JUMBA BOVU PART { 2 }
Вставка
- Опубліковано 18 січ 2024
- #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Kweli mume wa mtu sumu 😢😢😢...lkn si wanawake muda mwengine tunaitajika kuwa wavumilivu kidgo na kusikilizana pia....
Oyoooo nimefika number 6 hapa nipewelikes zanguuuu❤❤❤❤mombasa 🇰🇪 kenya pitieni❤❤❤😅
Gozi jumba lako lishaakua BOVU😂😂❤
Jumba bovu limemuangukia goz 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Noma sana hii kazi ❤❤❤
Jamaniii shadow kakimbia
Muda muongeze,the story is good
Mda mfupi sana ebu mtuongezee mda jamani nzuli sana❤
Sawa tutalifanyia kazi
Xafi Shadow and Gozi congratulation
Nzur ila mnachelewa mno kutoa muendelezo
Iko moto
Nasubr ep ya 3 tyu kitu ni htr😊
Nipe 3 bana
Hahahaha hahahahaha. Hayo macho kaa😂😂😂
Lakini ningependa kama ningepata chance ya kuigiza 🙏🙏
Gozi unajw sana❤❤❤🎉🎉🎉
Thank you 🙏
Mwendelezo. Tafadhali
Kazi nzuri nawapata Zang nikia burundi
Unyama mzukuru wa gozy ❤
Mweke wa mwenye nyumba kafia kwa mumewee kisa kuchepukaa 😂😂😁dunia simama nishuke nimefika kituonii🙌🏻😅😅
Ngoja nicoment kwanza kisha niendlee kuiangalia… 🎉
Kazi ni 🔥🔥🔥🔥
Nawafatilia,kazi nzuri
Kazi Iko vizuri sana Congrats bro🎉
Thank you
Wee kali
Kaz nzur,,, lkn Mnachelewesh Sana mwendelez
Much love from saudi
Nakubali wanangu
kweli hili jumba bovu gozi msala umekuangukia
❤❤❤❤❤
Broo unatisha sana
Bwana Gozi , ongeza mda kidogo 🍏
🙏🙏🙏
😂 very interesting..I can't wait to see next episode
Vizur mnafny kazi lakini mnachelew kama moyo wa chuma and mmeishia sehem 6 muendlezo bd 😮😮
Eeeh hii hatali
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Safiii gozi
Duh atali kweli
😢😢😢 inahuzunisha good job kaka
❤❤
Like zangu nimewahi leo
Ok😊😊😊😊😊😊😊
Mbna nmmetuwkea mda mdgo sana (dakika chache) tunaomba mtuongezee dakka anglau zfke Hata 17 tu
Sawa
Chuma kali
Good work am a Kenya watching from 🇸🇦
Can't wait part 3 ...❤❤
Munachelewesha sn😢
Mmh hiyo kaliii😅
❤❤❤
❤🎉
❤
😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤
😢😢😢 jmn sonia wangu
Nimefurahia hii movie mr gozi
🔥🔥🔥🤝
To be continued
Nimeipeda hii
🎉🎉🎉❤❤❤
Part 3 isichelewe aky
Mbona kama ni tangazo
😂😂😂
kimeumana
Kimeumana vo😁
🔥🔥🔥🔥🔥👏🏻👏🏻👏🏻
La moto sana
Atakaekua wa mwisho kutoka Duniani asisahau kuzima taaa
Nakukbal sana bro gozi
🙏🙏🙏
Okay
Sema awamu ijayo mkazie baba mweny asikuzalilishe kiivo
Safii hamjawahi kosea
dakika 9 basi loooh hiii aisee mmezidi sasa mda mwingi tunasubiria kazi ikija sasa mda hauridhishi
Kuna shida ilitokea baadhi ya material yalipotea so inayokuja itakuwa sawa mtuwie radhi Kwa ilo
Noma aise😂😂😂
Hili ni zaid ya jumba bovu atareee
Ongera zenu
Nisikilize
Good job
Good job ❤❤❤
Jaman nawapenda sana nami najua kuigiza naomba mnipekaz kama kunakiingilio ntatoa❤❤❤
Weka namba yako ya what's app ntakucheki
Akikupa number tuchat nae sote@@directorgozi5509
Ongeza dakika
Wa kwaza
Tunaenda mahali
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤🔥🔥🔥🇰🇪🇸🇦💕
Hatar
Good job 🫱🏾🫲🏽 ila unazinguwa Kwa midakika hiyo 🥹 dakika 🥹 dakika 9 kwl? Ongeza dakika bhana Gozi huwoni wenzio dakika Huwa wanaachia 20 au 30
Sawa kaka tutalifanyia kazi next ep halitojirudia
Done
😢😢😢😢
❤❤
❤🎉