Oya kuvi uyo mwana hujatutendea haki...ebu akija kwanza achana na izo project mpya mrudishe kwanza kule kwetu kwenye HARDCORE...Kwa kukusaidia mawe JICHO LA TATU,AFRICAN SON,AFANDE NYATI,CLASSIC MATERIAL,MISS CHINESE,KARIBU KITAANI,CHUNDABAD nk...
@@spartachize122 DMA alikuwa jamaa flani hivi toka Isanga Mbeya hiyo ngoma alirekodi kwa Roy ,G.records... ilipigwa sana Shuleni Mbeya Day miaka ya 2005
Oya jabir HOWCOMES hatujackia kuhusu streets verified song known as CLASSIC MATERIAL....kipindi ni THE CLASSIC and the song was and is CLASSIC MATERIAL!!...😂
Bro kuvi, msakalanye ROHO SABA popote alipo ahusike kwenye orodha za interview zako.
Singasinga Maradona,
Mishe zisizo na idadi mara sinza mara boma
Mlete Hashimu Dogo
Kuvichaka sijasikiliza classic material,hisia pia zte tulipaswa kujua history yake next time fanya ivyo
Next week stereo arudiiiii
stereo nikki mbishi one the icredible
💪💪💯
James kichwa, choir master
Wimbo wa Izzo B wa 2008 unaitwa Bizness featuring Suma Lee ndo ulitengeneza jina Izzo Bizness
alipita nao kichunda bad naiyo ndoilompa jna lachundabad
Hii suti uli ng'aa bitozi
Oya kuvi uyo mwana hujatutendea haki...ebu akija kwanza achana na izo project mpya mrudishe kwanza kule kwetu kwenye HARDCORE...Kwa kukusaidia mawe JICHO LA TATU,AFRICAN SON,AFANDE NYATI,CLASSIC MATERIAL,MISS CHINESE,KARIBU KITAANI,CHUNDABAD nk...
Sasa hapo si ndio maana ya kua na part 2,tatizo una haraka kupita kiasi
nilitaka kukupostia uzurungi ni rangi inatoka nje ya paple fuatilia
wamekudanya hiyo rangi ya suti siyo uzurungi ni goldfish
Kuna goma flani la DMA na sumalee wangu wa ndani lilikuwa safi sana ebu mtafute mmoja wao aje atusimulie kidogo
Kitambo sana yani
@@edwardasumwisye3010 ebwana wee hio ngoma ipo kwenye chat ya the classic pia
@@spartachize122 DMA alikuwa jamaa flani hivi toka Isanga Mbeya hiyo ngoma alirekodi kwa Roy ,G.records... ilipigwa sana Shuleni Mbeya Day miaka ya 2005
@@edwardasumwisye3010 duh au sio, dude tumelicheza sana disco vumbi hio miaka lilikuwa linarudiwa ni kama hakukua na ngoma zengine
Oya jabir HOWCOMES hatujackia kuhusu streets verified song known as CLASSIC MATERIAL....kipindi ni THE CLASSIC and the song was and is CLASSIC MATERIAL!!...😂
@@BabuuWakitaa-pb6gr unaachaje kupiga classic material na hisia
Uyu jamaa anafaa kuwa mwanasiasa ukimpa nafasi ya kuongea umeisha, kuna simu moja aliwahi kunipigia jamaa anangea huyu😂😂😂😂 dar seko 2007