Who speaks better Kiswahili? Kenya, Tanzania exchange light-hearted banter |
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: www.ntvkenya.c... || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
KISWAHILI YA TANZANIA IS THE BEST
Swahili cha mombasa ni tamu zaidi
@@BlackGypsyCharmmombasa is in Kenya
Tumapaswa kusema Kiswahili CHA si Kiswahili YA. Matumizi ya kivumishi cha A- unganifu😊. Mimi ni MKenya na ninaishi Kenya lakini miaka mitano nilifundish Tanzania. Mjadala mzuri hapo. Ningekuwepo ningechangia😊
Hakuna mkenya mwenye uwezo wa kufundisha kiswahili Tanzania.
@@miltonjohn9779😭😭😭
nilicheka aliposema "kiswahili yangu" na pia alisema "yetu"
No one! NO ONE AT ALL! People just communicate and understand each other in specific areas.
Am here because of Tom Daktari😂
Nayioenda inshi ya Tanzania love you❤ ,president Samia
Correction: 6:18 you're wrong. Tanzanians have 210 tribes, Kenya has 42 (150 ethnic groups).
I think it's because Tanzania is mainly a Bantu country, Kenya has Nilots, Cushites and Bantus. Kiswahili is more a Bantu language. It would make sense for them to stick to the perfect syntax of using language. As for us, we have new variations because we mix it all together and make it easier to blend with English and other local languages.
Wrong. In Kenya many non-Bantu native speakers have very good command of Swahili. Speaking of Syntax if you really understand what you are talking about, then you have to understand that many Bantu languages in these areas heavily use suffix to mark tense which is almost non-existent in Swahili. Ubarikiwe.
Tanzania has more Nilotic than kenya
Kwa context ya kongamano lile, Azimio ni "Resolution". Maazimio ni "Resolutions" zitakazo afikiwa na wajumbe wa kongamano. Azimio linaweza pia kuwa na vipengele kadhaa,k.m., (a), (b), (c), n.k. Mara nyingi linapewa jina, k.m., "Azimio la Nairobi" au "Azimio la Cancun". Ilimradi washika dau mbalimbali wamekaa na kujadili, na kukubaliana. Pia wanapeana majukumu na kuweka misingi imara ya utekelezaji wa azimio husika, vipimo vya mafanikio hatua kwa hatua, na muda maalum wa utekelezaji. Mifano maarufu ni maazimio ya MDGs na SDGs ya Umoja wa Mataifa; bila kuyasahau maazimio ambayo wengi wetu tunayafanya binafsi kila mwanzo wa mwaka mpya, k.m., "...mwaka huu nitaacha kuvuta sigara...".
Azimio = declaration. Mfano Azimio la Arusha = Arusha Declaration
Azimio ni makubaliano ya pamoja, baadhi ya kikao au mkutano ambayo inatakiwa iongoze utekelezaji wa jambo. Kiingereza ni Resolution or Declaration context will which one is more correct.
Declaration - Azimio
Azimo means, aim,purpose,intention.
Azimio ni resolution....azima ndiyo intention.
Intention hapo upo sahihi kabisa maana yake ni kuzamilia kulifanya jambo fulani😊
Azimio siku zote hapa Kenya imetumika kueleza sera ama mwekekeo wa taifa.
All of you have done kiswahili at primary and sec school.Please promote the language
Tanzanian swahili(proper)= British English and Kenyan swahili=American English
and yet everyone watches our movies uses our slang and copy our culture
azimio means declaration
Watanzania huzungumza bora kuliko Wakenya Kwa jumla.
Azimio mining tumeazimia kufanya kitu fulani we have plan to do something get to know kiswahili fasahaa originality from Tanzania azimio mining tumeazimia kufanya kitu fulani
Ok l have lessening Williams samweli ruto was straggling translate teams of originality kiswahili in kiswahili fasahaa
Uko serious Kabisa unalinganisha kiswahili chá Tanzania na Kenya, Kenya is swanglish Tanzanian Swahili is original where it come from
Kiswahili didn't come from tz
😳, it come from where?
@@Tinatrudie lamu
@@fridahngai988lamu ndio nini na wewe
Azimio ni inspiration
Azimio=Resolution
😅 not resolution. Aspiration
@@patriot_2022 Do more research.
@@futuretechnology3374 😂
Kiswahili Kifukuzwe.
Wewe just get your point across. 😅 this is that thing we violate all we want
Kiswahili kifukuzwe wapi😂😂😂kimeiba au.
Kiswahili kitukuzwe
Azimio ni resolution
Declaration
azimio ni kusudi la pamoja au mkubaliano ya pamoja
Azimio ni maono au makubaliano
Ndiposa 😂😂😂😂😂
Azimio ni kusudio
Azimio maana yake , makubaliano baina ya pande mbili juu ya jambo nuhim ama jambo nyeti, liwe la kitaifa ama si la kitaifa .
😂😂😂
Azimio ni maono
Kiswahili kifukuzwe 🤣
kenya lugha ya taifa n sheng 😂
Alisema Kiswahili change. That man is lying
Sasa mnasema out of 42 tribes in kenya, only 2 tribes talks fluent swahili i.e Luyha & Kamba juu wanatumia the word " Ndiposa"🤔😂😂😂😂😂❗❗❗❗❗
Ndivyo,wacha tujipigie makofi.