Ahsante sana RC uko makini kupita kiasi kugundua Hila hizi mbaya! 🙏Ubovu wa jengo isiwe ndio sababu ya kupata mwanya wa kudhulumu wengine, kuna kitu hapa ktk hili,familia ina mgogoro, na huyu Arafat ndio shida!hata kabla hili jengo alitaka kulibomoa kwa nguvu bila kufuatautaratibu ili tu'kupata haki ya kutapeli kupitia mgongo wa uchakavu wa jengo,huyu Arafat aondolewe ndio tatizo! anasimamia nani wakati wamiliki wote niwa kubwa wana akili zao timamu? Hakuna mtoto hapo wakumsimamia, anatafuta mwanya wa kuuza jengo zima atapeli sister's zake!na huyu Warda hajitambui kuungana na mtu asie kuwa ni mmiliki wa jengo, mbona asishirikiane na wamiliki wenzie 4 wakaamua kwa pamoja?why ana mshirikisha Arafat asie mmiliki?
Wala HAYUKO Makini ukilitzama Jengo ukilitzama tu Kwa Macho Jengo ni bovu Kwa muonekano na kama wakaguzi wanasema bovu Kauli Yako kwanini inakuwa tofauti na watalam Mkuu wa Mkoa sio mara ya Kwanza kujibu kisiasa
@jackmabirangacharles9398 hujamuelewa,hili jengo ni Issue ya familia kuna mgogoro na mchezo mchafu unaofanyika!RC amestopisha kwa sababu amegundua Hila hizo!wamiliki wa jengo ni 5 sisters,lakini anae taka kubomoa ni brother yao,anachukulia advantage ya jengo lililodondoka K'koo na kuuwa watu, inasemekana anataka kuuza hali yeye si mmiliki!huoni hapo kunamwanya wa utapeli na dhulma
RC Chamila umeongea kibusara zaidi ,ili jengo libomolewe inabidi wanafamilia waelewane,Ili mali ya urith iuzwe inabidi warithi wakubaliane.Mungu tuepushe na ndugu wenye nia mbaya wabinafsi.
@@Afrikalove736kabisa,huyu Arafat Sio mrithi na anataka kuuza jengo, warithi ni wadada 5,asiichukukie Issue ya jengo lililo anguka kama ndio njia na kibali cha kuwadhulumu hawa wadada,
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Ahsante sana RC uko makini kupita kiasi kugundua Hila hizi mbaya! 🙏Ubovu wa jengo isiwe ndio sababu ya kupata mwanya wa kudhulumu wengine, kuna kitu hapa ktk hili,familia ina mgogoro, na huyu Arafat ndio shida!hata kabla hili jengo alitaka kulibomoa kwa nguvu bila kufuatautaratibu ili tu'kupata haki ya kutapeli kupitia mgongo wa uchakavu wa jengo,huyu Arafat aondolewe ndio tatizo! anasimamia nani wakati wamiliki wote niwa kubwa wana akili zao timamu? Hakuna mtoto hapo wakumsimamia, anatafuta mwanya wa kuuza jengo zima atapeli sister's zake!na huyu Warda hajitambui kuungana na mtu asie kuwa ni mmiliki wa jengo, mbona asishirikiane na wamiliki wenzie 4 wakaamua kwa pamoja?why ana mshirikisha Arafat asie mmiliki?
Wala HAYUKO Makini ukilitzama Jengo ukilitzama tu Kwa Macho Jengo ni bovu Kwa muonekano na kama wakaguzi wanasema bovu Kauli Yako kwanini inakuwa tofauti na watalam
Mkuu wa Mkoa sio mara ya Kwanza kujibu kisiasa
@jackmabirangacharles9398 hujamuelewa,hili jengo ni Issue ya familia kuna mgogoro na mchezo mchafu unaofanyika!RC amestopisha kwa sababu amegundua Hila hizo!wamiliki wa jengo ni 5 sisters,lakini anae taka kubomoa ni brother yao,anachukulia advantage ya jengo lililodondoka K'koo na kuuwa watu, inasemekana anataka kuuza hali yeye si mmiliki!huoni hapo kunamwanya wa utapeli na dhulma
@@jackmabirangacharles9398 baadae utajua why RC anakataa jengo lisibomolewe pamoja nakuwa ni chakavu mnoo,hapo kuna mianya ya utapeli
RC Chamila umeongea kibusara zaidi ,ili jengo libomolewe inabidi wanafamilia waelewane,Ili mali ya urith iuzwe inabidi warithi wakubaliane.Mungu tuepushe na ndugu wenye nia mbaya wabinafsi.
@@Afrikalove736kabisa,huyu Arafat Sio mrithi na anataka kuuza jengo, warithi ni wadada 5,asiichukukie Issue ya jengo lililo anguka kama ndio njia na kibali cha kuwadhulumu hawa wadada,
Kamati kukamilisha uchunguzi utachukuwa mwaka mzima
Wewe Chalamila vaa viatu vya Makonda usifokee raia madaraka yanamwishooo
Makonda abaki na viyatu vyake chalamila sisi wa Dar tunamuelewa na tunamkubali
@isaliisu3408 kwa lipi kukemea raia ama
Kamfokeq nani Chalamila yupo makin na ana akili ,