EXCLUSIVE: DORAH-JAMII ILIKUWA INAONA WAZAZI WANGU WAMEZAA MKOSI/MAMA AKASEMA TUPIGE PICHA ZA MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 165

  • @lazaisblessings2695
    @lazaisblessings2695 3 роки тому +35

    Zamaradi this girl will go far, she needs counselling because she needs to heal of her past.

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +2

      you're right my dear I have gone through a lot of her interview she's always un happy but one day she will be ok

    • @maryammamuu4206
      @maryammamuu4206 3 роки тому +1

      She needs love.Nd more affection.. Its not her alone in the community but alot of ppl pass through shit

    • @lazaisblessings2695
      @lazaisblessings2695 3 роки тому +1

      @@maryammamuu4206 So true!

  • @hawakibambe8678
    @hawakibambe8678 3 роки тому +10

    Mumefanya sana interview na Dora kwann musifanye interview na wazaz wake pia tuwackie changamoto walizopitia kwa huyu binti, wazo tu zama

  • @clynarsugar3730
    @clynarsugar3730 3 роки тому +9

    mfanyie interview tausi na yule bwana wake aliyezaa nae bila shaka tutajifunza kitu kutoka kwao

  • @fatmaally859
    @fatmaally859 3 роки тому +1

    Ila me nakushauri Dora nibora umrudie hugo mpenzi wako anamapenzi ya dhati kwako kwakuwa anakujuwa vizuri . Muaminishe tu atakuwa sawa km kweli wampenda ukienda kwenye mambo yko unamchukuwa itafika time atakuamini tn sn ila ukisema umuache kisa hicho wanaume ndivyo walivyo . Ukipata mtu mwengine anakupenda kwasabb ww Dora ili akujuwe tu ila huyo mwanaume anakupenda kweli mbadilishe tu niushauri wangu tu

  • @salamakijonjo775
    @salamakijonjo775 3 роки тому +11

    Amekupenda Mungu ona Ulipo Sasa

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 роки тому +9

    Dora mwanzo umetuliza 😭 ila mwisho umetuchekesha 😂 kweli ww msanii 👏

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 3 роки тому +12

    This beautiful girl cries everytime she is on interview. She needs counselling so that she can say what is bitting her inside. 254 loves Dorah.

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +2

      exactly my siz

    • @fjojoly
      @fjojoly 3 роки тому +1

      yah her heart is bitter

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 3 роки тому

      ua-cam.com/video/l30WeLf88GU/v-deo.html Je umekwama katika wimbi la madeni na hujui utatokaje? Karibu upate suhulisho

  • @christinaebiy3336
    @christinaebiy3336 3 роки тому +12

    Zamaradi wew ni mpole km mamaang hadi nakupend

  • @beshuuambarali4960
    @beshuuambarali4960 3 роки тому +5

    Mimi zamarad nnachokupendeaa ni mwanamke Ambae huvai uchi kweny interview zko..cjw njee ya kaz zako hio ni maamuz yko binafs..uwe unawashauri na wanwake wenzio wasojielewa

  • @halimarashid294
    @halimarashid294 3 роки тому +10

    Pole my ukiwa duniani unapitia mitihani mingi sana subra muhimu ili usonge mbele, nimelia sana wallah

  • @JanneleP
    @JanneleP 3 роки тому +7

    ''najitambua naijua thamani yangu.." (Dora) keep it mama

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 роки тому

    Pole mama angu usilie mungu yupo pamoja nawe sahau yaliopita usiweke kinyongo umeona Ana wa jua kali amesema 😁😁😊 Smile.

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba6776 3 роки тому +9

    Usijali mdogoangu Mara zote moyo wangu unakupenda sana kingine hakuna marefu yasiyo Na ncha.

  • @nekiasilayo4722
    @nekiasilayo4722 3 роки тому +8

    Dorah wewe ni malkia wa Nguvu.🥰

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 3 роки тому +5

    Dorah kipenzi changu. Nampenda sana huyu bint natamani nimuone siku moja❤❤❤😘😘

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 3 роки тому

    Dora nakupenda Sana lkn unanikela kitu kimoja unapenda kuzungumzia mambo yanyuma sijui hua unalaha gan kuanika Mambo yako kiasi hicho nikwambia sio ww pekeako wengi wanapitia magum angalia yalio mbele yako kamaunavo sema maisha yaendelee

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 3 роки тому +3

    Hivi watu wataelewa lini kwamba Mwenyezi Mungu anafanya kitu kwa matakwa yake Mwenyewe?

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому

    sickle cell haitokei tu ni maradhi ya urithi na yanapatikana kwenye family , na hivyo unavyoelezea ni dhahir wewe huna sickle cell ni matatizo mengine tu , ila yaonekana wewe mwenyewe hujenda deep kwenye checking umetosheka hapo hapo kwa kuambiwa na wazee .

  • @batoulisaidy5077
    @batoulisaidy5077 3 роки тому +7

    Nimelia sana pole sana dola Allah Bless you

  • @thebosslady4597
    @thebosslady4597 3 роки тому +3

    bt kunamda cpendi kuangalia interview za dorah coz ananiumiza sana anavyo lia yan huwez kumsikiliza bila kulia aisee

    • @fridalaswai1000
      @fridalaswai1000 3 роки тому

      Yn km me ndo namsaidiaga kuliaa yn naumia kuliko

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 роки тому +2

    Lakn dora sijui kwa nini? hutak kujikubali interview zako nyingi ww ni kumwaga machozii pole my ukiona kwako kunaungua kwa wenzio kunateketea mit.hani tumeumbiwa sote viumbe haii

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 3 роки тому +2

    Dora wewe ni kusudi la Mungu kuwepo duniani songambele. Neno kuu
    Heshimu uumbaj wa Mungu.

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 роки тому +2

    Je unapenda kuendelea na uanahabar Dora? Ili tukuchangie uendelee na chuo

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 3 роки тому

    Pole sana Dorah mdogo wangu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +6

    ZAMA MAMA KIJACHO🤰🤰CONGRATULATIONS

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 роки тому +3

      Kabadilika hadi sura Allah ampe wepesi

  • @midodulla7805
    @midodulla7805 Рік тому

    Ayomaradhi kapona au

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 3 роки тому +2

    Aliyemuina dhamard kifuani ziwa moja kubwaaa na moja kidogo anisaidie kugonga like. I love you Dora Mungu hajakutupa.

    • @ayshaothman3995
      @ayshaothman3995 3 роки тому

      We umekamilika hakika binaadam hatuoni mazuri ao uzuri wamtu huwa tunaona machafu nakasoro zao tu mhhh mwenyezi mungu atusamehe

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 3 роки тому

      @@ayshaothman3995 ulikosa pakutuoa comment yko!?

  • @rehemamapande4680
    @rehemamapande4680 3 роки тому +3

    Hii interview mwishon nimesheka kwa kweli dora we upo kama mm mtu mwenye gubu simuwezi,ila nakupendaga sana Dora

  • @midodulla7805
    @midodulla7805 Рік тому

    Nataka kuuliza swali

  • @annaswai6072
    @annaswai6072 3 роки тому

    Tausi kiboko Yao haoneshi unyonge wala hamwagi machozi ingawa hata yy ana magumu mengi aliyopitia na hata Sasa bado anajikubali Sana hiyo ndo dawa Dora acha kulia lia kila siku ifike sehemu ujikubali ndivyo ulivyo huwezi kujibadilisha changamoto zipo kwa kila kiumbe kilicho hai jikubali funga mkanda songa mbele ww ni shujaa

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 Місяць тому

      Tausi alizaliwa vile na wapo vile kwenye familia yao. Dora hakui kwa sababu ya maradhi ya sickle cell. Analia kutokana na unyanyapaa uliomtokea kutokana na maradhi hayo

  • @shangwekamando2599
    @shangwekamando2599 3 роки тому +3

    Pole dear nilipitia Hayo Mimi nilikimbiwa na kila mtu Ch muhimu tu ni kufocus

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому +4

    Pole my love dollah Allah yu pa1 nawe

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 3 роки тому +2

    akisahau majonzi anakua mcheshi. Moyo wake umejaa makovu lakini ni moyo safi sana.

  • @salmashahbal9306
    @salmashahbal9306 3 роки тому +2

    Dorah wangu wew ni jasiri naelewa unayopitia...ninamdogo angu mwenye tatizo lilomsababishia kunyanyapaliwa na jamii lakini familia tulisimama kumlea na kumpaa moyo ...sasa ni kijana bado anapitia matatizo lakini ni jasiri sanaa na yuko imara😚

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 3 роки тому +1

    Mbona tausi mwenzio halilii mama jikubali bibie ww nibinadamu mkamilifu jikaze acha kulialia nidhambi kwa mungu jmn eeenh

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому

      Tausi hakuwahi kuuumwa Maradhi kama Dora

  • @thebosslady4597
    @thebosslady4597 3 роки тому +1

    Dorah mamii usilie Mungu amesha ongea badala yako umekuwa famous kuliko walio kunyanyapaa I love you

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 роки тому +7

    Raha ya interview ya Dora alie bhna 🥰🥰🤣

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 3 роки тому +2

    Pole sana kwa yote uloyopitia. Mungu uwa na kusudi lake, una inspire watu wengi sana

  • @magrethmboya5285
    @magrethmboya5285 3 роки тому +1

    Usimdharau mtu doraa mshukur MUNGU wako alipokutoa ni mbali sana

  • @pili3750
    @pili3750 3 роки тому +8

    Nani kamuona zamarad kama mama kijacho 😀😀😀

  • @majidmbegu8120
    @majidmbegu8120 3 роки тому +3

    dora amenenepa saivi

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 роки тому +2

    Pole dora kila binadam hupitia mitihani wew mshkuru mungu kwa kila jambo maana kuna wapo walkuwa na ugonjwa kama wew hawapo duniani jua wew mungu kakupenda mpaka kakupa nyota sema alihamdullah kila mara

  • @hamidammwindi8755
    @hamidammwindi8755 3 роки тому +2

    Nimelia jamani, Dora wewe😭😭😭😭😭....

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 3 роки тому +1

    Pole sana Dorah

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 3 роки тому +1

    Mimi anachoongea Dorah nimemuelewa sana wivu ukizidi ni kero sana mimi nishaachana na mwanaume ambaye tunapendana lakini nilichoka.

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 роки тому +1

    Hv kumbe kuna unyanyapa wa kiwango hichi pole sana mdogo angu

  • @khayraa7374
    @khayraa7374 3 роки тому +1

    This is sooo sadd😖❤️ she needs healing alot of emotional damages....

  • @leticiaipangi4337
    @leticiaipangi4337 3 роки тому

    Machoziii yako yanaumiza Sana dora polee ila yote kwa yote Mungu atabaki kuwa Mungu

  • @elizabethjoseph691
    @elizabethjoseph691 3 роки тому +1

    Super woman Dora big up

  • @hawatognola4022
    @hawatognola4022 3 роки тому

    Ho dorah nakupenda sana acta wangu. Tivoglia bene cara mia 💞💞💞💞💐💐💝💝💝🤧

  • @Idagaduretv
    @Idagaduretv 3 роки тому

    Napenda vipindi vya zamaradi Tv (Idagadure TV from Burundi)

  • @filothiasirizabongo5767
    @filothiasirizabongo5767 3 роки тому

    Pole sana dora mie kiukweli nakupenda sana maneno ya mwanadamu yasikuvunje moyo wasamehe waachilie na usahau yote iliyofanyiwa wew muangalie aliyekuleta duniani kisasi muachie Mungu

  • @megoj5179
    @megoj5179 3 роки тому

    Pole Dora!! So emotional 😭 Mungu ana kusudi na maisha yako! Wewe ni wa thamani

  • @fairamkhan4744
    @fairamkhan4744 3 роки тому +1

    Zama we ni my super woman

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 3 роки тому

    Namuelewa dora jamani ACHANENI NA KITU KINAITWA GUBU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +2

    Nampenda sana Dora❤❤❤

  • @OmanOman-zc5dt
    @OmanOman-zc5dt 3 роки тому

    Nikweli usimzalau mtu kwa upungufu wake uwezi jua kesho yake atakua nani

  • @psychtoday7732
    @psychtoday7732 3 роки тому

    ua-cam.com/video/l30WeLf88GU/v-deo.html Je umekwama katika wimbi la madeni na hujui utatokaje? Karibu upate suhulisho

  • @joyfaith1023
    @joyfaith1023 3 роки тому +1

    She is really hurting....more love from kenya

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 3 роки тому

    Dada yangu zamaradi nakupendaga sana,Ila ningekukumbu kuwa unanaharushiya wageni wako kinywaju kama jus, basi ilimradi ata chupa la mayi, kwa babu interview zako uwa zinakawa sana, sasa wanaongeta Mpaka koromeo zina kauka ,maji ni muhimu Sana, dada yangu🇧🇮

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому

    Mungu akuzidishia baraka nankufanikisha ndoto yako Dora👏👏👏💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 3 роки тому

    Tausi shujaa zaidi haonyeshi unyonge nae alifiwa na mamake Akiwa mdogo.

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому

      Tausi hakuwahi kuuumwa Maradhi kama Dora

  • @joykimaro6617
    @joykimaro6617 3 роки тому

    Pole mdogo wangu,Mungu akufungulie njia

  • @rosechalula1095
    @rosechalula1095 3 роки тому +2

    Duuu ila zama wee kauzuuu sisi tunalia huku wewe walaaa

  • @salhaaa4996
    @salhaaa4996 3 роки тому +1

    Poreeeeeeee sana dolla

  • @faustinaalphonce3141
    @faustinaalphonce3141 3 роки тому +1

    Nakupenda mama shubi

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 3 роки тому

    Yan umelia nimejikuta na me nalia,umeanza kutabasamu Hali kadhalika nimejikuta natabasamu tu mwenyewe hapa.....utafika mbali Sana Dorah nakupenda Sana

  • @zenaibrahim2373
    @zenaibrahim2373 3 роки тому

    Mtani wangu huyo supu ya punda imeshaiva ikotoka hapo upitie😁😁

  • @asnathojungu3090
    @asnathojungu3090 3 роки тому

    Pole nimelia mwenzio shida haina adabu

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 роки тому +1

    Chozi lako linaniumiza mno mwanangu ❤️

  • @thumazabazjabir3037
    @thumazabazjabir3037 3 роки тому

    Mbali na mitiani mungu amempa ujasiri na moyo wa. Maisha mengine kuendelea kpt up girl

  • @tujiakilumile1532
    @tujiakilumile1532 3 роки тому

    Mungu atakutetea cku zote Dola,nakupenda Sana 🌟 wangu

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 3 роки тому +1

    Mnyiramba mwenzangu Dorah pole sana kwa yote uliyopitia ila tunacho omba jamii inayo mzunguka imtafutie Cancelling jamani interview zake zote mara nyingi lazima huwa aliye akikumbuka alikotoka.

  • @tusmokinana3836
    @tusmokinana3836 3 роки тому +1

    Ata mm dadangu ana sicklecell....nahitaji kujua dora alitumia dawa gani hadi haumwi sana

    • @judithkataraia7305
      @judithkataraia7305 3 роки тому

      Vipo virutubisho lishe ambavyo vinaboost kinga za mwili kwa mtu mwenye sickle cell...mchek 0652223888 atakusaidia.

    • @mwanneathuman1585
      @mwanneathuman1585 3 роки тому +1

      Uko wapi mpendwa?kuna alimsaidia mdogo angu pia alikuwa na shida hii imekwisha kabisa

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 3 роки тому

    Same one to hagy her Please During cry

  • @magrethhango8786
    @magrethhango8786 3 роки тому +4

    Dora usijali zaa Kuna dada anahuo ugonywa na anawatoto mshukuru mungu anasababu nakupenda Dora❤️🙏

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 3 роки тому

    Dora wewe ni super woman,mungu aliyekuumba anakusidi na ndio maana anakufungulia njia za baraka,shukuru mungu kwa Ilo maana Kuna watu wanatamani nafasi Kama yako uliopo wameshindwa ingawa kibinadamu wanakila sifa na hawana matatizo

  • @mashaboydesylver8278
    @mashaboydesylver8278 3 роки тому

    I think this gal need councelling maana amepitia mengi sana isije muathiri kwa kazi zake

  • @issakasuga1999
    @issakasuga1999 3 роки тому +1

    Pole Sana dada Dora mungu akusimamie

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 роки тому

    Tunakupenda sana dora wewe ni mtu muhimu sana katika jamii ya kitanzania

  • @lailaselmin9590
    @lailaselmin9590 3 роки тому

    Jamani nampenda sana dola natamani kukutananae najambo nataka kumshauli

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 роки тому +2

    Dada zamarad umennepa mashaalh

  • @priscamussa8187
    @priscamussa8187 3 роки тому

    Mungu alie kuleta duniani, ndio anaruhusu yote yakufike hakika mitihani tumeumbiwa wadamu

  • @sharifasalum532
    @sharifasalum532 3 роки тому

    pole sana dora nakupenda una sura sweety mungu atakusaidia inshaallah

  • @eben_ezer8853
    @eben_ezer8853 3 роки тому +3

    Daaaahhh,,, I love you Dorah speak it out Mumyy.. You will heal as by time goes ❤️❤️❤️

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 роки тому

    yani dorah mwazo umetuliza mwisho uku tuna cheka pole kwa changamoto ulizo pitia pia nakupenda da zama unavyo itikia mmmmh 😘

  • @zou7470
    @zou7470 3 роки тому

    Dora jamani huwa nakufatilia sana ila badae unanitia huzuma mama😭😭😭

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 роки тому

    Umepiga hatua my dear dora love 😘

  • @scollapatric8342
    @scollapatric8342 3 роки тому

    Pole mwaya ila punguza Julia bac

  • @suzanistephano6447
    @suzanistephano6447 3 роки тому

    Kiukwli napenda Dora wng mungu amujalie kwa kila hali

  • @falidajohn4629
    @falidajohn4629 3 роки тому

    Sasa unamuhoji wann ww

  • @nyabaplussheila6541
    @nyabaplussheila6541 3 роки тому

    Love you Dorah❤

  • @queenwesthilson6009
    @queenwesthilson6009 3 роки тому

    Nc Allah atakujalia kila la khery

  • @jescaswai8599
    @jescaswai8599 3 роки тому +1

    ❤️❤️❤️❤️

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому

    Maskin usjali ww nibora kuliko wengine

  • @annamichael1433
    @annamichael1433 3 роки тому

    Be strong dorah mungu akusimamie inshalah

  • @lalyilaoman5800
    @lalyilaoman5800 3 роки тому

    Umeniliza sana dora wang

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 3 роки тому

    Nawapenda tu ivoivo!

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 3 роки тому

    Pole mdg wangu

  • @itsyourgirldandhersister6706
    @itsyourgirldandhersister6706 3 роки тому +1

    Dora nakupenda ukiriya na umiya dora💕