi Місяць тому +3

    Baba ubalikiwe nipo upande wako

  • @MhuguAmani
    @MhuguAmani Місяць тому

    😢😢😢 MUNGU Utuhurumie watu wako.

  • @LeilaAthuman-b6d
    @LeilaAthuman-b6d Місяць тому +4

    😮wewe ndio umekamirika tukufate munatuchanga Tukabudu wap kama mwaposa anapotosha waumini dhambi ataibeba yeye halafu hakuna mukamirifu

    • @remigioushofa2817
      @remigioushofa2817 Місяць тому +2

      Yesu akukemee

    • @CryptotalesTz
      @CryptotalesTz Місяць тому

      Hii injili ndiyo yenyewe....

    • @remigioushofa2817
      @remigioushofa2817 Місяць тому

      @@CryptotalesTz kabisa nimeshangaa huyu ndugu yetu aliyekuwa na wasiwasi na paschal cassian

    • @AscriteMgaya-qr8eo
      @AscriteMgaya-qr8eo Місяць тому

      Mungu aufungue ufahamu wako maana umefungwa

    • @chrisshonga
      @chrisshonga Місяць тому

      ​@@AscriteMgaya-qr8eoAmbae amefungwa Nani kati yako na huyu Mchungaji 😁😁😁😁😁😁😁

  • @YohanaSemeka
    @YohanaSemeka Місяць тому +1

    😢😢😢Dunia iko mwisho

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m Місяць тому

    Amen amen 🙏🙏🙏

  • @NelsonPhilipo
    @NelsonPhilipo Місяць тому

    Sema tupone

  • @DANIELJOHN-qz2vf
    @DANIELJOHN-qz2vf Місяць тому

    Amina mtumishi

  • @CosmasAthanas
    @CosmasAthanas Місяць тому

    Amen ameni ❤❤❤

  • @sammwakalinga2705
    @sammwakalinga2705 Місяць тому +1

    Amina baba

  • @JULIANAHKYOVE
    @JULIANAHKYOVE Місяць тому +4

    Waeza kufa mbele yao,wewe sio Mungu

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv Місяць тому

      Unawaza na nih wew hujaelewa

    • @ElizabethNandeke-z6i
      @ElizabethNandeke-z6i Місяць тому

      Kuna kukufa n kulala,watakaokufa katika Kristo hao watalala Bali wale watakao kufa kwa dhambi watasaulika hivyo hakuna ufufuo kwao

    • @sarahamri1620
      @sarahamri1620 Місяць тому

      Mwanadamu Anamoyo mgumu neno linamuhubiria kila mtu mpaka anaehubiri wewe ni mgumu kufundishika

  • @philimonmmbaga4700
    @philimonmmbaga4700 Місяць тому +2

    Kifo kinajulikana kwahyo sio kitu Cha kuhubiri mahubir ya maut niyakilokole yakutisha watu

    • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
      @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r Місяць тому +1

      Muogope Mungu acha uswahili ndugu yangu

    • @GabrielWilliam-p4c
      @GabrielWilliam-p4c Місяць тому +1

      Wew unaenda kanisani ili ukatabiliwe gari ukaambiwe pokea nyumba utasubili uyu Cassian ni mtu wa mungu sana

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 Місяць тому

      @phillimonmm......mahubiri ya kilokole?...Mhhh... P C hatishi watu anasema ukweli Ndugu yangu. Kuna maisha ya u-milele baada ya "kifo hiki cha kimwili"....Kuokoka/kuzaliwa x ya pili/Kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi ni Muhimu sanaaa Ndugu yangu. Tafakari hilo. Barikiwaaaa...

  • @ByamunguErnest
    @ByamunguErnest Місяць тому

    🙏 AMEN 🙏 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @BenardSimon-me5ky
    @BenardSimon-me5ky Місяць тому

    Walio na changamoto za maisha ndo watakao rithi mbingi?

  • @marynyambok9531
    @marynyambok9531 Місяць тому +1

    Amen 🙏

  • @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo
    @TAJIRIMWAFONGO-vl8xo Місяць тому

    Mbona na wewe unahitaji sadaka nambala hiyo unayoonyesha ya m-pesa ni ya Nini , unawitu wewe

  • @thomasjuma9833
    @thomasjuma9833 Місяць тому +1

  • @AlexJohn-j9j
    @AlexJohn-j9j Місяць тому +1

    Nawewe kusanya watu bc,

  • @AnnastaziaJeremiah-l7j
    @AnnastaziaJeremiah-l7j Місяць тому

    Vita Yako wewe na mwamposa tu?

  • @Jonasmariko-yw5wm
    @Jonasmariko-yw5wm Місяць тому +2

    Barikiwa pastor

  • @nawenzasolomon1912
    @nawenzasolomon1912 Місяць тому

    Amina mtumishii