Matukio mbali mbali ya Upadrisho Jimboni Bukoba/ Mashemasi 6 wapewa daraja takatifu la Upadre 2020

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @lyidia2901
    @lyidia2901 2 роки тому +2

    Nawapenda Sana radio mbiu

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому

    Mungu wangu unilinde kanisa katoriki takatifu ramitume duniani kote viogozi wetu roho mtakatifu uwe nasi siku zote amina

  • @Manchory
    @Manchory 4 роки тому +4

    Hongereni wote, Mungu awabariki mkaifanye kazi aliyowaitia.

  • @mutalemwamzazi2728
    @mutalemwamzazi2728 4 роки тому +4

    Ongera sana wana Bukoba wote

  • @kagepaul9532
    @kagepaul9532 4 роки тому +4

    Mungu ni mwema

  • @hellenthadeo9526
    @hellenthadeo9526 4 роки тому +4

    Hongera saaaana Fr Beatus Kabyemela.Mungu akuimarishe katika wito wako pamoja na wenzako wote muwe watumishi wema katika shamba la Mungu.

  • @leonidaskalumuna8350
    @leonidaskalumuna8350 4 роки тому +3

    Alleluya,Omukama Yasinga.Ongereni sana.Tuongoze vyema tufke Mbinguni

  • @deniskalumuna8083
    @deniskalumuna8083 3 роки тому +2

    Mbarikiwe Radio mbiu tuna wapata hapa Dar

  • @NomusaMashiyane
    @NomusaMashiyane 7 місяців тому

    Thanks again for attending and learning more information about the community to ❤ Isaiah 35::5

  • @shumbushowakabutaigi4756
    @shumbushowakabutaigi4756 4 роки тому +1

    Hongereni sana! Pia tunashukuru sana

    • @Manchory
      @Manchory 4 роки тому +1

      Ubarikiwe, tunakushukuru pia.

  • @EvelineMuchunguzi-k9v
    @EvelineMuchunguzi-k9v Рік тому

    Hogereni saana

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 роки тому +3

    Tumsifu yesu kristo,,naomba kujua hapa ilikuwa ni tukio gani na ilifanyika lini?

    • @radiombiu372
      @radiombiu372  4 роки тому +4

      Hili lilikuwa ni tukio la Upadresho Jimboni Bukoba Mwezi July mwaka 2020

  • @magdalenmujwahuzi717
    @magdalenmujwahuzi717 4 роки тому

    Hongereni sana. Mungu awabariki na awaongoze katika utume wenu. Amina