JUMBA BOVU PART { 1 }
Вставка
- Опубліковано 10 січ 2024
- #bollywood #youtube #amapiano #mkojani #kivyere #clamvevo #bestfriend #bigboss #mzimu #kicheche #kichechecomedy #lambalamba #kpnazebuu #bintinyoka #stevemweusi #mwanafunzi #mchawi #bongomovie #bongotrend #newvideo #bongoseries #newseries2023 #newmovie2023 #newfilm #tanzania #zakichawi #zamajini #zamapenzi #zashule #shortvideo #shortmovies #school #directorgozi #directorgozi #dontatv #dadawakazi #kijanatajiri #penzi #sanura #majini #indianblogger #eastafricasocialtv #shadowtv #doko #mwakatobe #chumvinyingi #babajoan
Yuhuuuuuuuu nmewahi wapili mm ❤🎉🎉🎉🎉 jumba bovu ni 🔥🔥🔥 timu gozi naomba like 5 tuh 😢❤ munaupiga mwing kwkwel mung awaweke ❤❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰
🙏🙏🙏
Wa kwanza 🎉
Unaweza kaka pokea mauwa yako 🫴🫴🌹🌹🌹🌹💗
I am the first to see that one in America
Mie uyo sonia namkibali sana mrembo anashawishi anajua kuigiza pia kwakweli hongera zako❤❤❤
Mmmmmmmm
Kazii nzr kaka japo umenitenga
Sonia mzuri Sana,,,nampenda sana
Sonia the best actress love ❤❤
Sonia ndo yupi kati ya hao??
Uyo alokuwa anataka kuingia guest na shadow
Huyu doko ni wamoto sana❤👍👍
Jmn Big up sana inafunzo ndani yk
Naupenda uho mtind wa doko
From burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Doko apa umenipiga na kitukizito 😂😂😂
😂😂😂
Kazi safiii....team gozi nipeni likes❤nawale wa shadow,sonia,ray,doko,mfinanga,pitieni hapa pia...❤❤kenya twawakubali sana mnajua❤..jameni sonia kafa😢😢ndio mchezo umeanza😂😂😂
Big up sana
Mko vuzur jaman team gozi big up
Sonia respect❤❤❤❤
Kenya 🇰🇪 represented ❤❤
ua-cam.com/video/0jmGqu_Dx9Y/v-deo.html
Tunakukubali sana hujawai kuharibu sonia🎉🎉🎉
Noma sana, Kama unapenda filamu nzuri karibu huku
Mashallah, hongereni🎉🎉🎉
Sonia the best 🙏🙏🙏
Gozi nimefika huku❤❤❤
Unyama kaka
Wewe Shadow uliachana na Comedy au
Ayo macho sasa
Ila huyu dem mzuri sana
Bado tunawapa shavu
❤❤❤❤❤bravo👏
Together we can 🤝💪❤️ this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Sonia
❤
Kichwa chaa doko nyie mie hoi
We muachie nyumba huyo mumeo ataku cheat
Wa pili....😂😂😂
Safi saaana
Jaman😢😢😢
❤❤❤❤ bravo 👏
Kazi nzuri sana ❤❤
Muko vizur sanaa
❤❤❤🎉🎉
Hasira inauwa
Sehemu ya pili mnachewesha kwann movie zenu nzuri sanaaa
Duh kwl haraka haraka haina baraka ushaua rey
I like sonia
Mimi wa kumi tu
Smart🎉
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nic nawapenda sana
Doko kama doko ni🔥🔥
Hi🙏💙💙💙💙
❤❤❤
Aiyeeee ❤❤❤
Pamoja
Umetisha Sana goziii❤
🙏🙏🙏
Unyama ni wakutosha
Naijuwa hiyo misiomdki
Nomaa kaz safi anaaa
Nimewai leo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Good jobu❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mv zenu nazipenda san
Good job 🎉❤
shado untufunza tuchukue wake zawat
😂😂😂 tazama movie then ikiisha ndio utajuwa inafundisha nn
Wow
Kiukweli mnaigiza vzur sana, yaani woote mko vzur...ila samahan tatizo huwa mnaishia kati hammalizi move zenu ila nawapenda sana❤❤❤❤❤
Sawa tutalifanyia kazi Ilo maana sio dhanira yetu sisi kuishia njiani ni kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wetu Asante Kwa maoni endelea kutu support 🙏
Ndio
Nawakubl
Ya pili ikoapi
Inakuja usiwe na haraka
Mbn ya2 inachelewa
Mmetisha sana😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤😂😂😢😢😢😢
mke Wa MTU sumu
safi gozi mc
Hii C Ni kma Kafia geto
Pagumu
Timu gozi nawakubali sana❤❤❤
❤❤❤