D VOICE "IBRAAH alileta vitu vya KITOTO kisa Mwanamke?/"Natamani Niende kwa ALIKIBA"/LAVA LAVA YUPO.
Вставка
- Опубліковано 5 жов 2024
- ...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
----------------------------------------------------------------------------------- - Розваги
Kameanza kujifunza adabu ety. Brother ... Kutoka mtu yeyote ambaye adui wa boss wangu nami adui wangu . Kameanza kujielewa akooo
Uwe ndo uzungu mzaji sio ulivyokuwa unaropoka ropoka tu
Ongera mway Ila ibra bdo kubwa Kwak umuwez 🎉
Humble guy, namkubali sana
Akili imekaa Sawa
Waandishi wa Habari kwa kuchokonoaaa!!!,lkn dogo kajielewa ,chibu kashamfundisha jinsi ya kuongea
Leo unamuita brother wako au umesahau kwamba niaudui ya boss wako?
Alijua kiba atajibu ule ujinga wake...kawa na adabu sasa
Akuna msanii hapa
Kwelii
Bure kabisa hapa
umalize mwezi wa Ramadhan salama na earing bro kweli?
D voice unavailable hereni
Kameanza kukua
Huyu ashaaanza kuweka vipuli
Alikuwa navyo toka zamani mbwa wewe kama huna cha kuandika
Mtangazaji uliza maswali ya maana yatakujenga! Achana na maswali ya kijinga hadi msanii anakuona huna maana
Yani ulijuwa ukiongea ujinga wako kipindi kile ulijuwa game unaitaji watu wajinga wajinga kama wewe