"MNAPIGA POMBE SANA HALAFU MNALALAMIKA MAISHA MAGUMU"-RC MWANRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @hashimusaid7695
    @hashimusaid7695 5 років тому +35

    Gonga like kama upo nyuma ya huyu mzee jpm4life

  • @papafikiri
    @papafikiri 5 років тому +23

    Ukiacha vichekesho ameongea point nyingi sana humo ndani
    1. Kupima ukimwi
    2. Wajibu wa mzazi kwa familia
    3.Elimu bora
    4.uchapakazi
    5. Kuachana na ulevi wa kupindukia
    6. Kuunga mkono juhudi za maendeleo
    7. Kujenga taifa kwa umoja
    8. Usafi wa mwili na mavazi

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 років тому +23

    yani mkuu unafurahisha kisha unaelimisha balikiwa sana

  • @jojoekiza5400
    @jojoekiza5400 5 років тому +3

    Kweli ww msani sana God bless you.

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 5 років тому +1

    Mzee nakuelewaga sana

  • @godlovemrosso8715
    @godlovemrosso8715 5 років тому +5

    mzee rudi home siha bado twakuhitaji mno!

  • @codestarcodestar-hn3kp
    @codestarcodestar-hn3kp 5 років тому +15

    Hahaha huyu baba nanichekeshaga hatari magufuri wapili

  • @luganojacob
    @luganojacob 5 років тому +6

    Kama umesikia kg Newton gonga like hapa twende sawa

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 років тому +1

    Ni kweli Mkuu.

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 років тому +2

    Leo umenifanya nienjoy mzee dah upo safi

  • @zachariamseswa8158
    @zachariamseswa8158 5 років тому +3

    Huyu mkuu siyo hivyo tu. Ni zaidi ya hapo, hata ofisini kwake ukienda ukiwa na shida inayohitaji maamuzi ya kiutawala hapepesipepesi. Anamaamuzi yalionyoka, kama Raisi wetu, Dr. JPM. Hongera Mkuu wa mkoa wa TBR na pia pongezi kwa Raisi wetu kwa kumteuwa huyui. Mh. Raisi na Agrey Mwanry MUNGU na aendelee kuwapa kibali cha kutumikia Taifa hili kwa moyo huo wa kizarendo, nasi tutaendelea kuwaombea. Barikiwa! Barikiwa!

  • @nickmoshi8243
    @nickmoshi8243 5 років тому +1

    Exactly RC

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 5 років тому +2

    Kweli kabisa, kulalamika inamaanisha umeshindwa kufikiri, na unataka wengine wafikiri kwa niaba yako.

  • @mwambietv7614
    @mwambietv7614 5 років тому +7

    Pank kama mkate umesikia like hapa

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому +1

    KumuelewA inaitaj uwe muelewa sana huyu mzee

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 5 років тому +2

    Tuleteeni huyu kiongozi huku kwetu Mara tuna bahati mbaya ya kuletewa wakuu wa mikoa ambao hawaendani na changamoto za mkoa wetu

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 5 років тому +1

    Jamaa comedian mzuri sana

  • @tanzania4072
    @tanzania4072 5 років тому

    cku nyingine unacheka na wanao safi sana

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 5 років тому +2

    Huyu mzee ni Comediani kwelikweli, Nilikuwa sijui kama hata kuchekesha anachekesha hivo ila bora yeye kuliko Bashite na sera zake za kusadikika. JPM tuletee huyu Mzee Dar es salaam tunamhitaji sana.

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 5 років тому

    Nmekukubali mkuu wa mkoa

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 3 роки тому

    Hakuitajika MAGUFULI aje ili kazi zifanyike vizuri.MWANRI anatosha

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 4 роки тому

    Mkuu

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 5 років тому +1

    hahaAahaaaa kaa kaa yenu hiyo waza mambo makubwa

  • @anthonyjohn6412
    @anthonyjohn6412 5 років тому

    mzee mwari unatukumbusha kipindi cha jiwe alipokuwa waziri ujenzi?

  • @abdallahhamad4499
    @abdallahhamad4499 5 років тому

    Kama umesikia tutako gonga like

  • @stevestephano5043
    @stevestephano5043 4 роки тому

    Betriiii haichaji

  • @big-h-official
    @big-h-official 4 роки тому

    Kweli mzee huyu anatakia mji mazuri jamani watanzania unga yeye mkono

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 років тому +5

    Yaani wewe baba nikija kweli wine nitanunu sema ngapi unafurahisha pia unaelimisha kweli watavyopata kweli lazima wache ulevi wa kijinga na malamiko ubarikiwe sana

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 роки тому

    Huyu ndiye rais mtarajiwa baada ya baada maghufuli kustaafu mwaka wa 2025.

  • @abimerckmpelembwa2422
    @abimerckmpelembwa2422 5 років тому +4

    Vitako viko nje ha ha ha ha ha

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 років тому +1

    Kamanda huyo

  • @salmaothuman4799
    @salmaothuman4799 5 років тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂nampenda huyu baba

  • @mathiasmalimi4555
    @mathiasmalimi4555 5 років тому +2

    Hahahahaahqha yaani watu wafikirie juu yako

  • @pretinesspastory9782
    @pretinesspastory9782 5 років тому +1

    Hahaaaa Mzee huyu bwana

  • @joseygaudence1886
    @joseygaudence1886 5 років тому +1

    Me pank kama sufuria ndo hoi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому +1

    Tabora sf

  • @mcmpomaonlinetv3483
    @mcmpomaonlinetv3483 4 роки тому

    Kangara ina itwa kg hahaha mabutu wa mama

  • @ezekielikuboja1413
    @ezekielikuboja1413 5 років тому +1

    😂😂ndo kusema

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 років тому +1

    🤣🤣🤣🙏

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 5 років тому +1

    Ya maana 😂😂

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 років тому +1

    Hahahaha

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 років тому +1

    😁😁😁😁😁😁😁😁