All the way in America 🇺🇸, this is beautiful. Makes me wish to visit home lol. At least I have something to show my mother in law here about our cultural weddings back home. Thanks Naj...
Weee sema kungoja hii video, ni vizuri nimekua the second hahahahahah, harusi nzuri ila waume wana pishe pishe, watu wanajiachiliaaa weeee, watu wa Likoni kwa dimba nimewavulia kofia, hao watoto nawaangaliwe vizuri, ni wadogo sana maskini, imenikumbusha Mombasa jamani siku hizi kwetu hakuna harusi hizi, ni mambo ya hall.
Kweli watu wanakuwa,the boy alikuwa mdogo wakati Niko primary,, MashaAllah,mabrouq ,,nilikuwa najma,,wamama wa chama wa sansiro waliwakilisha,,wananikumbusha wedding day yangu walivyo mpa support my mama,,
I went to Muzdalifa Madrassa with both of them when we were so young..am happy they got married mashallah💖💖
Aaaaw MashaAllah 🥰
Hawa ni sepetuko toshaa warureeeee😂😂❤💛😭
Eeeeh anaitwa Zube... Nakuona bro Masha~Allah iliweza hii harusi
Iliweza sanaa MashaAllah
Wueh 🔥 full kujiachia🤪🤪Mabrook to the newly Weds In shaa Allah harusi ya kheir 💞
Ameen In Shaa Allah
It's lit! Vyakula pochopocho and bi harusi na bwana harusi wamependeza sana.
Sanaa MashaAllah
Kumekucha mambo yake ya kileo hoyeeeeeee💃💃❤🖤
Hehe
Wow n vile na miss swahili weddings n hiyo sepe live band
Jienjoy
Mashallah bi aruc amependeza.. Nime enjoy na sepe nikiwa uku jela baridi(gulf)
🥰🥰im glad you did hun
😂😂😂😂peponi huingii wewe nimecheka kama fala
🤣🤣🤣🤣nitaingia pia
Heh! Mimi niitwe harusi ya Najma😭🙌🏾.. no lie, harusi za waswahili ni lit, and glamorous jameni! 😍.. enjoyed the vlog... keep them coming💯
Hhhaaaa In Shaa Allah mammy sijui lini ilaa Mungu akileta barka yake hutakosa
@@najmaali Ataleta tu in the right time In Shaa Allah🙏🏾
Woow funguni mabrook once again... Lots of love from ur friend halima
🥰🥰
Team Ngongingo we need to meet and discuss the way forward 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
🤣🤣🤣🤣🤣🤣naja kutake minutes
Mtoto kumekuchaa mambo yake yakileoooo🎶🎵🎼🎹🎹🎹
😅😅
Alfu Mabruk, Allah awajalie maisha ya kuvumiliana na masikilizano,awape rizki za halai
Ameen In Shaa Allah
Amin
Funguni 😍😍😍alipendeza mashallah
Saana MashaAllah
HAAHAAA ..
First time Nime kuona umeenda wedding bila make up.
SIRI PLAY NATURAL BEAUTY
Nakwambia nilienda kinyika na io nguo jeee 🤣🤣🤣
Natural beaaaurrrryyyyyy
Alikuwa amepaka light make up tu si mbaya 😅😅✌️
@@umm-kulthumahmedabdulmajid1051 sindio eee
All the way in America 🇺🇸, this is beautiful. Makes me wish to visit home lol. At least I have something to show my mother in law here about our cultural weddings back home. Thanks Naj...
You are most welcomed🥰
Naj nitakualika harusi yangu
Mashallah nimelik hyo couple dance,cku hzi raha bwana harusi mchana sio ishu z usiku wa manane.
Ebwanaeee
Ndio mpango mzima
Mabrooq Alf Mabrooq, Najma Mrembo Maa Shaa Allah.
shukran
Hii harusi lzma iko likoni ndio Kuna balaa hizi😂😂😂.... All the way frm Kuwait nkienjoy harusi za kwetu
🤣🤣🤣🤣🤣✈️🇰🇪🇰🇪 thankiee
@@najmaali welcome dear
Congrats my bro el hamso...kila la heri!!!💪💪🙏
🥰🥰🙏🏼
Hii nyimbo aloingia nayo biharusi yaitwaje jamani????
Mtu aje anisaidie😄
@@najmaali abdul msambano
Si mie ni moyo by Abdul misambano
Weee sema kungoja hii video, ni vizuri nimekua the second hahahahahah, harusi nzuri ila waume wana pishe pishe, watu wanajiachiliaaa weeee, watu wa Likoni kwa dimba nimewavulia kofia, hao watoto nawaangaliwe vizuri, ni wadogo sana maskini, imenikumbusha Mombasa jamani siku hizi kwetu hakuna harusi hizi, ni mambo ya hall.
Umejaribu sana leo
Utawaweza watu wa likoni na sepee
Hall ndio mpango wote
@Saum Salim 🥰🥰
Nikiwa mitendeni naseketula maankini💃💃💃👌
Santhaaa
Ma Shaa Allah Tabaraka Allah...😘😘😘Am Happy Najma mtu wetu wa nyumbani kwa Support!!!
🥰🥰
@@najmaali 😍
Hawa wanawake wa hii sehemu Wana bidii ajab,aradhiwa achukue loan,lakini harusini asikose ,heheee
🤣
Amina Ali... 👌😂😂😂
Pambe Sana.......wapi apo somu
Likoni dear
Najma unafanya hii Kazi kwa pesa ngapi
@@mwanashahussein3861 only 5000 kenyan shillings dear
@@najmaali kwa siku mbili au Moja Najma?
@@mwanashahussein3861 siku mbili dear
MashaAllah raha jamani🥰🥰🥰😁😁
Sana tu
Harusi wapi iyo mavyaa wamedamshi mashaallah 👌
Ya huku likoni
Uko maweni?
Nyc vlog didn't know Arab and Swahili customs are so much alike
They really are
Masha Allah bi harusi na bwana harusi 🔥🔥🔥❤
🥰🥰🥰
Wapi team sepe jomoni 💃💃💃💃
🥳🥳🥳
At 13:54 those kids are lit🤣🤣
Ikr🤣🤣🤣
Started too early🤣🤣🤣
@@TopsyAbby 🤣🤣
Alf Mabrouk vacany zipo niwe wakukubebea camera
Hhahahaaaa wewe
Big up angalau tupo live na nyumbani now
@@mohamedswaleh2743 kabisaaa
Nishakuwa fan kuanzia leo
Imeweza so mwaah
Sanaaaaaa
Weweeee mambo mazuri Masha Allah 🥰😍
MashaAllah
Sepe manenozzz mbna raha daa najma magongo one day yes in sha allah🙏💞💞
In Shaa Allah
Wow wow wow mashallah...najma umenifuraisha harusi ya nyumbani kwetu ino..mimi niko dubai..coz yangu ndio bwanaharusi..kila LA kher bro
🥰🥰im glad i made your day
Ahaaa
@@monyshaali181 😁
Aww the groom was doing the happy dance when he saw her 😍😍
Alifurahi sana MashaAllah
Sjui nije wapi nikupate
Hmmmm
Mabrook to them @Funguni love u bff❤
🥰🥰
The live band is LIIIITTTTTTTT
Liiiitttt🔥🔥🔥
That gown is best.
Saana tu
Mabrouq Funguni💞💞💞
🥰🥰
Mabrouk🤲😘
Honestly hii Si mie ni Moyo akiimba bwan salo iko poa zaidi kushinda olelee
Hahahha
Sana tu bwasalo mpango mzma
Iam here and iam loving it 😘😘😘😘
🥰🥰karibu maa
Swahili weddings are so lit wueh
Very🔥
Jamani request yangu Mauzauza isikose Dec habibtyyyyy
🤣🤣🤣🤣naona ukiingia nayo pekeo io ujimwae mwae
WARERREEREEE....SANSIROO HOYEEE💃💃💃💃💃
🤣🤣🤣hoyeeee
I really enjy this channel even though am new in it, bt sincerly i appreciate ur good work
And i really appreciate such comments asante sana na karibu sana usisahau ku subscribe 🥰
Vzur sana na ss twajifariji tukiwa gulf
Enjoy kabisa🥰
Oleole akifanya mambo yake sepe hoyee nimeimiss sana
🔥anajulia
I watched and missed home..Likoni💯
😅😅
Mmh I missed home n nilkua uko juz 😆😆
Hhaaaaaa utasumbua
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Nani ameona bwanaharusu anataka kufanana ns asley😍
Mimi hapaa hun
uafanana na hakeem 5 if u guys remember him🤗🤗
@@aktrends9284 ni yupi huyo
@@najmaali aliimba nakshi mrembo na alikiba uafanana nae shape ya uso mwili complexion nyusi na macho ndo aslay🏃🏽♀️🏃🏽♀️😂😂
Nimeona ata nimeshtu😃😃sura ni mnlimbli aki
Woooow mashaAllah soo lovely mashaAllah
MashaAllah MashaAllah
My Aunt umependeza sana Mashallah
Thanks☺️
Better late than never 😂😂
Kabisaaa
Fanya ukitupa location mapema😂😂😂team Bahrain 🇧🇭🇧🇭
In Shaa Allah mpenzi next nawapa location
kabisa
Nataka hiyo cowboy hat ya bwanaharusi 😅😅😌😌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ntakunulia
Maisha ya uswailini mbona Raha hapo nipo Kwa kando napiga chabuu na kilo yangu ya Halelee mauno kamayote oyoooooo👌👌👌🤣😂
Oyooooo🤣
@@najmaali manbo cheche ✌️👍🤣🤣
Kweli watu wanakuwa,the boy alikuwa mdogo wakati Niko primary,, MashaAllah,mabrouq ,,nilikuwa najma,,wamama wa chama wa sansiro waliwakilisha,,wananikumbusha wedding day yangu walivyo mpa support my mama,,
People grow so fast🥰
You guys can shake eyy
Umeona eee
Congratulations 🥳 Rangi ni yake ama ni mukolongo
😅
Hii ndio inaitwa sepe b
Kabisaaa🤸🏻♂️🤸🏻♂️
Masha ala
🥰
Wow❤️❤️❤️❤️❤️
❤️
MashaAlla, pendezaaa
Sana
Wanifanya nitamani nyumbani,ooh jamani dada
🤣🤣🤣utarudi tu
Yani nnatoka exams tu nikiingia huku
Hahahahaahha jamani
Rumba 😃😃
Lakisawasawa
Mimi Naja kukuowa wewe najma inshalla kher ..?
😅In Shaa Allah
Wow👍💖
🥰🥰
Mashaallah mashaallah uuu
Mashallaaaaah uuuuuu😅
Khaaaa
Dzaamn mmboo pambeee
Sanaaa tu
Mambo y likonai wazee wa kusepetuka
Wewe ndo yule msee najma..love u
Love you too🥰🥰
Nitakualika yangu inshaallah....
Is it even a lit Swahili wedding if they don't play Khadija Kopa 🔥🔥
na ngongingo//wowowo
Ooh tetetee... 🤣
😅
i love swahili weddings wish i get married by swahili guy
Ameen In Shaa Allah
@@najmaali Amin
Bibi harusi kapendeza
Sanaa MashaAllah
Mashaallah
MashaAllah🥰
Bwana kharusi celeb🤣🤣
Umeona eeee
U look boom 🔥🔥
Thanks
Nyimbo za kenya waimbaji kuiga muache ni mutine nyimbo zinu yani wa tz waimbe nyie muibe
Una maneno wewe
@@najmaali 😁😁😁😁😁😁😁😋
MKAZAA OMMY UMEPENDEZA
sanaaaaa
Tumefikaaa
Nakuonaa mrauko ety
apo apo
Kabisaaa
Nikubaya I mic home
🥰
Da Naj mbna hujapeleka hidaya,wwe
😅next time In Shaa Allah
Imebidi subscribe kwa hizi harusi tu jamani uswazi raha❤️
Subscribe mammyy and many more to come In Shaa Allah
Twataka tuone biriani ikipikwa
SubhanaAllah
🤣
Hadi rahaa
Saaana
Wapi kiti..chora chora chora choraaaa
BWANAA HARUSI🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ANIACHA HOI
🤣🤣
Rizki za halali
MashaAllah
Inta gabarta aroosada shaaashada ka aragtay inay somali tahay umalaysay farta taag
😰
Iyaaa
❤❤❤❤❤
🥰😍
Mashaallah
🥰🥰