GOODLUCKY MSUYA : NIMELALA VIBARAZANI | MWANGOSI KWANGU NI BABA | MWL.MWAKASEGE NI MWALIMU WA WALIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Mtumishi wa Mungu,Muimbaji Goodlucky Msuya, Akizungumzia Safari nzima ya Maisha na Huduma yakwake katika Kipindi cha The Sound Of Gospel na Mtangazaji Gadielson Mfinanga,
    Bethel Radio, Stay Positive Be Inspired!!

КОМЕНТАРІ • 15

  • @sarahmwachawiliam-tt4bh
    @sarahmwachawiliam-tt4bh Рік тому +1

    Nampenda sana huyu mtumishi. Mungu azidi kumwinua.

  • @mildaayuma5700
    @mildaayuma5700 Рік тому +1

    Mimi nampenda paul sana,anamwabudu mungu kwa kila kitu chake

  • @erickmsuya1552
    @erickmsuya1552 2 роки тому

    Erick msuya Hongera sana ndg yang unafanya huduma nzr san

  • @gaudenciamarwa2394
    @gaudenciamarwa2394 2 роки тому

    Ubarikiwe sna bro

  • @sophiabright2597
    @sophiabright2597 3 роки тому +1

    Mungu azidi kukupigania kwakweli umetoka mbali utafika zaidi mbali umepitia changamoto.mungu yupo pamoja nawe mpare mwenzangu goodluck msuya😊

  • @pastormzirayofficial2048
    @pastormzirayofficial2048 3 роки тому +2

    Mpare ndugu yangu

  • @eliudkwesigabo9321
    @eliudkwesigabo9321 2 роки тому

    Mungu Ni mwema Sana Kaka keep it up

  • @gladsonmichael4436
    @gladsonmichael4436 2 роки тому

    Kaka nakuku Ali sna

  • @mrgiftjonathan8703
    @mrgiftjonathan8703 3 роки тому

    Kristo Yesu azidi kukuongeza ndugu yangu GM, najifunza kwako

  • @dafrosafaustin7836
    @dafrosafaustin7836 3 роки тому

    Naomba mawasiliano na Kaka Mfinanga please.......help anyone??

  • @imanielias3382
    @imanielias3382 3 роки тому

    Kaka Mungu akubariki sanaa wwe ni dhahabu🙌

  • @irenemsophe1118
    @irenemsophe1118 3 роки тому

    Mungu azidi kukuinua

  • @pendaelpeter8691
    @pendaelpeter8691 3 роки тому +1

    Pale tunaposema, Bali wale wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya watapanda juu kwa mbawa kama tai watatembea kwa miguu wala hawata zimia

  • @suzanaemanuel3621
    @suzanaemanuel3621 3 роки тому

    Mungu akubarikiii Msuyaaa

  • @hagailumbwe9146
    @hagailumbwe9146 2 роки тому

    Naomba tu namba yako Kaka mtangazaji