NIMEFUNGA NDOA NA JINI BILA KUJUA ,NALALA NAE KITANDANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 176

  • @sundaychiposi5781
    @sundaychiposi5781 2 роки тому +2

    Mtafute tena amelize iyo story nimzur sana

  • @imanidaraja8275
    @imanidaraja8275 3 роки тому +5

    😂😂😂Yaani nimejikuta nacheka kwa nguvu mno yaani dah watu tuombeni kwa kweli

  • @binttsulu647
    @binttsulu647 3 роки тому +2

    Itabidi upimiwe bangi aah umevuta kupita kiasi

  • @akimudominik1582
    @akimudominik1582 3 роки тому +3

    Nawasiwasi huyu jamaa itakua alivutaa😂😂😂😂🙆✍️

  • @edisonhr1378
    @edisonhr1378 3 роки тому +2

    Daaah good story wan

  • @petrkitinga2082
    @petrkitinga2082 3 роки тому +4

    Pole sanaaaaa mwanangosha

  • @nelsonpatricioestanislaus7144
    @nelsonpatricioestanislaus7144 3 роки тому +4

    Pole sana ndugu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿😂😂😂😂😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 роки тому +3

    Iyo Ongea Jini Kakupga Ngumi Hau Umezaliwa Ivo

  • @salmaalimusa547
    @salmaalimusa547 4 роки тому +4

    Kofi lamaana 😊

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 4 роки тому +1

    Daaaa pole kutaja mungu kofi mpaka ukanya au.ilapole sana kakangu ndo dunia hii inamambo

  • @Slaita-20
    @Slaita-20 4 роки тому +1

    POLE SANA KAKA

  • @gracesimiyu7992
    @gracesimiyu7992 3 роки тому

    wah God protect your people

  • @omaromar-eb6og
    @omaromar-eb6og 3 роки тому +1

    Mwendelezo naomba jamani 😀😀😀😀

  • @konkodimoto4171
    @konkodimoto4171 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂 kusema mungu tuu kofi pole kaka

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 2 роки тому

    Hahahahahahahaha asante muza kahawa hahahahahhh

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 роки тому

    Jmn nimecheka 🤣🤣🤣🤣apo kwa kofiii 😂 Ila pole broo njoo unioe mm uku Kenyaaa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😃😃🤣🤣😂😂😂🙌

  • @zuzu8559
    @zuzu8559 3 роки тому +1

    Ugwadu NYIE 😂😂😂😂😂

  • @martinngossor8007
    @martinngossor8007 3 роки тому

    Daa pole sana mwamba

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 4 роки тому +1

    😂Noma Sana Mbengo, alizimia 😂

    • @daudiibrahim75
      @daudiibrahim75 3 роки тому

      Kaka polesana ilaunaonekana unatamaayamaishayawatu

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 роки тому +2

    Tamu sanaaa story

  • @jackisonotieno5034
    @jackisonotieno5034 3 роки тому

    Duuuuu! Kali ya mwaka 🙆🙆🙆

  • @ednahdavid9649
    @ednahdavid9649 3 роки тому +1

    alikua anaota huyu asituchanganyee 😂😂😂

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому +3

    Uyu Ulimi Wake Mzito Yani Kiko Kidude Ajakatwa Kipindi Cha Utoto Chini Ya Ulimi Ndo Mana Anaongea Ivo Nimtanzania

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣, lo basi wengi hatujakatwa hivyo vidude na tunaongea kuipita redio.

    • @febostanyika6464
      @febostanyika6464 3 роки тому

      Sawa daktari

    • @matridaagrey4233
      @matridaagrey4233 3 роки тому

      Ni kwel upo sahihi

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 роки тому

      Ooh kwel hatamm mtoto wangu wakiume alikuanae jiran kanistua namshuru. Mungu abarikiwe aliko maana mwanangu angekua anaongea kamahuyu pole kaka

    • @davieed1427
      @davieed1427 3 роки тому

      @@lucyhusein4043 ni watoto wote lazima wakatwe wakizaliwa?

  • @antamc5559
    @antamc5559 3 роки тому

    Punguzeni mata ngazo una tucha nganya bana mna fanya stor nyingine hatusikirizi mpaka mwisho

  • @japhethmasila9226
    @japhethmasila9226 2 роки тому

    Part2

  • @sayleewaprocesse217
    @sayleewaprocesse217 3 роки тому +1

    Kapakwa mafuta sehemu gani uyu tayali 🤗🤗🤔

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 роки тому +1

    Duu pole asee

  • @shafiihssan738
    @shafiihssan738 3 роки тому

    Jaman umetisha kaka mbona lkn kama hujiamn vle

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 4 роки тому +1

    Mnafel story mzr ainamwendelezo

  • @kassimsalum1479
    @kassimsalum1479 3 роки тому +1

    Dah nzuri sana

  • @elishalugano5679
    @elishalugano5679 3 роки тому

    Wandugu zetu weslamu kwa kweli juu weni Yesu muokoke na kumupokea Yesu Kristo ! Kila mweslamu wote awe mwanaume awe mwanamke awe mtoto jina tu awe mweslamu wote wako na majini ! Kwa Nini nyinyi mweslamu munakuaka na miliki majini ? Mtasema mnakuaka mna mwabudu Mungu kweli? Ushirika Gani kati ya binadamu na majini? Mimi nahamini Kila mweslamu wote akiombewa kwa Jina la Yesu tu ivi lazima izo majini zimutike ! Kwa Nini mnamiliki majini sana?

  • @alikhamisog3422
    @alikhamisog3422 2 роки тому

    Yaaan Kofi limemfanya hadi kuongea hawez uzur hadi sasa

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 3 роки тому

    Nimeipenda sn history ya kusisimua

  • @kingloyer94
    @kingloyer94 3 роки тому +1

    Tujifunze jaman ,, ili ni somo

  • @hamiafasta
    @hamiafasta 3 роки тому

    Achani kutudanganya bhna

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 3 роки тому

    No2 pls story ni nzur

  • @asantezacharia9399
    @asantezacharia9399 2 роки тому

    Nyokonyoko story yauongo nasauti anaigiza nyoko wauza kahawa niwaha naww huna nafisi yakiha

  • @jackisonotieno5034
    @jackisonotieno5034 3 роки тому

    Tuache vya kupenda penda tuwe na kokomo☃️⛄

  • @africankidsnegebumamlemale9176
    @africankidsnegebumamlemale9176 3 роки тому

    Mwendelezo naomba

  • @fidelfilbert4796
    @fidelfilbert4796 3 роки тому

    Edgier vitus

  • @CalmWhiteNoise5
    @CalmWhiteNoise5 2 роки тому

    Kwanini kaficha uso wake?

  • @danielalema7254
    @danielalema7254 4 роки тому +2

    Pale unavuta bangi ya 5000

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому

    We Unaeoji Jifunze Kueka Pati On Na 2 So Mnavamia Fani Tu

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому

    Muendelezo muhim sana

  • @malonemalone1067
    @malonemalone1067 3 роки тому

    Trust nobody maisha haya

  • @ahmedzahor5428
    @ahmedzahor5428 3 роки тому

    Acha bangi dogo zitakupelekesha sana

  • @zahbenramadhan8765
    @zahbenramadhan8765 2 роки тому

    Hiyo ipo na hutokea kabisa

  • @masininimkama3980
    @masininimkama3980 3 роки тому +2

    Au jini kaminya mdomo

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 роки тому +1

    Mutuwekeyage na mwendelezo sas

  • @zamirumayembe4385
    @zamirumayembe4385 4 роки тому +2

    Hahahaha jamani wazuriiiiiii

  • @meshackphilipo7120
    @meshackphilipo7120 4 роки тому +1

    Hii stori muendelezo wake ni lini

    • @jonathanhongoli720
      @jonathanhongoli720 4 роки тому +1

      Sasa kwsnini mnamfumba macho acheni mchezo wakishamba

  • @officialjohanesmkandara4301
    @officialjohanesmkandara4301 4 роки тому +1

    Kama mkongo vile ongea yake

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 Рік тому

    Shira kubwa nyie waongo

  • @agreymoris2499
    @agreymoris2499 3 роки тому

    Mwendelezo plz

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому

    Inahuzunisha pia nizuri

  • @lukmanihussain6981
    @lukmanihussain6981 2 роки тому

    Muendelezo

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому

    Bass haya

  • @mwgaadam7261
    @mwgaadam7261 3 роки тому

    Jee hadi anafanya masimulizi haya bado yupo ktk mahusiano au imekaa kaaje hivi? Tunahiji katiba mpya no muendelezo wa story sorry

  • @davieed1427
    @davieed1427 3 роки тому

    mwendelezo hakuna inakuaje ? Au jini kampoteza mhuhusika

  • @sayleewaprocesse217
    @sayleewaprocesse217 3 роки тому

    Nyegetu zilimsumbua kwakweli naiyo picha ya shalukani ivyo toto lake

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 3 роки тому

    You know that's my friend's picture and she is real person not as the video is explaining!!!

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 роки тому

    Wakati Nacheki Video Na Ilo Gorofa Nalicheki Anarosema Yeye Migo

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 3 роки тому

    Ongea vzr ww au umekula cha chuggar

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 роки тому

      Unajua huyo jini hajakosea mana kakuona hutaweza kuongea vizur

  • @sweetibabyemanuel3291
    @sweetibabyemanuel3291 2 роки тому

    Uonge

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому

    Uo mdomo una nini au vidonda

  • @zuzu8559
    @zuzu8559 3 роки тому +1

    Duuuh ety ni mzurii 😂😂😂

  • @rajimaalik.nasheed4237
    @rajimaalik.nasheed4237 3 роки тому

    Duuh hatari kubwa saaan

  • @baruanabdallah7364
    @baruanabdallah7364 3 роки тому

    Kwaiyo tukusaidie nn kimpango wako

  • @blaxog5786
    @blaxog5786 3 роки тому

    Itaendelea lin sas

  • @joebidenn1328
    @joebidenn1328 3 роки тому

    Mmmmh

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 роки тому

    Huyu jamaa anaongea vip asee.

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 роки тому +1

    Mbona Kama kabwia ugoro na madawa ongea yake

  • @glodynkondo9800
    @glodynkondo9800 3 роки тому

    ni Bahati yako 😂😂😂😂

  • @fatmaandrew4493
    @fatmaandrew4493 3 роки тому

    Hatali

  • @kignbrown9559
    @kignbrown9559 3 роки тому

    Nol

  • @noeljosee8384
    @noeljosee8384 4 роки тому +2

    Mtangazi jifunze kufanya hivi vipindi, jaribu kusikiliza vipindi kama njia panda na sintosahau....acha kuuliza maswali kama interview hii ni story....mbona mnakosa ethics wazee....tuliza kiherehere

  • @okeymediatz1024
    @okeymediatz1024 3 роки тому

    ua-cam.com/video/m1PRkqRMFqQ/v-deo.html harmonize afanya ngoma kali

  • @richpoul9095
    @richpoul9095 3 роки тому

    Huu uongo nimzuri sana

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому

    😂😂😜anameno mengi mudomoni ndoo maana anaongea hivo

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 3 роки тому

    Kwan huyu nimsambaa au anaumwa,

  • @asmaally9958
    @asmaally9958 3 роки тому

    Pole kaka huyu anakihtee ulimi anaranza ndo maana anaongea ivi

  • @mohamadbakar7203
    @mohamadbakar7203 3 роки тому

    muwende lezovp

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 3 роки тому

    HAHAHAAA NIMECHEKA SANA HAPO MAGOMENI JANGWANI PABAYA SANA KUNA MLANGO WA KUINGIA KUZIMU MIMI NISHAWAHI KUTANA HAPO JUU ANAPOSEMA MIMI ILIKUWA KARIBU NA MATAA.NA ALINIAMBIA ANAKAA BONDENI.

  • @makalasaigoni2275
    @makalasaigoni2275 4 роки тому

    duuuu hii kali

    • @annahchaz5537
      @annahchaz5537 3 роки тому

      Mh nimesikiliza ila mh sijui km ni true story ulitokaj sasa huko je walikup utajili??? Sins uhkik

  • @obeyfaze6155
    @obeyfaze6155 4 роки тому

    Mbona hamna part 2 yake?

  • @mozstorrytv7982
    @mozstorrytv7982 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 роки тому

    Ila kwa haraka haraka mshikaji anavyo jieleza unaweza kucheka

    • @kalssambaboo9705
      @kalssambaboo9705 4 роки тому

      Me kwakweli nimecheka balaa

    • @amissahassan3251
      @amissahassan3251 4 роки тому

      #jonh dilima mungu anakuona ujue😂😂😂😂

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 роки тому +1

      Amissa Hassan jamn mbna kama anachekesha sio utani

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 роки тому

      Kalssam Baboo hata mim yan anavyoongea tu jmn

    • @amissahassan3251
      @amissahassan3251 4 роки тому

      @@johnsilima6789 Dhuuu MIMI nimecheka😂😂😂 hadi nikakojowa mdogo mdogo tu hadi kuelekea chooni😂😂😂😂

  • @jumaamtua3473
    @jumaamtua3473 3 роки тому

    auwawa kisa mke wa mtu😱😰😰😰
    ua-cam.com/video/5NkAHVy9O5c/v-deo.html

  • @ratifajuma7768
    @ratifajuma7768 3 роки тому

    Uongo

    • @stumay-wx9rp
      @stumay-wx9rp 3 роки тому +1

      So uongo.maan me mtoto wa dada angu alikutana na msichan wakapendn wakaw wanaish kumbe jin yaan ni mtihn lilikuw linaend dukan kama ni nguo linalet mtihn walah

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 3 роки тому

    Mmmhhh hatari😢😢😢

    • @iddiali567
      @iddiali567 3 роки тому

      Hatari ya nn jamani

    • @iddiali567
      @iddiali567 3 роки тому +1

      Hatari ya nn jamani

    • @fatmaomary3981
      @fatmaomary3981 3 роки тому

      @@iddiali567 unawezaje kupata hisia kwa Dada yako Hana hakili huyo kaka yeke

  • @maryamsaid1307
    @maryamsaid1307 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eunnyq3126
    @eunnyq3126 4 роки тому

    Ni bangi hiyo hata the way anaongea kavuta na michizi yake hakuna cha majini wala nini

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 роки тому

      Nimaongezi yake jamani

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 роки тому

      Aisee huyo ana kilema cha kuongea

    • @mwajeyagogo8258
      @mwajeyagogo8258 4 роки тому

      Dhu! Ngoma sanaaa

    • @imanidaraja8275
      @imanidaraja8275 3 роки тому

      Hapana sio bangi maana nilishasikia Tena story6za Dada mmoja yeye aliopewa kabisa na jini hivyo hivi vitu vipo jamani

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 3 роки тому

      @@imanidaraja8275 hao mpka yawakute ndo wajue yapo

  • @zedmtembezi8889
    @zedmtembezi8889 3 роки тому

    Aliota au

  • @zuchu9750
    @zuchu9750 4 роки тому +1

    Kaka njoo unioe Mimi ,Nina tako kubwa ..achana na majini

    • @annaethan888
      @annaethan888 4 роки тому +3

      Pambana kakwambia nan kwamba wanaume wanaume wanaoa mtk

    • @kalssambaboo9705
      @kalssambaboo9705 4 роки тому

      @@annaethan888 😂😂😂😂😂 duuh nimecheka kaa mchizi

    • @kalssambaboo9705
      @kalssambaboo9705 4 роки тому

      @@annaethan888 kwani kua natako kubwa ndio unaweza kumpata mwanaume jamani

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 роки тому +1

      😆😆😆😆😆

    • @amissahassan3251
      @amissahassan3251 4 роки тому +1

      #sasambua mungu anakuona😂😂😂😂

  • @antamc5559
    @antamc5559 3 роки тому

    Punguzeni mata ngazo una tucha nganya bana mna fanya stor nyingine hatusikirizi mpaka mwisho

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 роки тому

    Huyu jamaa anaongea vip asee.

    • @robinahumphrey9725
      @robinahumphrey9725 3 роки тому +1

      Maubile ya Mungu alivyomuumba kila mmoja wetu

    • @robinahumphrey9725
      @robinahumphrey9725 3 роки тому

      Anaongelea kulimi.

    • @munaqtr8985
      @munaqtr8985 3 роки тому +1

      Wee nawe acha kumkosoa mungu kwani ujui anavyoongea acha kujisahau yy pia aliumbwa na mungu

    • @abdallahrenatus6677
      @abdallahrenatus6677 3 роки тому

      @@munaqtr8985
      Nmekuelewa. Am xor

    • @boyochu1308
      @boyochu1308 3 роки тому

      Ana udata chini ya ulimi inaonesha hakukatwa kipindi mdogo

  • @jumaamtua3473
    @jumaamtua3473 3 роки тому

    auwawa kisa mke wa mtu😱😰😰😰
    ua-cam.com/video/5NkAHVy9O5c/v-deo.html

    • @ahmedzahor5428
      @ahmedzahor5428 3 роки тому

      Dogo bangi zinamzingua huyo aache bangi