Tangu rabbi abishalom lein longan amehubiri kuhusu Imani Mimi ni mmoja niliye fanikiwa katika level flan kama na wewe umeyaishi mafundisho sema amen 🙏🏻
Namtukuza Mungu kwa ajili yako, mtumishi Rabbi Abshalom Longan maana unatuamsha katika usingizi mzito hasa katika Nyakati hizi za mwisho na kunyakuliwa kwa Kanisa, Mungu wa mbinguni azidi kukutetea wewe na uzao wako, na ili watu wengi waisikie Injili ya Nyakati zetu. Amina.
Amen Amen. Kristo YESU anisaidie nisikosee katika kinywa changu... Ninaamimi Kwa moyo na kukiri Kwa kinywa ninao wokovu.. Barikiwa Kwa somo zuri Rabbi.
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana unafanya huduma ya nuhu ktk nyakat zetu kuna mambo Huwa yananitokea mahali nilipo yanafanana na mahubiri yako kwa asilimia 💯

😊
Kabisa yaan tulijitahidi kuyatendea Kaz haya mahubiri mbinguni lazma tuingiie
@@ImaniTinda-h6x ndio hivyo mwana wa mungu
Namtukuza Mungu kwa ajili yako, mtumishi Rabbi Abshalom Longan maana unatuamsha katika usingizi mzito hasa katika Nyakati hizi za mwisho na kunyakuliwa kwa Kanisa, Mungu wa mbinguni azidi kukutetea wewe na uzao wako, na ili watu wengi waisikie Injili ya Nyakati zetu. Amina.
Amen Amen. Kristo YESU anisaidie nisikosee katika kinywa changu... Ninaamimi Kwa moyo na kukiri Kwa kinywa ninao wokovu.. Barikiwa Kwa somo zuri Rabbi.
Amen nimebarikiwa sana namafundisho Yako neema yabwana wetu yesu Kristo izidi. Kukufunika
Nashukuru sana kwa ujumbe.
amen amen mtumishi MUNGU akubariki sana
Mtumishi wa Mungu barikiwa sana unafanya huduma ya nuhu ktk nyakat zetu kuna mambo Huwa yananitokea mahali nilipo yanafanana na mahubiri yako kwa asilimia 💯
Amen amen amen 🙏
Amen 🙌
Nakuangalia kutoka kakola kahama and nyakagwe Geita lazima uje kakola Tena ka Bwana hajarudi
Nabarikiwa Sanaa na Neno la Mungu anaye kutumia
Napenda nishee na wewe
Uwe unaonesha video