MAPYA YAIBUKA MGOMO KARIAKOO,MWENYEKITI AFUNGUKA A-Z"NILIPIGIWA SIMU USIKU NIENDE DODOMA,SIKUOGOPA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 203

  • @JomoJomo-g4q
    @JomoJomo-g4q 3 місяці тому +2

    Hongera mweshimiwa

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 Рік тому +10

    Hongeraaaa sanaaaa Mwenye kiti safiii yote. Maneno ya busara na hekma. Nduo uongozi.

  • @harunrhobi3007
    @harunrhobi3007 Рік тому +12

    Nimekuamini sana kupitia maongezi yako, Mungu wetu akutangulie katika safar hii ya usuluisho.

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Рік тому +11

    This man is a people's true leader.

  • @danvasmasese3180
    @danvasmasese3180 Рік тому +1

    Ur true leader

  • @edithajoseph7675
    @edithajoseph7675 Рік тому +19

    Mungu nakuomba umlinde dungu huyu na kila baya watakalo mzushia liwarudie wenyewe na kila kaburi watakalo mchimbia waingie huko Wawo na familia zao. Damu ya Yesu ikuzunguke usiku na mchana wewe na familia yako.

  • @sangajaffar7419
    @sangajaffar7419 Рік тому +1

    Mwenyekiti uko sawa sana big up

  • @mohamedjeizan5929
    @mohamedjeizan5929 Рік тому +8

    TRA ni wasumbufu sana sana kuanzia mipakani na SI kweli serikali kama hawalitambui ila viongozi kuanzia waziri wa fedha ndio kiini Cha matatizo

  • @shuhudiamtasiwa6646
    @shuhudiamtasiwa6646 Рік тому +6

    Nimekuelewa sana mwenye kiti wangu❤❤❤

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 Рік тому +10

    Akipotea huyu tunawaambia nchinzima tutaandama.Ole wenu apotee

  • @ramadhanikigoto
    @ramadhanikigoto Рік тому +1

    Big Brain and very persuasive

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Рік тому +3

    Loh! Nakuaminia kiongozi, hawajakosea kukuchagua, wakuombee Mungu sana wakati unapambana na hao wasio na utu wako kama simba wala watu!

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 Рік тому +3

    Chalamila akitoka hapo dar es salaam unatakiwa wewe ndiye uwe Mkuu wa Mkoa wa hapo

  • @michaelelia7058
    @michaelelia7058 Рік тому +3

    Kinacho endelea ni mgomo kwanini wamechoka safi sana 😂😂😂 MUNGU akulinde aiseeee

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 Рік тому +4

    Mmetisha msilainike mpka kieleweke

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 Рік тому +4

    Achen ujinga na upuuzi makufuri mngemfanyia hivi???????

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 Рік тому +8

    Peke yangu nawaza yani usipokuwa na hadhi fulani hata kama una fact huwezi sikilizwa

  • @oscarmlaponi8355
    @oscarmlaponi8355 Рік тому +6

    Huyu jamaa anajua sana kuwaandaa watu, kaanzia mbali sana hahahaahah, alafu kawarudisha dhamira yake ni maduka yafunguliwe

  • @walidmgonja3644
    @walidmgonja3644 Рік тому +13

    Waziri wa fedha ni tatizo,naishangaa sana serikali hasa mamlaka ya uteuzi kuendelea kumvumilia waziri wa fedha kwa kuboronga kila pahali

  • @jeamwenda7394
    @jeamwenda7394 Рік тому +1

    Ur true a leader

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 Рік тому +6

    I repeat again the guy is more than smart itself....

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Рік тому +12

    Hata Mimi nimeichoka Serikali...

  • @DominikoTvOnline
    @DominikoTvOnline Рік тому +22

    This man is powerful

  • @ismailsalumu1112
    @ismailsalumu1112 Рік тому +5

    M/Kiti wa wafanyabiashara kariakoo umepevuka akili
    Hakika unaongea points

  • @DavidikaAldo-ky4ek
    @DavidikaAldo-ky4ek Рік тому +7

    Baba mbarikiwa alisema mwanadamu Kwa upole wowote ukimugusa sana atatumia nguvu yake ya mwisho kutatua tatizo lake

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 Рік тому +10

    Tanzania na Kenya inabahati ya kuwa na viongozi sio watawala awamu hii lakini waongozwa wanatest

  • @mghuna
    @mghuna Рік тому +5

    Huyu ndio mfano wa kiongozi anatakiwa awe hvi kiongozi ndio njia

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 Рік тому +6

    Kiongozi umeongea kiutu uzima sana Mungu akulinde

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 Рік тому +8

    Dah mwenyekiti nimekupenda bure uko vizuri sana

  • @oscarluvanda4589
    @oscarluvanda4589 Рік тому +6

    Huyu jamaa kichwa sana

  • @nailaty
    @nailaty Рік тому +8

    Watanzania tukipendana hivi tutaendelea mungu akulinde mwenyekiti

  • @yusufunguruko8080
    @yusufunguruko8080 Рік тому +7

    Yeah, wewe ni kiongozi, sifa za kiongozi kwanza ni kuwa na ushawishi kwa unaowaongoza, hekima na busara, usiwe muoga, na uwe na misimamo itakayoleta utatuzi wa shida iliyopo. Kiongozi hutakiwi kuamua mambo kutokana na mihemko ya wale unaowaongoza bali uamue kwa kufuata njia ambayo unaona ndio sahihi itakayoleta solution ya shida iliyopo na kubwa zaidi kiongozi unatakiwa uwe mzuri ktk kujieleza na kuwasilisha kile unachotakiwa kukiwasilisha kwa watu wako kiufasaha na busara na hatimae wakielewe na kukubaliana nacho - Kwa hili bro naona haya yote umekuwa nayo na kwa kweli approach uliyoitumia ya kuwashawishi viongozi wakuu wa serikali wao wenyewe kuja kutoa majibu mbele ya wananchi wako hiyo ndio imekuwa kete kubwa sana iliyokupa nguvu na kukuweka huru mbele ya wale unaowaongoza - hongera sana sana uko vizuri mno !

  • @rahmaabdallah728
    @rahmaabdallah728 Рік тому +5

    Huyu baba nimempenda Ana point Sana Allah akulinde

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Рік тому +3

    This man is apple 🍎

  • @goldenmaduhumedia4681
    @goldenmaduhumedia4681 Рік тому +9

    This man is a leader

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 Рік тому +10

    Mungu akupe afya njema na uzima, ulinzi

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 Рік тому +3

    Huyu jmaaa Yuko vizuri

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Рік тому +1

    Waziri mkuu ni mwelewa sana, nimemuelewa na anaelewekaga..kiongozi

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 Рік тому +5

    Huyu jamaa ilifaa kua kiongozi mkubwa au kua bungeni maana anaonekana ni mtu Alie ishi na uhalisia wa maisha ya kawaida

  • @dominikishilali4645
    @dominikishilali4645 Рік тому +3

    una ongea ww kiongozi naumia mm pole sana

  • @nimlambangu2771
    @nimlambangu2771 Рік тому +5

    Uko sahihi sana, malaika wa bwana wakulinde,wasiojulikan a wasikuone, na baada ya yote ukavalishwe taji

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 Рік тому +4

    Mungu nakuomba umlinde huyo mwenyekiti maana hawajui kujitetea wanaishia kufa na mapresha

  • @salama1113
    @salama1113 Рік тому +5

    Safi sana yy c anatwambiaga twende burudy😂😂😂

  • @ibraagwanda4683
    @ibraagwanda4683 Рік тому +8

    Safi sana wafanyabiashara wa kariakoo, mmeonyesha nguvu ya umma.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Рік тому +4

    Aya mambo ni ya mda mrefu.. na Serikali inayafahamu. Iyo wiki ni ya nn zaidi ya viongozi kutoa maamuzi..!?

    • @mwaaang
      @mwaaang Рік тому

      Basi wavunje uongozi wao waendelew kugoma kila mtu ashinde mechi zake

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 Рік тому +5

    Ni wakati pia wa wafanyabiashara wa kariakoo kuwa waangalifu, kitovu Cha biashara kinaweza kuhama!!??

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Рік тому +8

    Ndo hivo, Kiongozi unapaswa kuongea hivo kwa misimamo!

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 Рік тому +6

    huyu jamaa Mungu amlinde maana inaonesha wazi hapendi uchawa!

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Рік тому +1

    Bro big up......

  • @Zenny89
    @Zenny89 Рік тому +3

    Serikali huwa inawadharau sana wafanyabiashara..hawajui biashara hizo ndizo zinalipia Suti, kaundasuti, ada za watoto wao na maVX yaoo.

  • @andrew29468
    @andrew29468 Рік тому +3

    Upo vzr mwenyekiti, mihemuko ikemee upo vzr sanaaa
    Nimependa tuna watu wazuri sanaa nchi hii,huyu jamaa yupo safii mtii

  • @muna1165
    @muna1165 Рік тому +5

    Safi sana kiongozi uko sawa kabisa

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Рік тому +5

    Jamani tumusikilize mwenyekiti jamani amepambana sana

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 Рік тому +1

    Safi sana mwenyekiti

  • @sudymlela1705
    @sudymlela1705 Рік тому +2

    HAPO MWISHO, TULIOSOMA QUBA TUMEMUELEWA MWENYEKITI😄😄😄😄

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 Рік тому +2

    Safi sana

  • @mekumeku2484
    @mekumeku2484 Рік тому +1

    Dah

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Рік тому +5

    Fact brother uko sahihi

  • @mwaaang
    @mwaaang Рік тому +2

    Huyu ni kiongozi na nusu. Mnapompa kazi. Mpimeni kwa muda huo alioumba. Kama hamtaki, mtoeni mwekeni mtu mwingine au endeleeni na harakati zenu mpimane nguvu na serikali mpaka mmoja atakapo surrender. Tutajua nani anamtegemea nani. Yetu macho.

  • @mukhutarymatimbwa864
    @mukhutarymatimbwa864 Рік тому +4

    Leo nimeamini serikari Inatumia wanasaikolojia vizuri sana

  • @godwinegasper8212
    @godwinegasper8212 Рік тому +4

    hyu jamaa n kiongozi kwel

  • @prijoseph4665
    @prijoseph4665 Рік тому +5

    Huyu jamaa apewe ububge

  • @emmanuelkundael2743
    @emmanuelkundael2743 Рік тому +5

    Mungu akuinue kaka,na akulindee aiseee

  • @joshuajacksonbatholomeo3408
    @joshuajacksonbatholomeo3408 Рік тому +1

    Kweli

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +13

    Kiongozi mzuri huyu safari sana

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 Рік тому +4

    Mi najaribu kufikiria tu! asingekuwa ni mwenyekiti wa chama ingekuwaje

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 Рік тому

    Bravo kariakoo.
    Tuko pamoja mpaka kieleweke.

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому +1

    vijana wengi hamjawajiri nyie serekari vijana wamejiajiri wenyewe bado mnawanyanyasa na kuwanyonya nch inakufa kwa mfumo hu hamtatoboa uyo mnaemuita mama ndio chanzo ya yote hayo yye ndio ametoa tamko na kod zembe na makato ya kijinga watu wamechoka jmn mnatufanya kama wajinga futen izo tozo za kijinda bola wamefunga maduka tuone izo kod mnakusanya wap

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 Рік тому +3

    *Mungu akubariki sanaa kaka kuendelea kutusema ss tunaodhulumiwa*

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 Рік тому +1

    Kweli wèwe ni kiongozi safi

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 Рік тому +1

    Mwenyekiti Anastahili Kuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam

  • @aminimoshi5474
    @aminimoshi5474 Рік тому

    Viongozi wa serikali wengi ni tatizo hongera mwenyekiti

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 Рік тому +4

    Hapo sawa MWENYEKITI

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 Рік тому +1

    bright sana

  • @mustafaally274
    @mustafaally274 Рік тому +12

    Brother wewe ni zaidi ya mwanaharakati
    Mungu akulinde,kwa pamoja tutashinda
    We love you

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому +1

      Mwenyeketi we we ni kiongozi unayejitambua

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому +1

      Kaka we we usiogope kaka mungu yuko na we we hayo magugu yameka tu kusubiri kodi zetu

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому +1

      Mweshimiwa mwenyeketi wewe usiogope mungu yuko na wewe usiofu kaka hayo majini yaliyojikalia tu kwenye viyoyozi ayajuhi shida watu wanazopata kariako

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Mwenyeketi wewe ni big up usiofu chochote wewe ni kiongozi wetu tuko nyuma yako kwa asilimia mia moja mijitu imeka kwenye ic inazunguka na vitu vya kuzunguka theni yanasubiri mitozo ili ijichulie inafikiri itaishi milele inakosa ata hofu ya mungu ata sijuhi kwa nini mungu asiishukie hiyo migugu iliyoka kama ndezi hapo Dodoma inasubutu kukuambia una hamazisha mgomo mbona Mimi nimefunga biashara alafu ilo lijitu lillo kuambia una amazisha maandamano tafuta jina lake peleka kwa kaka yetu lifukuzwe kama jambazi sugu

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 Рік тому +2

      Kuwaamini watu haraka ndo ugonjwa unaowatesa watanzani. Yaan bingo ukiwa na ufasaha wa kutunga uongo tu umetoboa

  • @antonyndinga8890
    @antonyndinga8890 Рік тому +1

    mkuu,
    Safi Sana.
    Dawa kukusanya machine za efd kuwarudishia

  • @mkonothomas9517
    @mkonothomas9517 Рік тому +2

    Mwenyekiti ameonyesha ukomavu ktk uongozi. Wadau vuteni subira yavuta heri

  • @mwijagenelsoni357
    @mwijagenelsoni357 Рік тому +2

    Kweli uongea kama kiongozi safii sana na mim nakuombea wakupe kweli huo mda

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 Рік тому

    Nimekukubali sana mwamba ......wewe ndio kiongozi sasa sio hao wanaokaa kwenye maviti yakuzunguka nakula rushwa ovyo tu tushawachoka sana

  • @ibraagwanda4683
    @ibraagwanda4683 Рік тому +2

    Kamanda Mbwana usilegeze kamba kiongozi, serikali na Tra wanaona wafanyabiashara kama mandezi.

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 Рік тому +1

    Mwiguru na timu samia.wanajiona ikuru Ni yakwao

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 Рік тому +2

    Tuliambiwa Magufuri ndiye alikuwa anakusanya kodi kwa mtutu akumbe alisingiziwa maana migomo kama hii haikuwahi kutokea enzi ya uongozii wake. Hili funzo kubwa tusiingie madarakani tukasahau mema ya watangulizi wetu.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 3 місяці тому

    Wamezoweya nikuondoka wote watafute kazi nyingine kibuli Cha ccm mungu anawaona tu ipo siku wabongo wataamuka

  • @nolasc0mushy651
    @nolasc0mushy651 Рік тому +1

    good bro

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Рік тому

    Umoja ni nguvu 💪💪💪💪

  • @leonardmwayeya13
    @leonardmwayeya13 Рік тому +3

    Safi sana namungu awabariki hakuna kurara

  • @HisaniMsigwa-lc6zk
    @HisaniMsigwa-lc6zk Рік тому +4

    Jaman kufanya biashara ni kazi ngumu sana sana

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 Рік тому

      Hasa kwa nchi yenye utawala wa marafi Rafi ya madaraka huku hayana kalama za uongozi si nyingine Bali ni hii Tanzania

  • @Veni584
    @Veni584 Рік тому +2

    Suluhu ya hapo ni kuwashughulikia hao wanaowasumbua wafanya biashara

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 місяці тому

    Uliposema tu kiongozi wa chama kinachotesa watu nimekutoa kwenye ufahamu ukitaka hama

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 2 місяці тому

    Mwigulu hafai kuendelea kuwa waziri wa fedha.Sijui kwanini, mama hamtengui?

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 Рік тому +2

    Asante sana kiongozi upo sa hihi sana

  • @gibsonzumba
    @gibsonzumba Рік тому +1

    Upo vizuri

  • @habibukessy-pf4xf
    @habibukessy-pf4xf Рік тому +4

    Upo saw kabisa

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Рік тому +4

    Good job brother ❤❤❤❤❤❤

  • @saitotierick6745
    @saitotierick6745 Рік тому

    Umetuakilisha vyema sisi wafanyabiasha wadogo

  • @innocentjohn4040
    @innocentjohn4040 Рік тому +4

    Big up brother Kwa msimamo wako

  • @stevenibrahimu326
    @stevenibrahimu326 Рік тому

    kuna watu wamejificha kwenye carpet lakini DMI

  • @AbdulRazak-jp1hv
    @AbdulRazak-jp1hv Рік тому +5

    💯💯💯💯💯

  • @alexpuwale9653
    @alexpuwale9653 Рік тому

    Hivi kwnin huyu Waziri wa Fedha asitenguliwe,uwaziri wake

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 Рік тому

    Mjinga akierevuka mwerevu huwa mashakani..na umoja ni nguvu