Safi sana!!! Sema kweli!! Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, la faa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao!!! Na ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema!!! 2Timotheo 3:16-17. Neno la Bwana Yesu inasema hivi, lihubiri neno, uwe tayari mda wote, afu akasema karipia, onya kwa uvumilivu na mafundisho, 2Timotheo 4:2, haya bana yote alifanya huyu Magembe lkn kanisa haitaki kumwelewa, bora atoke tu hapo!!! Safi sana Mh Magembe. Amen!!
Jamani jamani ni kweli ni kweli kanisa hili limekufa Mimi nipo kijjni yaani washirika na wach,wa kanisa hilo wokovu hawana kabisa,msilaumu magembe au wengine wote wanaongea hapana tafuteni hili anguko limetokea wapi na mtubu jamani mrejee kwa YESU huo ndio ufahamu
Amina tumtetee yesu kanisa halitampeleka mtu mbinguni Bali ni yeye mwenyewe kuamua moyoni kufanya mapenzi ya MUNGU na kutokufanya dhambi mathayo7:21-23
Bado tuna subiria injili ya kweli unayohubiri huenda ikatusaidia maana kila clip unasema watu tu... Injili is good News Kama hatuonyeshwi Nuru tufanyaje sasa badala yake unatufanya tuwe na guilty tu . Onyesha njia sahihi tunayopaswa kuifuata
Pia hio miaka 13 ya uamsho(ikimaanisha kanisa lipo hoi linahitaji matengenezo) ilizinduliwa majumba sita na askofu mkuu alimaanisha kuna shida na inahitaji kushughulikiwa sasa Leo makamo mwenyekiti anasema eti ni mzee magembe ndio anasema kanisa limekufa
limekufa kanisa hilo kanisa yule mzee ana hubiri kweli ingawa hata si mfahamu ukiaangalia wana vaa mavazi ya kikahaba, mawigi, nk hakuna injili ya kweli saiv tag
@@GiftUmbu-n1c roho ya uasi manayake ni. Nini mpedwa maana hata wanaotoka romani, k.k.k.t wakaja T.A.g wanitwa waasi sasa maana ya uasi inabidi iwe sahihi ili tusije potosha
Safi sana!!! Sema kweli!! Kila andiko lenye pumzi ya Mungu, la faa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao!!! Na ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema!!! 2Timotheo 3:16-17. Neno la Bwana Yesu inasema hivi, lihubiri neno, uwe tayari mda wote, afu akasema karipia, onya kwa uvumilivu na mafundisho, 2Timotheo 4:2, haya bana yote alifanya huyu Magembe lkn kanisa haitaki kumwelewa, bora atoke tu hapo!!! Safi sana Mh Magembe. Amen!!
Kweli kabisaaaa mi nim kenya
Jamani jamani ni kweli ni kweli kanisa hili limekufa Mimi nipo kijjni yaani washirika na wach,wa kanisa hilo wokovu hawana kabisa,msilaumu magembe au wengine wote wanaongea hapana tafuteni hili anguko limetokea wapi na mtubu jamani mrejee kwa YESU huo ndio ufahamu
Ameeen mungu Atusaitihe
Kabisaaa ubarikiwe sana mtumishi.
Ukweli unauma.Magembe siyo mnafiki😮
Ni kweli mchungaji magembe Hana kosa ..
Isipokuwa amesema kweli,, Mungu ambariki sana
Amina tumtetee yesu kanisa halitampeleka mtu mbinguni Bali ni yeye mwenyewe kuamua moyoni kufanya mapenzi ya MUNGU na kutokufanya dhambi mathayo7:21-23
U m eo n gea logic.
TAG imekufa.Ni kweli
Ubarikiwe sana yaani haya ni kweli
Ubarikiwe nabii wa bwana, uko sw simama kwa zamu yako
Amina mtumishi umesema kweli!!
miaka 10 ya mavuno
Ameni Mtumishi
amina
nakuunga mkono, Kweli TAG wamejaa kiburi na dharau hudharau sana watumishi wa makanisa mengine na hujiona ni bora kuliko wao
Wengine walipeleka watoto wao vyuo vya biblia kama rehabilitation center...
Lakwako JE lipoje Hebu lichambue
Kweli kweli kabisa...
Amina Mimi mwenyewe nikitoka huyu mtoka mbali awe makini
We unajiita nabii. Unaenda na upepo.
Hauna unabii wowote ni mihemko yako sisi tupo TAG injiri inahubiliwa maovu yanakemewa sasa hayo mnayosema mnatoa wapi kama siyo ipambe tu
Kipofu hajioni
Wewe ni MPUMBAVU HUJIELEWI Toka TAG
Umeshiba dine wewe endelea kula dini wass tuko kwa yesuuu
MUNGU asipokufungua macho ya Rohoni, huwezi kuyaelewa wewe
Mtakatifu yoyote asiependa kuambiwa ukweli huyo kafa kabisa MUNGU AWASAIDIE WAJITAMBUE ILI WAANZE UPYA MAANA NEEMA YA MUNGU BADO INGALIPO
T. A. G imeanguka lakn wewe pia acha unafiki maana kwann usinge ongea hivy before
Bado hujui chochote,
Kabla ya Magembe kuna wengine tulishahama huko kitambo kwa mambo kama hayo hayo yani TAG wajitafakari
Bado tuna subiria injili ya kweli unayohubiri huenda ikatusaidia maana kila clip unasema watu tu... Injili is good News
Kama hatuonyeshwi Nuru tufanyaje sasa badala yake unatufanya tuwe na guilty tu . Onyesha njia sahihi tunayopaswa kuifuata
Na kiburi cha uzima....
🫡🫡🫡🫡🤝
Mnamsaidia adui wajinga nyie
Wewe sio nabii hata kidogo
Tag Bado haijafa ila Mzee wetu Ana matatizo ya kupelekeshwa na kijana wake Akamwingizia Mzee Roho ya uasi mnashabikia msichokijua
Kwani maana ya miaka13 ya uamsho ni nini?? pia magembe kaanza kuubiri uamsho kabla hata huyo yohana akiwa mtoto mdogo.
Pia hio miaka 13 ya uamsho(ikimaanisha kanisa lipo hoi linahitaji matengenezo) ilizinduliwa majumba sita na askofu mkuu alimaanisha kuna shida na inahitaji kushughulikiwa sasa Leo makamo mwenyekiti anasema eti ni mzee magembe ndio anasema kanisa limekufa
limekufa kanisa hilo kanisa yule mzee ana hubiri kweli ingawa hata si mfahamu ukiaangalia wana vaa mavazi ya kikahaba, mawigi, nk hakuna injili ya kweli saiv tag
T. a g imebaki dini tu kama roman catholic
@@GiftUmbu-n1c roho ya uasi manayake ni. Nini mpedwa maana hata wanaotoka romani, k.k.k.t wakaja T.A.g wanitwa waasi sasa maana ya uasi inabidi iwe sahihi ili tusije potosha
dogo hubir injili acha kusema watu, hata wewe umekufa
Kwani injili wanaubiri miti au watu, 2, maana ya biblia ni nini kama sio kuonya, kukaripia, kuongoza na kufundisha?
Lakwako JE lipoje Hebu lichambue