I never loughed this since I was born. njugush, trufena, karekye, tipixi, makena and all of you guys. I wish I can meet you and tule nyamachoma pamoja.
wooii hapa ni kucheka & the same time kuhurumia diva wa kathonzweni,, eti amenyoa mpaka eyebrows eehe Turu malia nyongo ahaha wewe ni mnoma sana , Kalekye ameamua kuonesha watu esophagus! ahahahahahahaa ,, keep it up guys,, mko juu tu sana
Wooooiye...pole Kalekye This is a warning to all ladies who take nudes and send them to their boyfriends and when love turns sour they are leaked online....Love every bit of this show...Lebanon
hii nairobi hakuna samaki ninini ingine anaeza vua....njugush walikua wa foto shoot na picha ya kondoo...njambi eish my ribs..........i honestly pity kalekye though
Eti picha za Kalekye zitanyima Kanye West usingizi..mpaka ma Socialite warudi ushago !!!! Hahah OMG!
Nani mwingine huwa Ana tizama hizi show hadi waleo?
Mimi hapa
Mimi
Woiye Kaleyke...sad face* but njugush killd it on this one
Woiye pole sana Kelekye,,,,,,,,,,,hahah Njuguna anaona haya kuangalia picha
Truphena Malia Nyong'o noma hiyo, poor Kalekye oooh
Njugush uko juu. Njambi, I just like you. Well done people.
I never loughed this since I was born. njugush, trufena, karekye, tipixi, makena and all of you guys. I wish I can meet you and tule nyamachoma pamoja.
I just love this show (:
Jambi Njuguna you guys are very funny (: lol
Lol njugush you're killing me.awesome guys keep it up
Kaleche ameamua kuonyesha watu oesophagus ##
wooii hapa ni kucheka & the same time kuhurumia diva wa kathonzweni,, eti amenyoa mpaka eyebrows eehe Turu malia nyongo ahaha wewe ni mnoma sana , Kalekye ameamua kuonesha watu esophagus! ahahahahahahaa ,, keep it up guys,, mko juu tu sana
Hahahaha ati agecome na sururu heee Njugush ati ugetoa hadi ngozi Hahahaha made my day heee thumbs up
Wooooiye...pole Kalekye This is a warning to all ladies who take nudes and send them to their boyfriends and when love turns sour they are leaked online....Love every bit of this show...Lebanon
Muya Everlyn
Muya Everlyn true leba wapi
njambi ati Mrs njuguna Heheh,achana na njugush ajitoe kwa shida zake,woiye kalekye pole, turuna awiti ua da best
Haha njungush una ujinga! wooie, pole kalekye
wah its actually unnerving thinking about kalekye.
I literally cried na kalekye........turu hahahah you killed the show
Aki njungush 😂😂😂😂😂😂😆ati ataki ata kuangalia na ameshaona
hehee Turu ati kuishi vizuri ni ujaluo soo crazy ....kaleche nae alijua doo zimeiva bt wapi!!!!!in Qatar
Njungush and co. your the reasons I watch this programme...
Njungush your always with new style...bravo
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...
Sorry kaleche wow wow wow I really appreciate it man very awesome guys I can't wait next times and see doctor makeshi
Woooi ...kalekye nxt tym usifwate upepo shikilia bendera
kalekye analia vibaya..njugush..turu..kudos
maaah ngai njuguna tiga wanaa..naniurarora....mko juu tuu xana nawapenda wote
waaaaaah thz show it wa aaaaweeeeesooooeeeee.....I swear nimecheka yangu yote,,,kipitap guz
i love this Njugush uko juu
Woiyee.pole sana kalekye.usijali
Wow very nice ,maskini kalekye alicheza noma anyway smart
😂😂🤣🤣mungu wa pombe ama
kalekye oooiy pole,haha...Turu n Awiti hiyo kicheko haha......u made my day guys mob love
venye njugush anacheki pics killed me ngai eti angekam na sururu...hii kipindi is the bestest
Tipcs, ukauwa manzi wako ukiona tu ,ww kwisha, anyway pole kaleche Awiti and Turu, chekeni leo ,kesho ni nyinyi
kalyeke made me cry pole
i was laughing so hard esp story ya kunyoa... until Kalekye's part 😟😟💔
Ati amenyoa nn turu Ati eyebrows😂😂😂😂
Same 😂😂😂😂
Woiii pole sana wakwitu
Hahaha njugush nikivunjika mbavu utalipa Hahaha
mungu wa tei ....mungu wa fombe ama pwaaahhhhaa
Ngai Kalekye absolutely broke my heart. Sorry my dear, nkt tsipizi ufala
Wawawawaw l love it l can't wait to see the next episode
Njuguna una ufala sana..unaangalia picha aje ...
wooiiii kaleche pole sana sweety
njugush jonority hahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂
+Grace Ndung'u
hahaha
Grace ndungu ww ni fan Sana WA UA-cam
Njugush ako na ujinga,
Niokotwe kathozeweni😂😂😂😂😂😂pole sana kaleyke......tipicha😞😞😞😞😞
hhhhhhh kaaleche u got it gal...njambi u hv ma day....alafu tipix acha iikaae
hahahahaha auuuuuuui kalech pole yawa,Awiti n Turu mko na Wana sana eti amenyoa nkt
Najua next episode nitaona doctor makenzi
+Grace Tessy oh no, woiye husiseme hivyo. Hatutaki arudi.
Truphena anyang nyongo.wee tu nwenda wspu sasa
Njambi aty marittle fair zao... umenimaliza njugush ngonja awiti atoke uhame na vitu zako kaa tortoise uuuiii hahaa
mkamba kwisha...
wawa njuguz hiyo ni Kali sana
Aki Njugush haaaa so funny....pole kaleche!
woooi😢😢😢 kaleche pole mummy..
hehehe kawangware imekuwa emotional .....emotionally funny
kale woiye...ahk usikufe...turu hehe u made my day...hehehe njugush...kkkkkkk hutaki ata kuziona
hahaha....woiii..kalekye...pole sana
Hehehe.....ati Kaleche ameamua kuonyesha mpaka esophagus...men, Awiti wewe ni mnoma
sijui kama nikuchekele ama nikuone huruma........
Tsipixi sijui utajiredeem vipi
hahahahaha njuguna... adding salt to the injury
wow very nice
waah tubix hapa umecheza mbaya bro
Aty Hii Nairobi hakuna samaki ni nini inginene unaweza vua? 😂😂
Pole kaleche
aki muko sawa sana
dahh saddest moment tpix amemuuwa demu wake...😭😭😭😭
Si ata Brayo achukue picha uchi ajiue? Huyo mse hanibambi ata kidogo.
hahahahahh Njugush eti ungetoa mpaka ngozi hahah ni aibu joh
uuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiii heeeeeeeeeeeeeeeee maaaaaaaaaaaah JINORETE NJUGUSH YOU ARE THE GUY
i feel 4 u dia,then awiti na turu aki nyinyi ati ameonyoa mpaka eye blow pwahahaaaa
hahaha. ..kucheka nayo
wooii kalekye..i warned you ooh
Turu na Awiti ooooh Jesu
lool ...kaleche..hapo sawa..
pole kalekye. tamaa iliua fisi
Nyc kip up guys
😂😂😂njugush eti ungetoa hadi ngozi
pole woyee kalekye
3.57 Awiti ameangalia camera
"umeiva kama avocado mwezi wa Sita",
best show ever
this is the funnyest show
Olalala !!!! Pole Mum
fridah watching from Jordan
part one iko wapi???
hii nairobi hakuna samaki ninini ingine anaeza vua....njugush
walikua wa foto shoot na picha ya kondoo...njambi
eish my ribs..........i honestly pity kalekye though
Njugush umeona nni kwa simu😆😆😆😆
hahaa...turu adi amenyoa....
This is one of the bxt show
aki woiieee kaleche 😢😢😢
woah!! was tipixi holding an iphone 6s ???
+Lorraine Wangari ,,,,nop its HTC ONE
angekuja na sururu umzike njugush
i miss doc
kwani imefika 77 part 2?????aki nime hung
kelekye mtoto wawatu ulicheza noma waaaaah
Hizi picha zita nyima Kanye West Usingizi..... LOL
😀😀😀😀😀hapo mumenimaliza
wuuuuuii kalekye Amalia ya ukweli lol
woiye kalekye pole next time be wise enough
nice
nani amenotice Njambi kamenona