TAZAMA! WATOTO WAKICHEZA NYIMBO ZA KIHAYA MBELE YA ASKOFU
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kwa Udhamini au Kuwasiliana na kitengo cha Masoko
☎✉ 0762 431 028 | 0652 848 112 | 0735 666 772
Watoto wa Shule ya Msingi Mary Mother of Mecy wakisakata nyimbo ya Kabila la Wahaya katika Mahafali ya Kwanza katika shule hiyo iliyopo Mji Mpya Relini, Huku Askofu Jude Ruwa'ichi akiwatazama Mbashara.
Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.
Mtoto wa nyoka ni nyoka tuu ,amani kwenu wahaya 😊🙌👏
Wamecheza vizuri sana, najivunia kuwa muhaya
Kumbe tuko wengi
Wahaya kwa kweli tumesukia raha.sana. hongereeni.
Najivunia kuzaliwa mhaya
Ozaaaa big up saaana ongereni sanaa wahaya wenzanguuu
Hakuna ngoma ya asili tamu Kama ya wahaya, najivunia saaaana kuzaliwa bukoba
Only thing make me happy on my HAYA trib is the culture, it's so fantastic
Safi sana
Jaman. Rahaa
Big up sana wahaya
I love the dance. It's so amazing
Right ✅ time to install culture above all will sound 👌 when is accompanied with JESUS LOVE. true love cements better NATION. 🙏
Asante sana kwa kuendelea kulinda tamaduni zetu adi raha jamani
Najivunia kabila langu
Asante Mungu kwa kuniumba Mimi nikiwa mhaya nawasihi ndugu zangu tuendeleze utamaduni wetu
Yaan adi nasikia laa sana nataman ningekuwepo
Nmeeapenda
Cool!!! Culture is the backbone of proud NAYION. GREAT 👍 🙏
Jamani
i love my tribe
Safii ngoma nzuri sana
Hongereni sana watoto wazuri.
Hongereni sana walimu na wanafunzi pia . Mmecheza vizuri Mungu awabariki
Naupenda sana unaitwaje?
Safi sana watoto wazuri. je ni shule gani hiyo? Naomba jibu tafadhali
Hongera sana watoto
Hongereni sana, inapendeza mno
safi big up kwetu wahaya
Hongereni sana Walimu wa Mary mother of Mercy kwa kazi nzuri.
Safi sana watoto
Hadi raha,wap wahayaaaa!!!
Watoto wako vzr
Safiiii
Mwakolo muno
Wao mwakola bojo
Timua singo. Kwetu patamu
Ozaaaaaneeeeee
Mwakola abomwaityu siiiiiiiiiiiii
Owaitu bukoba
Hatar hatar
Makubwaaaa😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Najivunia kuwa muhaya
Bukoba kwetu.
Kwetu pazuri jmn
Kulikuwa na nini mbona namuona askofu mkuu wa jimbo katoliki la dar Yuda Ruwa'ichi Thadei.?
Mahafali ya darasa la saba mwaka jana.
@@upendomwayeya1397ahsante sana kwa kunijuza
Utamaduni wa kupiga Ngoma live umekwisha hapo! Hakuna kitu
Hongeren sana Watoto wazuri