YANGA WACHARUKA SIMBA KUFUNGIWA NA FIFA?/USAJILI WA YUSUPH KAGOMA/SIMBA KUPOKONYWA POINTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 5 днів тому

    Muongo muongo

  • @sevelintino6181
    @sevelintino6181 5 днів тому

    Hera ya mwehu huliwa nawelewa

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 5 днів тому

    Kwanini hamkujibu barua ya Fountain gate mkalipa juu kwa juu?

  • @abisaingimbudzi590
    @abisaingimbudzi590 5 днів тому

    Utoto plus! Milioni 30 ilipwe kwa awamu mbili na klabu kubwa kama Yanga?

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 5 днів тому

    Mlimlipa kagoma ambae hajasign kabla ya kibabage aliecheza kwenu miezi 6 ??

  • @RamadhaniMfaume-se9op
    @RamadhaniMfaume-se9op 5 днів тому

    Yanga hatuna mwanasheria imara bali huyu jamaa anaganga njaa hajui kuishauri clabu

  • @chriskudilla5355
    @chriskudilla5355 5 днів тому

    Tarehe 7 mwezi wa saba?? Na makubaliano yalikua ya tarehe ngapi vile?

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 5 днів тому +1

    Umenunua mchezaji kabla ya dirisha kufunguliwa?Na ulimnunua akasaini mkataba wakati alikuwa anachezea Fountain gate,je hapo hakuvunja kanuni?Ulizwa maswali wewe.😂😂😂

  • @ShabaniKhamis-z7c
    @ShabaniKhamis-z7c 5 днів тому

    Wewe acha kudanganya umma ata Kwa morsoni ulidanganya ukashindwa wewe ufai kua mwana Sheria wewe tapeli kabisa daaaaa