Mamia walifariki dunia wakati wa Ibada ya Hajj kwa sababu ya joto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mamia ya watu wanadhaniwa kufariki kutokana na hali ya joto kuongezeka katika ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia.
    Wale ambao wameangamia wanatoka zaidi nchi ishirini na vifo vingi vilikuwa ni vya mahujaji kutoka Misri.
    BBC ilitembelea jumuiya moja huko ambayo imepoteza zaidi ya watu 20.
    #bbcswahili #saudiarabia #hijja
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 1