MO DEWJI NA VIONGOZI WA SIMBA WAJITAFAKARI / WAMEFELI KUSAJILI / WAMUIGE TP MAZEMBE / WASAJILI HAWA
Вставка
- Опубліковано 8 кві 2024
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Pesa ni ndogo Mo yupo nje/ndani. Hilo ni tatizo
Nikweli haina maana kusajili na kuondoa viongozi wawajibike Kwa matokeo
Simba is ajili mtu kama Baleke Chris Mugalu namba tisa nzuri
Ni kwel kaka
Mo ni mwongo sanaa hatoi hela sahihi ya kuwasajili wachezaji bora wao mchezaji namba moja wanamwacha wanamchukua namba mbili
Usifananishe mo na Moses katumbi ww taira mo hiyo timu ni ya wanachama katumbi hiyo timu ni yake kabisa anaamua kila kitu huwezi kutoa pesa afu usiwe na sauti katumbi ni timu yake hapo huoni tofauti
Mtu anaetoa pesa na viongozi wanamuangusha si angeshavunja bodi nzima akatengeza upya muongo uyo Hana ata pesa ni mnjanja mnjanja Tu
Wewe mchambuzi huelewi kitu maan mo yeye mfumo wa Simba haumpi nafasi ya KUFANYA maamzi umeona Kuna mamwenyekiti wawili he Tp mazembe wako hvo au unaongea kishabiki
Kaka mooo amehamia kwenye mikopo ayupo simba kwasas simba, sioni chochote apo washabiki wahamie Azam tu
Tatizo ni Simba kutokuvuka robo kwenda nusu ingekuwa vip wangeishia makundi je?
Wote viongozi waondoke hawana sifa matapeli
Inasemekana toka badra kujiondoa hapo simba hakuna pesa inayotolewa na mwekezaji
Apo tu Tanzania wapo wachesaji wazuri san
Moo atoi pesa muongo Yule muindi pesa ya familia mpaka dada yake atoe idhini ndio pesa itoke nyinyi endeleni kumuamin moo lakin moo muongo
Mo na viongozi wake ni matapeli mo uko kwa ajili ya kutangazi bidhaa zake nje sio mapenzi kwa simba
Mimi ni shabiki wa simba kabisa,ila na uwezo wangu mdogo wa kuelewa MO hatoi pesa inayostahili kwenye usajili ni muongo.then kama pesa inatolewa na wakaletwa wachezaji utopolo kwa nini Hao wanaofanya udanganyifu wasifukuzwe kazi au nafasi zao,MO ajitafakari pamoja na group lake
Mo atoiela kwani mmeshampa timu aendeshe
😂..sasa michael umeshasema ufahamu wako ni mdogo iweje unamlaumu Mo na kumuita muongo?? simba ilipofanya vizuri miaka minne mfululizo mlikuwa kimyaaaaa.sasa hivi mnavuta midomo hivi nyie mngekuwa Man U si ndio mngeua mtu??
Achana na hawa wachambuzi wanatafuta ugala hawana ujuzi wowote wa scouting...wako hao Yanga wenyewe wamechemka kwenye usajili maana usajili ni gambling
Kama Mo hatoi pesa je pesa ndefu iliyomleta Kocha mmetoa nyie???
Hebu msiwe mnaropoka hovyo tu ati kwa sababu mna bando
Kwani uwekezaji wa kule Yanga ukoje na huku Simba vipi, wote si wanafuata sheria Nchi na TFF
Kwani simba si ina wazamini na kila mwaka wanataja bajeti yao
Jamani tajiri ndo tatizo la simba tuache unafiki aachie timu waje wengine viongozi ni wadogo tunawaonea.
Umechambua vizur simba, nothing
Mo.anasema.anatoa.hela.lakini.hafuatilii.viongozi.waondoke.wasimlaumu.cocha
Viongozi,Mo wote wapigaji tuu hakuna wenye uchungu na timu wote waondoke watuachie timu yetu
Yaani 😂😂Kitenge mnafiki kweli cheki anaitikia kinafikinafiki 😂😂😂dah
Mo ndiyo mzigo mkubwa pale simba , Mo aachie timu wawekezaji wengine waingie , yeye ametuchosha
Simba hatuna Tajiri palee asee maneno kibao babeq 😂😂
viongozi.maneno.mengi
Matatizo ya simba Moo muhusika mkuu yaani bolaaondoke Moo ni msanini pmoja na kundilake la wahuni hsakibalakawake mangungu
Huyu nasri bwana yaani Miquison alicheza Zimbabwe lini
Alipokua under 12
Ibrahim Dyakite
Mimi binafsi kwa c.e.o kajula atoke Hana sifa ya kuwa c.e.o wa simba atoke akagombee uenyekiti wa mtaa kwao huko.
Mo na uongoz wake ni mapaka tuu
Sisi Simba wakitaka tutoboe labda wamuondoshe mo TU na try again na mangungu
Kila siku Yale yale
Mo atoke tu asifanye tu mtolee maneno machaf
Kaka wewe nimkweli umeongea maneno yalio nyooka
Fukuzeni muindi huyo ananjaa hatoi pesa .nani alikwambia muindi anaweza kumiliki club ya soka duniani
uongozi.mbovu
Hako kahindi kanaonekana kaswahili tu,,we si unaona hata mwili hauna ushirikiano na utajiri wake
mpeni.usijali.cocha
Diakite huyo
Mrudisheni.Babra
Moh muongo hatoi pesa
Diakite
Sasa ni msimu wa tatu tunapoteza ubingwa, alafu bajeti ya simba mara zote ni kubwa kuliko ya Yanga lakini tukiingia sokoni Yanga anatuzidi anachukua wachezaji wote ambao simba ameskaut mfano azizi ki, aucho pakome na wengineo lakini simba imeonekana pesa ni ndogo.yaani Mo sio rais ila ni mpigaji tu, injinia anakuzid maarifa jifunze
Kwahiy bajeti ya simba kama ni kubwa si inatosha kununua wachezaji kwanini mpaka mo atoe pesa wakati timu ina bajeti na ni kubwa
Huyo mo anaongoza watu wasiyo jielewa kuanzia mashabiki pamoja nawanachama wake wote wanaaminishwa propaganda zauisiasa hata pamoja na msemajiwao nae ana ongea pumba TU kama vile tahira furani
Mimi naona selekali ingetiamkono at wachezaji watatu kilatimu itayoenda clabu bingwa ili itangaze nchi yetu bila Ivo tutapigw sana
Atie kwenu kwenye timu yako ya Simba 😂😂😂.... Sisi Yanga hatuna shida ni swala la muda tuu
VIONGOZI WA SIMBA NI WAZEMBE SANA WANAHUSISHA WACHEZAJI BORA KISHA HAWAWACHUKUI. YANGA WAKIMUHUSISHA MCHEZAJI WANAMCHUKUA. KAMATI YA USAJILI NI MBOVU SANA WANAPIGA HELA TUU.